patrobas katambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katambi: Tanzania hakuna Ugaidi, kunaweza kuwa na viashiria

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii. Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na degree ya Patrobas Katambi. Kwenye Penal code hakuna kifungu kinachokataza ukahaba

    Yeye anajinasibu kuwa ni mjuvi wa mambo ya sheria. Na anadegree ya sheria toka SAUT. Lakini kwa mahojiano aliyofanya na mwandishi mmoja wa habari. Kwanza anajikanyaga kanyaga. Hajui vifungu ni aibu tupu.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Katambi kuhusu Kesi ya kupotea kwa Polepole 'Vyombo vya usalama vinaendelea na upelelezi'

    Akijibu swali la mwandishi kuhusiana na habari za kupotea kwa aliyekuwa Balozi wa Cuba Humphrey Polepole, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amesema kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea na upelelezi na uchunguzi wa kina juu ya kesi ya kupotea kwa Humphrey Polepole ili kubaini...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Katambi: Kuna mambo ya utekaji yanafanyika na raia wenyewe kwa uhasama na chuki

    Katika mahojiano na ayo TV, Waziri wa Mambo ya ndani, Patrobas Katambi, ameeleza kuwa matukio mengi ya utekaji na mauaji yanayoripotiwa nchini yanatokana na migogoro ya kibiashara, uhasama wa kijamii na uhalifu wa kawaida wa raia kwa raia, na si maelekezo ya mamlaka za serikali kama...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Katambi: Wapinga Maendeleo wananitishia kuniburuza Mahakamani, kuna Mzee anaenda kunishtaki

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi akizungumza na Makundi ya Walinzi wa amani katika jamii, Polisi jamii, Wazee, Sungusungu, Wenyeviti wa Mitaa, Mabalozi na Wenyeviti wa Vitongoji vya Shinyanga Mjini, amesema serikali itaendelea kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani huku...
  6. N

    JamiiForums Tanzania LHRC, TLS, Dk. Slaa wamfungulia Kesi ya Kikatiba Waziri Katambi kupinga amri ya kuzuia Mikutano ya Hadhara ya Kisiasa

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na mwanasiasa maarufu, Dk Willbroad Slaa, wamefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri wa Mambo ya Naani ya Nchi, Patrobas Katambi na wenzake sita. TLS na wenzake wamefungua kesi hiyo Mahakama...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni wana Dar es Salaam kwa kutomtii Katambi, hamjafanya biashara kama siku nyingine, ishara nchi haiko kwenye amani

    Asanteni Wana Dar es salaam kwa kutomtii Katambi, hamjafanya biashara kama siku zingine, ishara nchi haiko kwenye amani. Another loss kwenye utawala wa Samia hadi hii ifirisike.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Katambi: Ambaye anaona sina Mamlaka tutakutana kwenye sheria

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi wakati akifanya mahojiano na UTV Julai 1, 2026, amesema maandamano yoyote yanapaswa kufuata taratibu za kisheria ili yarasimishwe na kuwekwa katika mazingira salama. Akijibu swali kuhusiana na kifungu cha sheria katika Katiba inayompa Waziri wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tangu tumepata uhuru Patrobas Katambi ndio waziri wa hovyo kupata kutokea

    Maamuzi yake ni hovyo hovyo ambayo kama mtu ana akili timamu hawezi kuyatoa.Mfano hili suala la vitambulisho vya Nida ni maamuzi ya hovyo kanisa. Nasema hivi sababu mpaka sasa kuna Watanzania wengi ambao hawana vitambulisho vya Nida kisa tu wamezaliwa kwenye mikoa ambayo inapakana na nchi za...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria

    Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria. Samia alijua atakuwa mtu wa kumsaidia kuwaunganisha watanzania. Badala yake katambi kamvua nguo Samia hadharani. Je, Matendo ya Katambi ni Maagizo ya Samia. Au kamuweka njia panda?
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Waziri Patrobas Katambi: Kitambulisho cha NIDA sio taarifa binafsi. Ni Public na ndio maana mnasheherekea Birthday

