mshikamano wa kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Tuanze kufikiri namna ya kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwenye Katiba ijayo ili kutengeneza umoja na mshikamano wa kitaifa

    Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe ndani ya Serikali. Hii itasaidia kuondoa mtindo tulio nao sasa wa mshindi kuchukua vyote hata kama...
  2. msovero

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuleta umoja na mshikamano wa kitaifa?

    Ndugu Wana JF karibuni kwenye mjadala wa wazi wa kutoa maoni juu ya mambo gani yafanyiwe kazi ili kurejesha umoja na mshikamano wa kitaifa bila kujali tofauti za itikadi zetu za dini na kisiasa. Mimi kama Mtanzania mwenzenu nashauri mambo haya; 1. Kutengwa siku maalum ya kitaifa ya kuomboleza...
  3. Inside10

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: BAKWATA yahimiza ushirikiano baada ya uchaguzi

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania wote kuungana na kushirikiana mara baada ya uchaguzi wa serikali kufanyika kwa amani. Akizungumza kwa niaba ya Baraza hilo, Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaji Nuhu Mruma, aliwasihi wananchi kuwapa ushirikiano viongozi waliochaguliwa...
  4. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Abdulrahman Kinana asisitiza umoja, amani na mshikamano kwa Taifa

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amesisitiza umuhimu wa kudumisha umoja, mshikamano na ushirikiano baina ya watanzania wote bila kujali dini, kabila wala rangi kwa kuwa ni suala la Kikatiba na msingi wa ubinadamu. Kinana ametoa ujumbe huo wakati...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Awaomba Wananchi Kuendelea Kulinda Amani na Mshikamano wa Kitaifa

    Waziri Mhagama Awaomba Wananchi Kuendelea Kulinda Amani na Mshikamano wa Kitaifa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa rai kwa wananchi kuendelea kuzilinda tunu za umoja wa kitaifa za utulivu, amani na ushirikiano...
  6. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Ili kudumisha mshikamano wa Kitaifa anaousema Rais Samia, tuiige Zanzibar kuwa na Serikali ya Mseto 2025

    Inawezekana tukifanyia mabadiliko madogo Katiba yetu, 2025 tukaunda Serikali ya Mseto. Zanzibar ya leo, siyo ile tuliyoiona au kuijua enzi za ngangari na ngunguri za kina Mahita. Siri kubwa nyuma yake nionavyo ni mshikamano wa "KWELI" kupitia "SERIKALI YA UMOJA/ MSETO" Tanganyika ina bahati...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walishamua kuwa hawataki umoja na mshikamano wa kitaifa, hakuna haja ya kuwalazimisha.

    Waliahaonyesha wazi kuwa wao wana ubabe na hawataki kubembeleza mtu. Wana imani kuwa wana nguvu ya umma itawapa backup na walishaonyesha mapema. Wanataka tume huru na katiba mpya kwa ngivu kupitia nguvu ya umma. Hata wakikaribishwa ili kujumuika na wanasiasa wenzao ili kuonyesha mshikamano...
  8. sammosses

    JamiiForums Tanzania Bila Mshikamano wa Kitaifa, Tanzania tuitakayo itakuwa ndoto kuiona

    Bila mshikamano wa kweli Tanzania tuitakayo itakuwa ni sawa na ndoto za Alinacha.Tutaimba sana amani na umoja lakini haki bila wajibu au wajibu bila haki ndiyo silaha pekee ya kuvunja umoja wetu wa kitaifa ulioasisiwa na Mwalimu J K nyerere. Watawala wamepata mashaka juu ya kuvunjika kwa...
Back
Top Bottom