uhamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C-C Daily Stories

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Note: Wajibu wa Jeshi la Uhamiaji na Jeshi la Zima moto na Uokoaji kwa raia wa Tanzania.

    Wajibu wa idara ya Huduma za Uhamiaji Tanzania kwa wananchi ni pamoja na kutoa hati za kusafiria (pasi za kusafiri), kudhibiti uingiaji na ukaazi wa wageni, na kuchakata maombi ya uraia. Chombo hiki kinafanya kazi chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ili kulinda usalama wa nchi kwa maana...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nafuatilia Pasipoti Uhamiaji Kurasini tangu 2025, nimelipia fedha kamili wao wanataka wanipe Pasipoti ya muda! Why?

    Nina dukudhuku kuhusu Idara ya Uhamiaji Kurasini hapa Dar es Salaam, Mtu unaomba Passport kwa ajili ya matembezi mfano kwenda Kenya wao wanataka bank statement, unaleta bank statement wanataka barua ya mwaliko. Unaleta barua ya mwaliko wanakusukumizia kwa afande mwingine wanaanza kuhoji ukoo na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshindwa kusafiri kisa Uhamiaji Mbeya wamechelewesha passport yangu

    Bado nina malalamiko dhidi ya Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya. Kutokana na ucheleweshaji wa utoaji wa pasipoti, hatimaye nimeshindwa kufanya safari yangu iliyokuwa imepangwa kwa mwaka huu wa 2026. Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba, pamoja na kufuatilia mara kwa mara, sijapewa maelezo ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji na changamoto ya 'MTANDAO' kwa wanaoomba Pasipoti

    Naomba kujua hvi taifa letu like limekuwa dhaifu kiasi ambacho tumeshindwa kutatua changamoto ya mtandao kwenye sekta muhimu kama uhamiaji? Mfano: Ofisi ya uhamiaji morogoro inaweza kukaa wiki au zaidi kwa mfululizo bila mtandao ..inaleta usumbufu na kero kwa watu wanahitaji huduma ya Haraka.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hakuna jambo lililoniuma mwaka huu kama kutochaguliwa Uhamiaji ukizingatia nina Barchelor of Arts in Law Enforcement na JKT Certificate ninayo

  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji: Mfumo ulisumbua na sasa umekaa sawa, taarifa za walioomba Passport zipo, hawatakiwi kulipa mara 2

    Idara ya Uhamiaji nchini imefafanua kuwa huduma zake za kimfumo zimerudi katika hali ya kawaida baada ya changamoto iliyosababisha ucheleweshaji wa baadhi ya maombi ya wananchi, na kueleza kuwa mbombaji hatakiwi kulipia huduma mara mbili. Akizungumza kuhusu suala hilo, Msemaji Mkuu wa Idara ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji ina usimamizi mbovu, Rais samia tungua majipu

    Hakuna wanachokifanya huduma MBOVU Kwa wananchi, rushwa, wizi na utapeli vimetamalaki Yapata miezi sita Sasa wananchi walotuma maombi ya passport na wanao omba passport wanaambiwa mfumo umekorapti haufanyi kazi, angali pesa zote za maombi ya passport tayri washalipia, 150,000/= Mpaka wengine...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi: Uhamiaji tumieni busara bila kuvunja Sheria

    Makamu Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito huo kwa Idara ya Uhamiaji wakati wa uzinduzi wa Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea Uhamiaji mpaka kupata passport iwe vigumu?

    Mtu mmoja anipe sababu, kwanini watu hawapati passport? Pia soma - KERO - Uhamiaji Mbeya wananizungusha kupata Passport, kila nikienda wanasema hakuna Mtandao
  10. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali itoe ufafanizi kuhusu tetesi za mfumo wa uhamiaji KuCollapse maana kuna baadhi ya viashiria vipo

    Moja kwa moja. Juzi niliona Uzi wa member wa Jf ambaye amelelemika kuwa wiki nzima anarudishwa uhamiaji wakati wa kufuatilia passport anaambiwa kuwa Kuna Virus kwenye mfumo na data hazipo , kaambiwa atulie . Na Mimi mwenyewe ndugu zangu zaidi ya wawili wanasubiri Visa ya kwenda nchi Fulani...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji Mbeya wananizungusha kupata Passport, kila nikienda wanasema hakuna Mtandao