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kutoa Kitambulisho cha Taifa (NIDA) unapotembelea nyumba ya kulala wageni hakumaanishi kuanika taarifa binafsi, kwani kitambulisho hicho si taarifa binafsi. Soma Pia: Waziri Katambi: Wamiliki wa Hoteli, AirBnB, Guest Houses na Lodge...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katambi: Uhuru na demokrasia bila mipaka ni fujo, tusifiche uhalifu kwenye siasa

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema zuio la mikutano ya hadhara halilengi kukiuka misingi ya demokrasia nchini, bali kuimarisha ulinzi na usalama, akisisitiza kuwa demokrasia bila mipaka ni fujo. Katambi amesema hayo leo, Juni 29, 2026, katika mahojiano na Shirika la...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Niyegira: Waziri Katambi anatakiwa kujikagua kuhusu kauli yake, ameiweka Serikali katika hatihati ya kurudishwa nyuma

    Mchambuzi wa Siasa, Paternus Niyegira aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Kituo cha Crown FM, Juni 26, 2026.
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ahmed Kombo: Waziri Katambi kitendo cha kufungia mikutano ya siasa, mimi nakutafutia zawadi ya mbuzi

    Mwanaharakati Ahmed Kombo, ameahidi kutoa zawadi ya Mbuzi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ikiwa ni pongezi baada ya hatua ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa "Waziri kitendo cha kufungia mikutano ya siasa, mimi nakutafutia zawadi ya mbuzi. Niko tayari kukabidhi zawadi...
  15. polokwane

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo CCM mnazuia mikutano ili mfanye siasa kwa uhuru kupitia ziara mtakazoziita za Kiserikali?

    Hilo limesha julikana mnaona spana za upinzani ni kali na misumari ya moto kabisa, hivyo mmeona mjifanye mnazuia siasa vyama vyote, halafu nyie muendelee na siasa kwa kwa mgongo wa ziara za kikazi sio! Kujifanya waziri mkuu yupo ziara, mara sijui raisi yupo ziara,makamu wa rais yupo ziara ili...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Agizo la Patrobas Katambi ni batili Kikatiba na kisheria. IGP Wambura, ROCs na OCDs zingatieni hili: "za kuambiwa, changanyeni na zenu"

    https://www.youtube.com/watch?v=JInRM3GwaLk Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Tanzania awamu ya tano aliwahi kuwaonya viongozi na wanasiasa wenzake pamoja na watumishi wa umma kwa ujumla kuwa, "...siku zote kila unalosikia au kuambiwa katika maisha usilibebe tu hivyo hivyo kama zuzu na kulifanyia...
  17. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Tamko la Waziri wa Ndani Patrobas Katambi la kuzuia vyama vya siasa kufanya siasa huenda likaleta athari kubwa ndani ya nchi

    Inawezekana mazingira ya kisiasa yakawa na athari kwa hali ya usalama kwa namna fulani, nchini tanzania. Mazingira kama haya huenda yakachochea maandamano yanayoratibiwa mitandaoni na watu wasiofahamika. Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote Tamko hilo...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Government suspends all Political rallies due to 'Security concerns'

    In a firm parliamentary address today, the Minister of Home Affairs, Patrobas Katambi, announced a blanket suspension of all public political rallies across Tanzania, directing law enforcement to halt the issuance of gathering permits immediately. Addressing the Speaker and the Parliament...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche amjibu Waziri Katambi, "Eti sina kazi ya kufanya, nina uchu wa madaraka"

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche ameshangazwa na madai ya kuambiwa ana uchu wa madaraka Heche amesema hayo Alhamisi Juni 25, 2026 wakati akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mpanda Mjini kwenye Viwanja vya Kashaulili. ‘’Huyo anayesema nina uchu wa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kampala: Dar ni Kiwanda kikubwa sana cha kuzalisha Mashoga, nini kauli ya Serikali?

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Serikali itaendelea kusimamia utekelezaji wa Sheria dhidi ya vitendo vyote vinavyokiuka maadili, mila na desturi za Kitanzania, ikiwemo biashara ya ukahaba na makosa mengine yanayohusiana na maadili ya Jamii. Akijibu swali la Mbunge...
Back
Top Bottom