Simpendi Halima Mdee, ila napenda misimamo na mawazo yake. Anafaa sana kuendelea kuwepo CHADEMA

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,791
3,360
Ikumbukwe, nchi yetu imewahi kuwa na Wanawake nguli katika harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika na baada ya kujitawala.

Kwa uchache kulikuwa na kina Lucy Lameck, Bibi Titi, Bi Sofia Kawawa nk. Historia inaonyesha kuna mahala Bibi Titi aliwahi kumgomea Mwl. Nyerere kwa maamuzi aliyoyafanya Mwl bila utashi wa Wanachama wa TANU. Taarifa zilizothibitika baadae,Mwl. alikiri kosa,na kazi ikaendele bila kwa yeyote kujiondoa Uanachama na mafanikio ya kupata Uhuru tuliyaona.

Sina historia sahihi sana ya Halima Mdee katika medani za siasa nje ya CHADEMA. Ila ndani ya CHADEMA ninamfahamu vizuri. Ni moja kati ya Wanachama ambao, hata leo nisikie amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, sitakuwa na shaka yoyote.

Umahiri wake niliuona pale alipoisimamia vyema BAWACHA,licha ya misukosuko kibao iliyokuwepo,ikajulikana pote nchini na hata nje ya nchi.

Aina ya siasa za Bawacha na harakati za kuingiza wanachama wapya kwa wingi, zilifanana sana na enzi zs UWT ya TANU ya kina Sofia Kawawa enzi hizo.

Hii inatuonyesha kuwa huna namna unaweza kusema unaimarisha Chama cha Siasa hapa nchini kwa kuwaacha wanawake nyuma.

Kwa hali ya mrengo wa Kisiasa ulivyo nchini hivi sasa na kwa kuzingatia Raisi ni Mwanamke, Chadema itahitaji sana BAWACHA imara kuelekea 2025. Siyo siri,kura nyingi 2025 zitatoka kwa kundi la Wanawake.

Nikiri wazi mimi siyo Mwanachama wa Chadema,bali napenda sana mtu makini, mwenye maono,asiyetetereka na anayetia chachu ya Maendeleo kwa nchi yangu.

Nilisema simpendi Halima Mdee kwa sababu zangu binafsi, ila napenda umahiri wake wa kupigania jambo kwa hoja, na ni Political material kwenye siasa za wakati huu.

Binafsi nawasihi Baraza Kuu la CHADEMA,fikirieni vyema,umuhimu wa kundi la kina Mdee na wenzake ndani ya Chama chenu. Anzeni upya, pale mlipokosana, tumieni muda mfupi sana kusameheana, endeleeni kukijenga Chama.

Nchi ilikofikia sasa mnahitajika kuliko tulikotoka. Unganeni, nchi itawaelewa. Msipofanya hivyo,sina maneno sahihi ya kusema kitakachotokea kuelekea uchaguzi 2025.

Mh,Mbowe, Tundu Lisu, Sugu,Mnyika, Heche, Wenje nk. Kina Mdee ni Dada zenu,wasameheni bure,wamalizie Ubunge wao,hamtapungukiwa kitu, mrudi kama zamani,tuwasikie bungeni nchi isonge mbele.
 
actually, kumpenda au kumchukia yeyote yule ni hiary yako, hata kama huna sababu ya maana.

Ni haiba ya mwanadamu kuwa na chembe chembe za chuki bila hata kuwa na ubaya wowote alotendewa na muhuusika...

Yawezekana pia chuki dhidi yake huna, ila roho inakuuma tu na unajikuta unamuonea wivu vilevile bila hata kua na ukaribu nae wowote ule...
 
Si mwana CHADEMA , walishafukuzwa na Mahakama jana imesisitiza hilo isipo kuwa tu, rufaa ya kupingwa kufukuzwa ndiyo itasikilizwa upya na baraza kuu la CHADEMA pasi na Mnyika.

Unataka awepo CHADEMA wakati kishafukuzwa, naona amfuate JIWE aliyewarubuni, na ndio utajua wanawake hawaamini hata siku moja, awe Spika, Rais au mbunge.Haya mambo ya usawa yameletwa tu na mabeberu lakini mwanamke mda wowote anaangusha nyumba, hebu fikiri mateso , utekaji, mauaji waliyopitia wapinzani ila JIWE akaja akawapa milioni 400 kila mwanamke na ubunge wa bure wakasaliti chama!
 