    Idara ya Uhamiaji Mbeya imekuwa changamoto na kero kubwa, nimeenda kuomba Passport nimerudi zaidi ya mara 4, mwezi sasa umeisha wanasema hakuna Mtandao wakati sisi tunajaza form zao online, tukiwapelekea wao wanasema mtandao hamna mbona form zao tunajaza bila shida, kwanini wao ofisini kwao...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi awataka wastaafu Uhamiaji kujiepusha na anasa, watoto wa mwaka 2000

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewaasa wastaafu wa Idara ya Uhamiaji kujiepusha na anasa pindi watakapopata mafao yao, bali wajikite kufanya shughuli za uzalishaji ili kuondoa upweke. Pia amewataka wastaafu hao kulinda afya zao, kumrudia Mungu na kuwa waaminifu katika ndoa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Suala la Mfumo au Mtandao wa Uhamiaji kuwa chini muda mwingi ni kero

    Idara ya uhamiaji jamani pameshakuwa kero Tena zaidi ya kero.. Unaenda kufanya mchakato wa Passport ukifika huko wanakujibu kuwa hakuna mtandao Wiki nzima au muda mwingine wanakuambia eti taarifa zako zimeliwa na Virus like seriously 😳?
  14. G

    JamiiForums Tanzania KERO Ukimya wa Idara ya Uhamiaji dhidi ya maumivu makali ya Wananchi Wanaosubiri Pasipoti

    Karibu miezi mitatu sasa imepita tangu niwasilishe maombi ya pasipoti, lakini hadi leo (Machi 2026) sijapatiwa huduma hiyo kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Kila ninapofuatilia naambiwa kuwa ‘mfumo unaboreshwa.’ Swali ni: Maboresho haya yana mwisho lini, na kwa nini hakuna taarifa rasmi, ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji wameondoa uwezekano wa kuangalia ombi la passport kwenye website yao?

    Kuna option ilikuwepo kwenye website ya uhamiaji wakati mtu akiwa ameomba passport anaweza fatilia kuona ombi lake limefikia wapi, lakini kwa sasa kwenye website hiyo ya uhamiaji wameitoa hiyo option, so imekua vigumu mtu kujua ombi la passport limefikia wapi.
  16. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Jinsi Njaa na Tamaa Zinavyochafua Taifa: "Recharging Hope" Wameanika Mizengwe ya Rushwa waliyoikuta Tanzania

    Kuna mfululizo wa dokumentari nilikuwa naufuatilia unaoonyesha safari ya timu ya Recharging Hope. Hawa ni vijana wabunifu, wanaosafiri kwa pikipiki zinazotumia umeme wa jua (Solar-powered electric motorcycles) kutoka Nairobi kuelekea Cape Town. Lengo lao ni kuonyesha kuwa teknolojia za kijani...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutopatikana kwa mfumo wa Uhamiaji

    Tarehe 4 Marchi uhamiaji walitangaza mfumo wa kielektroniki haupatikani , lakini hadi leo tarehe 11 March mfumo bado haupatikani, je kwa safari za dharura utaratibu upoje ? naomba kusaidiwa
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji Shinyanga wanatuzungusha kutoa Passport na hakuna majibu ya kueleweka

    Hii ishu ya Passport naona kuna mazingira ya kuzungushwa kwa maksudi, maana hata mimi ni wiki sasa kila nikienda ofisi za Uhamiaji Shinyanga naambiwa kuna shida ya Mtandao, hata wiki jana nilienda sikuhudumiwa hadi nahisi kuchoka. Tunaomba mzitaarifu mamlaka za juu maana haya mambo yanakita...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Idara ya Uhamiaji Mafinga ina usumbufu sana unapotaka kupata NIDA ID

    Idara ya Uhamiaji wilaya ya Mufindi wamekuwa na usumbufu sana kwa wananchi na kupelekea wengi kukosa vitambulisho vya NIDA. Hii ni inatokana na maafisa pale kuwarudisha wananchi hata kama zile nyaraka muhimu wakiwa nazo kama cheti cha kuzaliwa, au hati ya mpiga kura.
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Idara ya Uhamiaji Arusha unaomba Pasipoti leo unaambiwa usubiri miezi mitano au 6, inaumiza sana hii!

    Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa. Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka. Kuna nini kinaendelea hadi...
Back
Top Bottom