GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021?

2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu Werevu Tanzania nzima) hamjawapa Pesa yoyote?

3. Mlikaa lini na Vilabu vyote husika juu ya Udhamini wenu na Barua zenu za Uthibitisho wa Wao kukubali ziko wapi?

4. Mkataba wenu Mama na TFF unasema mnadhamini Jezi (hasa Nembo yenu) au mnakuwa tu katika Mabango kwakuwa tayari Main Sponsor NBC Kisheria ndiyo anatakiwa kuwa hapo?

5. Kwanini mliwalazinisha TFF hasa kupitia Makamu wake wa Rais Athumani Nyamlani kuwa avitishe Vilabu vyote juu ya Kuuhoji huu Mkataba wenu ambao leo mmeusitisha rasmi?

6. Kama mmejitoa Kudhamini Ligi kama Co Sponsor kupitia TFF na Vilabu Gharama za Kuondoa Nembo yenu ya GSM katika Jezi za Vilabu husika ataingia/ atagbaramia nani?

7. Je, ni halali Kujitoa Kudhamini Ligi kama Co Sponsor na Vilabu 15 vilivyokubali kufanya Kazi nawe kwa Gharama ya Hasira zako kutokana na Klabu ya Geniuses watupu ya Simba SC Kuukataa Udhamini wako / wenu?

Nasubiri upesi sana Majibu yenu sawa?
 
Haya Sasa zimeshaanza Kuvuja na kutufikia Watu ambao ni Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challengers and Well Informed People juu ya sababu iliyowapelekea Kujitoa katika Udhamini Mwenzae wa Ligi Kuu ya NBC.

Ukweli ni kwamba kumbe baada ya Klabu makini, yenye Watu Werevu tupu na inayoongozwa na CEO Mwanamke Barbara Gonzalez ya Simba SC Kuomba Barua rasmi ya Mkataba wenu na TFF huku Serikali kupitia FCC kuomba Kuuchunguza Mkataba wenu GSM mlikuwa mnaenda Kuumbuka na hata Kuingia Hasara na Reputation yenu Kuharibika.

Imeshajulikana kuwa Mkubwa Mmoja kutoka FCC na ambaye pia ni Mwanasheria Kitaaluma na mwana Yanga SC Mwenzenu baada ya kupitia Mkataba wenu aligundua Mapungufu makubwa ya Kisheria ambapo kama Mtego wa Simba SC kwa TFF kutaka wapewe Barua rasmi ungefanikiwa na TFF kuwapa Simba SC basi Simba SC walikuwa wameshaandaa Wanasheria wake Nguli na wangeenda hadi FIFA na CAS ambapo kama mlivyoshindwa Kesi ya Mchezaji Bernard Morrison na hii oia mmgeshindwa na GSM kuamriwa kulipa Faini Kubwa.

Kwahiyo GSM mlichokifanya leo ni Kuwawahi TFF kabla ya kuwapa Simba SC Ripoti ya Mkataba wenu wa Udhamini Mwenza Kujitoa na mbakie tu na Yanga SC yenu kwani huenda huko mbele ya Safari Kisheria mngepewa Adhabu Kali na Faini ya zaidi hata ya iliyokuwa Hela ya Udhamini wenu wa Shilingi Bilioni 2 na Milioni 100 Kitu ambacho hamkukitaka kabisa kwani kwa sasa mna taabu ya Pesa (Uchumi wenu) umeyumba kidogo na Magodoro yenu Magumu kama Matofali ya Kampuni ya Strabag hayanunuliki tena.
 
Kilichobakia tu sasa ni nyie Wenyewe kwa WenyeweK kuchapana Bakora mapema kwani Mnyama Simba SC taratibu ndiyo huyo anakuja na sasa Mechi zenu zote Yanga SC Sisi tutazicheza kuanzia hii dhidi yenu na Mtibwa Sugar FC na Mechi Nne ( 4 ) za Mzunguko wa Pili.
 
Kilichobakia tu sasa ni nyie Wenyewe kwa Wenyewe. Kuchapana Bakora mapema kwani Mnyama Simba SC taratibu ndiyo huyo anakuja na sasa Mechi zenu zote Yanga SC Sisi tutazicheza kuanzia hii dhidi yenu na Mtibwa Sugar FC na Mechi Nne (4) za Mzunguko wa Pili.
Mngecheza zenu huko Mbeya, kagera na Morogoro kabla haujaja kubwabwaja hapa
 
Yaani Wewe Udhamini Mwenza tu umejitutumua kutoa Shilingi Bilioni 2 na Milioni 100 tena kwa miaka Miwili wakati Mwenzako Mchango wake wa papo kwa hapo katika Ujenzi wa Uwanja wa Klabu yake katoa Shilingi Bilioni 2 tena bila Mawazo yoyote.

Baada ya Kikao cha Kampuni yenu ya Kitapeli Kitapeli mkagundua kuwa kwa Kipindi kifupi tu mmetumia Pesa nyingi ili Kumhujumu Tajiri wa Afrika na Klabu yake ( yetu ) pendwa ili ifungwe na Wachezaji wake Waumizwe huku mkiwapa Pesa Waganga wakubwa Wawafunge Wachezaji halafu hampati Faida yoyote na mnaenda Kufilisika sasa kwani hata Magodoro yenu mabaya na yenye Kunguni Watu hawayapendi na hayanunuliki mkaamua Kujitoa rasmi.

Kudadadeki zenu si mlijifanya mnazo?
 
1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021?

2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika ( ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu Werevu Tanzania nzima ) hamjawapa Pesa yoyote...
Wewe ni mpumbavu ujui ata maana ya mkataba, yaani ulitaka gsm ndo akae na vilabu badala ya bodi ya ligi au tff, alafu unasema wamevunja mkataba, terms za huo mkataba unazijua?

Unapoferi kutekeleza matakwa ya vipengele kwenye mkataba husika unakuwa umevunjika automaticaly, ayo maswali unayouliza kawaulize tff na sio gsm ayawahusu.
 
Najua Sindano inawaingia vizuri mno tu.
Ila nyie makolo bhana, GSM katoa sababu kwanini anavunja mkataba, kuvunja mkataba ni vitu vya kawaida sana kwenye mambo ya business wala sio kitu cha kushangaa kama una uelewa.

Mfano mzuri kwani timu zinapovunja mkataba na wachezaji, timu zinakua hazina ela, au ni interest tu kwa yule mchezaji zinakua zimeisha.

Kinachowauma nyie ni uwepo wa GSM pale Yanga, uwepo wake umekuja ku m challenge kanjibai na timu yenu kwenye ligi ndio maana mnatema mapovu.

Halafu acha kuchafua brand za watu, kampuni ya kitapeli imekutapeli nini? Kama wamekutapeli si uende polisi ukawashtaki
 
Back
Top Bottom