Ikumbukwe, nchi yetu imewahi kuwa na Wanawake nguli katika harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika na baada ya kujitawala.
Kwa uchache kulikuwa na kina Lucy Lameck, Bibi Titi, Bi Sofia Kawawa nk. Historia inaonyesha kuna mahala Bibi Titi aliwahi kumgomea Mwl. Nyerere kwa maamuzi aliyoyafanya Mwl bila utashi wa Wanachama wa TANU. Taarifa zilizothibitika baadae,Mwl. alikiri kosa,na kazi ikaendele bila kwa yeyote kujiondoa Uanachama na mafanikio ya kupata Uhuru tuliyaona.
Sina historia sahihi sana ya Halima Mdee katika medani za siasa nje ya CHADEMA. Ila ndani ya CHADEMA ninamfahamu vizuri. Ni moja kati ya Wanachama ambao, hata leo nisikie amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,sitakuwa na shaka yoyote. Umahiri wake niliuona pale alipoisimamia vyema BAWACHA,licha ya misukosuko kibao iliyokuwepo,ikajulikana pote nchini na hata nje ya nchi. Aina ya siasa za Bawacha na harakati za kuingiza wanachama wapya kwa wingi, zilifanana sana na enzi zs UWT ya TANU ya kina Sofia Kawawa enzi hizo. Hii inatuonyesha kuwa huna namna unaweza kusema unaimarisha Chama cha Siasa hapa nchini kwa kuwaacha wanawake nyuma.
Kwa hali ya mrengo wa Kisiasa ulivyo nchini hivi sasa na kwa kuzingatia Raisi ni Mwanamke, Chadema itahitaji sana BAWACHA imara kuelekea 2025. Siyo siri,kura nyingi 2025 zitatoka kwa kundi la Wanawake.

Nikiri wazi mimi siyo Mwanachama wa Chadema,bali napenda sana mtu makini, mwenye maono,asiyetetereka na anayetia chachu ya Maendeleo kwa nchi yangu.
Nilisema simpendi Halima Mdee kwa sababu zangu binafsi, ila napenda umahiri wake wa kupigania jambo kwa hoja, na ni Political material kwenye siasa za wakati huu.
Binafsi nawasihi Baraza Kuu la CHADEMA,fikirieni vyema,umuhimu wa kundi la kina Mdee na wenzake ndani ya Chama chenu. Anzeni upya, pale mlipokosana,tumieni muda mfupi sana kusameheana, endeleeni kukijenga Chama. Nchi ilikofikia sasa mnahitajika kuliko tulikotoka. Unganeni, nchi itawaelewa. Msipofanya hivyo,sina maneno sahihi ya kusema kitakachotokea kuelekea uchaguzi 2025. Mh,Mbowe, Tundu Lisu, Sugu,Mnyika, Heche, Wenje nk. Kina Mdee ni Dada zenu,wasameheni bure,wamalizie Ubunge wao,hamtapungukiwa kitu, mrudi kama zamani,tuwasikie bungeni nchi isonge mbele.
Haijalishi una msimamo dunia nzima...
Ila usaliti ni jambo ambalo halivumiliki.
Sidhani kama kuna mtu ambaye amewahi kuwa na msimamo kama Dr Slaa lakini bado chadema ilimpiga chini walau yeye hakuleta unafiki alijitokeza hadharani akasema kuwa haungi mkono walichofanya na amejiondoa. Vijana wakamwita msaliti. Sasa hawa wakina Halima tena alikuwa akimshambulia Slaa, ila yeye nyuma nyuma akawasaliti wenzake na kwenda kuapishwa huo sasa ndio usaliti mkubwa zaidi.
Ni afadhali adui anayekupinga hadharani kuliko yule anayekupinga gizani unashtuka tayari mtutu kichwani.
CCM wanajua hilo ndio maana kuna wakati huwa wanasema bungeni kuwa wamo kwa magumashi...
 
Kampeleke nyumbani kwenu awe part of your advise team
 
Nataka nimchumbie Halima mdee, alafu akishakua chini ya imaya yangu sitaki kumuona kwenye siasa , mwenye no yake naomba nianze kuweka mambo sawa ,
 
Nilikuwa namkubali sana mpaka siku ile aliyokubali kwenda kuapishwa garage kule bungeni, hapo ndipo nikajiona kumbe nilikuwa simfahamu vizuri dhamira yake, ni opportunist tu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Si mwana CHADEMA , walishafukuzwa na Mahakama jana imesisitiza hilo isipo kuwa tu, rufaa ya kupingwa kufukuzwa ndiyo itasikilizwa upya na baraza kuu la CHADEMA pasi na Mnyika.

Unataka awepo CHADEMA wakati kishafukuzwa, naona amfuate JIWE aliyewarubuni, na ndio utajua wanawake hawaamini hata siku moja, awe Spika, Rais au mbunge.Haya mambo ya usawa yameletwa tu na mabeberu lakini mwanamke mda wowote anaangusha nyumba, hebu fikiri mateso , utekaji, mauaji waliyopitia wapinzani ila JIWE akaja akawapa milioni 400 kila mwanamke na ubunge wa bure wakasaliti chama!
Upo sahihi sn
 
Haijalishi una msimamo dunia nzima...
Ila usaliti ni jambo ambalo halivumiliki.
Sidhani kama kuna mtu ambaye amewahi kuwa na msimamo kama Dr Slaa lakini bado chadema ilimpiga chini walau yeye hakuleta unafiki alijitokeza hadharani akasema kuwa haungi mkono walichofanya na amejiondoa. Vijana wakamwita msaliti. Sasa hawa wakina Halima tena alikuwa akimshambulia Slaa, ila yeye nyuma nyuma akawasaliti wenzake na kwenda kuapishwa huo sasa ndio usaliti mkubwa zaidi.
Ni afadhali adui anayekupinga hadharani kuliko yule anayekupinga gizani unashtuka tayari mtutu kichwani.
CCM wanajua hilo ndio maana kuna wakati huwa wanasema bungeni kuwa wamo kwa magumashi...
Kwanini unasema ni usaliti
 
Back
Top Bottom