kuhukumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Hali aliyokuwa nayo Bob Risky baada ya kuhukumiwa

    Video inajieleza PIA SOMA: - Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)
  2. FRANCIS DA DON

    Picha ya uso wa mtu aliekata tamaa ya kuishi baada ya kuhukumiwa miaka 22 Jela

    Hiyo picha ni ya mdada / Mbibi anaitwa Maria, ni mjane mwenye watoto wa 4 =========================== Update: 08/11/2023 https://www.jamiiforums.com/threads/tls-kumsaidia-aliyefungwa-miaka-22-kisa-nyama-ya-swala.2156049/ ========================== Haya, huyu hapa, Anaitwa Hakimu...
  3. Kididimo

    Uzembe nchi hii utaisha kwa mzembe kuhukumiwa kwa kupigwa risasi hadharani

    Tunakuwa na mgawo wa umeme wa kutisha na unaodhoofisha uchumi wa wananchi huku tukiwa na:- 1. Gesi asilia ya kutosha 2. Makaa ya mawe ya kutosha 3. Mwanga wa jua wa kutosha 4. Nk nk Leo tunaishia kubadilishiwa viongozi bila kuelezwa aliyetolewa ameharibu nini na kwa nini hapelekwi mahakamani...
  4. Mhandisi Mzalendo

    Maandamano makubwa Senegal baada ya kiongozi wa upinzani kuhukumiwa

    Habari wana jamvi. Maandamano makubwa yanaendelea Senegal nzima baada ya kiongozi wa upinzani Ousmane Sonko kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kulaghai watoto chini ya miaka 21. Awali bwana Sonko ambaye ni gavana wa jimbo mojawapo alikuwa na tuhuma za ubakaji. Pale dada wa...
  5. JanguKamaJangu

    Eswatini: Wabunge waliopinga utawala wa Mfalme Mswati III kuhukumiwa

    Wabunge wawili Mduduzi Bacede Mabuza na Mthandeni Dube walioshiriki katika maandamano ya Mwaka 2021 wameshtakiwa kwa makosa ya mauaji na ugaidi na wanaweza kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka 20 jela japokuwa wamekana mashtaka ya kuchochea machafuko. Waandamanaji walidai kukasirishwa na kuzorota...
  6. BARD AI

    Senegal: Vyama vya Upinzani vyaitisha maandamano baada ya Kiongozi wao kuhukumiwa kifungo cha miezi 6

    Muungano wa Vyama vya Upinzani Nchini #Senegal umeitisha maandamano hayo siku moja baada ya Mahakama kumuongezea muda wa kifungo #OusmaneSonko kutoka miezi 2 hadi 6 kwa madai ya kumtukana Waziri wa Utalii Mame Mbaye Niangtou. Kwa mujibu Vyama hivyo, maandamano yanalenga kupinga uamuzi wa...
  7. BARD AI

    Anayedaiwa kumuua ‘Trafiki’ kuhukumiwa Machi 2023

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Machi 17, 2023 kusoma hukumu ya kesi ya mauaji ya askari wa kikosi cha usalama barabarani, Sajenti Mensah inayomkabili Amani Philipo. Tarehe hiyo ilipangwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Lumuli Mbuya anayesikiliza kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kufunga...
  8. rosemarie

    Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
  9. Erythrocyte

    Ayubu Sikagonamo wa CHADEMA atimiza siku 378 gerezani bila kuhukumiwa

    Huyu ni kijana aliyechangia kwa kiasi kikubwa sana kusambaratishwa kwa ccm huko Tunduma , alikuwa diwani wa Tunduma Mkoa wa Songwe , alishakamatwa mara kadhaa na kuachiwa kama wakamatwavyo viongozi wengi wa Chadema. Ili kumkomoa akatengenezewa kesi ya Uhujumu uchumi , yaani diwani na Mkulima wa...
Back
Top Bottom