Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 3,791
- 3,360
Inawezekana tukifanyia mabadiliko madogo Katiba yetu, 2025 tukaunda Serikali ya Mseto.
Zanzibar ya leo, siyo ile tuliyoiona au kuijua enzi za ngangari na ngunguri za kina Mahita. Siri kubwa nyuma yake nionavyo ni mshikamano wa "KWELI" kupitia "SERIKALI YA UMOJA/ MSETO"
Tanganyika ina bahati ya kuwa na rasilimali za kutosha na nyingi kupita nchi zote jirani zinazotuzunguka.
Tunackokosa kwa maoni yangu, ni kukosa chujio zuri la kupata viongozi mahiri na makini wanaoweza kukaa pamoja, na kuindeleza nchi.
Kitendo cha mwana CCM kumteua mwana CCM mwenzake kwa sababu ya kadi tuu ya uanachama na siyo umahiri, hakitatufikisha popote.