Mfano hapa Tanzania,
kuna vyama vya siasa kwa muda mrefu sana, ukiachilia mbali kutumia matusi, vilikua vikijidanganya na kujifariji na picha au video za kutengeneza mitandaoni kuonyesha kwamba eti vina wanachama wengi au wafuasi wengi zaidi na badala yake wakati wa uchaguzi wakaambulia patupu...
Habari wana-tech,
Leo nataka kuwashirikisha mradi wangu mmoja wa open-source unaitwa OllaBridge. Huu mchongo utawasaidia sana ma-developer wenzangu wanaotumia shared hosting (kama Hostinger, cPanel, n.k.) kutumia nguvu ya AI kwenye websites zao bila kulipia madola ya ChatGPT API wala kuhitaji...
Teknolojia ya live streaming imeleta mapinduzi makubwa katika njia za usambazaji wa taarifa. Kupitia teknolojia hii, jamii inapata fursa ya kufuatilia matukio kwa wakati halisi, hivyo kuharakisha upatikanaji wa taarifa muhimu, hasa katika hali za dharura.
Kwa mfano, live streaming imekuwa na...
Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti.
======
The World Bank has approved $550 million in financing for Tanzania to boost jobs and support vulnerable households.
The funding will benefit more than three million people through skills training and social...
Benki ya Dunia imejitolea kutoa kiasi cha dola milioni 550 kusaidia jitihada za upatikanaji wa ajira na usaidizi wa kijamii nchini Tanzania.
Benki ya Dunia imemidhinisha ufadhili mpya wa dola milioni 550 kwa ajili ya Tanzania, ukilenga kutengeneza fursa za ajira na kusaidia kaya zenye uhitaji...
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa.
Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini.
Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa...
Husika na kichwa cha habari....hii ni kwa imani na matokeo ya tafiti endelevu yanayoendelea...msaada wa kesi ..msaada wa matibabu...msaada wa masuala ya kija mii n.k.
Msaada wa uwazi bila kuonana ana kwa ana,
LETE MAONI
Bilionea Mohammed ‘Mo’ Dewji , ametangaza kuwa yuko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu wenye thamani ya TZS bilioni 25 ili kuchochea mageuzi ya kiteknolojia nchini Tanzania na barani Afrika.
Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye X Jumatano hii, Dewji ameandika:
“Niko mbioni kuzindua Mfuko wa...
Benki Kuu ya Ulaya ilikataa kuunga mkono malipo ya €140 bilioni kwa Ukraine kutoka kwa mali za Urusi zilizotaifishwa, inaripoti Financial Times ikinukuu vyanzo.
Makala inasema kwamba ECB ilihitimisha kwamba pendekezo la EU linakiuka mamlaka yake.
Wana JF, poleni na majukumu…
Nawasalimu wote kwa heshima kubwa. Sasa nimekuja na hoja nzito kuhusu mustakabali wa watoto wetu, ndugu zetu na Taifa kwa ujumla. Tatizo la elimu nchini ni kubwa kuliko tunavyodhani, na tukiliacha litaendelea kutengeneza kizazi kinachohangaika bila sababu.
Kwa muda...
Maprofesa na madaktari ni watu wenye Elimu kubwa baada ya kufanya tafiti mbalimbali.
Pili ni watu ambao wanasimamia kile wanachoamini maana wamekifanyia utafiti
Tatu ni watu wanaolenga kusaidia jamii Kwa kile wanachoamini na kuifanyia utafiti
Maprofesa na madaktari wasiosimamia kile...
Mwanaharakati wa haki za jamii mitandaoni Maria Sarungi amewaonya wamiliki wa mitandao ya Simu kutokubali kutumika na serikali kuminya haki wananchi kutumia internet maana safari hii kuelekea D9 atawafungulia mashitaka haya yote ameyazungumzia kwenye kipindi chake cha Maria space.
Hakuna mwanasiasa anayesapoti mauaji na wala hatotokea ,wote watakana kuhusika ...it is done!
Kamwe usijiingize kwenye vurugu na kamwe usifikiri kutumia nguvu kufanikisha jambo lako unless una nguvu ya ziada.
sasa tujenge Taifa na tukutane 2030
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Vwawa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Japhet Hasunga, amesema akichaguliwa ataendelea kutoa huduma ya gari la kusafirisha miili ya marehemu wanaofariki dunia ndani ya jimbo lake ili kuwapunguzia gharama wafiwa.
Aidha Hasunga amesema akichaguliwa tena ataongeza...
Yule mdunguaji, ambaye anawadungua Kunguru na Makinda yao akiwa kusikojulikana, jana amempopoa 'Tyson' kuwa eti kwenye kazi yake ya kusaidia kubeba kiti, alipigiwa chapuo na mtu mumoja ambaye hata hivyo Mdunguaji hakumtaja kwa jina.
Kama ilivyo ada, tangu mdunguaji aanze kuwapopoa Kunguru...
RIP MWAMBA.BR WILLY
CONT RIP POPOTE ULIPO
Ulikuwa kaka mwema
Mume mwema kwa familia yako
Lakini pesa ilipochanganya ukaanza kuchanganya madesa wa mahawar
Ukujua wengine wana maroho ya mauti hatimae ukaishia kuchomeka na hawara yako kwenye gari....
Ni mwaka 2019 ma best nrda alikuwa ameanza...
Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!. Hawajui kwamba wakimaliza demokrasia hata wenyewe watafungiwa!!!! ni kutokuangalia mbali!!!. Yaani wenyewe wanaficha habari zote hasi kwa serikali
Siasa za CHADEMA kwa miaka ya karibuni zimekuwa siasa za ki Mandela Mandela na Ki Martin Luther King(Ukipigwa shavu la kulia geuza na la kushoto). Hakuna Steven Biko na Malcom X tena (Jino kwa Jino) huko katikati ndio maana uonevu unazidi kila siku.
Miaka ya nyuma akina Lema walijitahidi kuwa...
Rais Samia katika Mpango wake wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ameendelea kutekeleza kwa mafanikio makubwa katika Mkoa wa Tanga. Hadi kufikia Machi 2024/2025, mpango huu ulikuwa ukitekelezwa katika vijiji | mitaa 1,039 kutoka awali ya vijiji | mitaa 656...
Bashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.