Waziri ni National figure entitled to National responsibilities.
Narudia, Waziri ni cheo cha Kitaifa mwenye majukumu ya Kitaifa.
Hapa nikiwa na maana kuwa anatakiwa aweke mizania sawa kwenye matukio yanayofanana ya nchi nzima.
Vyombo vya habari vimeendelea kuripoti madhara ya mafuriko ya...
Maendeleo ya watu huletwa na watu wenyewe kwa kushirikiana na viongozi bora katka mazingira ya amani, utulivu na upendo.
Kiongozi ambaye siku zote ni kuchochea mpasuko na vurugu hafai hata kidogo.
Nitoe mfano hai kwa kiongozi kama Makonda. Kiongozi huyu ametuhumiwa na kwa ushahidi ulio wazi...
It is very funny!
1. Serikali imeweka utaratibu wa kupanga na kusimamia sekta zake mfano ujenzi wa barabara. Leo tumeuacha, Makonda ndiye anapeleka magreda site kuchimba barabara. Nasi tuko kimya tunaona sawa.
2. Vikundi vya kupinga vyama halali vya upinzani vinaasisiwa na vinatumia dini na...
Nchi mbalimbali duniani huona fahari sana kukumbuka siku za kuzaliwa mataifa yao. Neno kuzaliwa nimemaanisha siku ya kupata uhuru.
Nimeangalia majuzi hapa kwa jirani zetu Kenya, walisherehekea siku yao ya Uhuru kwa kishindo wakiwa pamoja na Rais wao Dr. Ruto. Nchi nyingi hasa zilizojikomboa...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, cha kila Jumatatu, kaonyesha misimamo yake.
Kuwa, anapenda aone wananchi wana uelewa wa kutosha kuhusu maono ya Mama yetu Raisi.
Na kuwa yeye (Mtaka) hukaa na viongozi wenzake kutafsiri na kutekeleza maono na matarajio ya Raisi kwa...
Inawezekana tukifanyia mabadiliko madogo Katiba yetu, 2025 tukaunda Serikali ya Mseto.
Zanzibar ya leo, siyo ile tuliyoiona au kuijua enzi za ngangari na ngunguri za kina Mahita. Siri kubwa nyuma yake nionavyo ni mshikamano wa "KWELI" kupitia "SERIKALI YA UMOJA/ MSETO"
Tanganyika ina bahati...
Nimewahi kukaa na Mzee mmoja mstaafu, akanipa kaukweli fulani kuhusu aina ya viongozi tulionao.
Kuwa ,
1. Hawashauriki kwa mambo yaliyo wazi.
2. Hawako makini kwenye maamuzi.
3. Hawana upeo wala mkakati wa kuifanya Tanzania ipate maendeleo endelevu, wanajali la leo tu.
Alitolea mfano wa...
Ikumbukwe, nchi yetu imewahi kuwa na Wanawake nguli katika harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika na baada ya kujitawala.
Kwa uchache kulikuwa na kina Lucy Lameck, Bibi Titi, Bi Sofia Kawawa nk. Historia inaonyesha kuna mahala Bibi Titi aliwahi kumgomea Mwl. Nyerere kwa maamuzi aliyoyafanya...
Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa! Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake.
Cha ajabu ukiangalia TV hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima...
Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;
1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa...
Nimepita mitandao mbalimbali ya kijamii hapa nchini. Nimesikia maoni ya baadhi ya vijiwe mitaa ya Korogwe, Tanga mjini, Dar nk, Wanaosupport Hamas ni wengi. Tundu Lissu naye kaunga mkono Hamas.
Ni nini Maoni yako?
Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Tunakuwa na mgawo wa umeme wa kutisha na unaodhoofisha uchumi wa wananchi huku tukiwa na:-
1. Gesi asilia ya kutosha
2. Makaa ya mawe ya kutosha
3. Mwanga wa jua wa kutosha
4. Nk nk
Leo tunaishia kubadilishiwa viongozi bila kuelezwa aliyetolewa ameharibu nini na kwa nini hapelekwi mahakamani...
Katika nchi yetu imeonekana kwa sasa sifa kuu ya klongozi ni kuwa mahiri wa kutatua kero.
Kiongozi anateuliwa leo, anaambiwa wewe utafaa kwenye kutatua kero hii.
Mfano ni kero ya mgawo wa umeme nchini. Zaidi ya maraisi 3 waliopita wamekuwa wakiteua mawaziri na wakurugenzi wa Tanesco kwa...
Hayo ndo majibu ya Naibu Waziri wa Kazi na Ajira kuhusu hatima ya kikokotoo kipya kwa wastaafu. Kuwa kafanya utafiti unaoonesha ni kikokotoo bora kuliko cha zamani. Hivyo, wastaafu wafanye utafiti ndo waulize wasilalamike tuu.
Mawaziri kama hawa hawatufai katika nchi inayotambua haki na maslahi...
Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Serikali yetu makini hivi karibuni imetangaza nafasi za ajira lukuki kwa vijana waliohitimu Mafunzo ya mifugo sehemu mbalimbali.
LITA kama Taasisi ya Serikali yenye ithibati ya kutoa mafunzo hayo ikisimamiwa na NACTE imekuwa ikitoa wanafunzi lukuki kila mwaka.
Ili uweze kutambulika kifani ni...
Kwa uzoefu wangu wa awamu za Urais hapa nchini kuna jambo nimekuwa nikiliona. Hasa awamu za karibuni.
Nalo ni Viongozi wetu kutowaamini wasaidizi wao kwa mambo ambayo ni yakawaida sana.
Mfano ni huu wa Filamu ya Royal tour.
Kwa maoni yangu Mh. Rais ametumia muda mwingi kuielezea kwa Wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.