Chawa is a very old village in Bhera near the town of Bhera, Sargodha District, Pakistan. It is located at 30°59'0N 72°54'0E with an altitude of 153 metres (502 ft).The Bhalwana and Sipra are the main families of this village..
The first district Nazim of Sargodha Malik Amjad Ali Noon was from a village named Ali Pur Noon.
Chawa produces a specific kind of plant that is used in the manufacture of colour paints.
Ni Tlaatlaah
Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi.
Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata yeye keshatekwa, hajulikani yuko kwenye "house arrest" ipi..
Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho...
Wanatafuta justification ya walichomfanyia Nchimbi kukichafua Chama.
Chadema haipaswi kufananishwa na ccm , iwe mfano wa kuigwa wa demokrasia ndani na nje ya chama.
Akizungumza leo, Agosti 28, 2026, katika Mkutano wa Wadau wa Masuala ya Kidemokrasia uliofanyika kwenye makao makuu ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema aliyekuwa makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa hajawai kuwa chawa
"Kwa sababu mimi nasema...
Hivi doto magari anajielewa kweli?
Yaani unakuwa chawa na kuomba hela kisa kupamba watu na mafanikio yao kweli?
Sasa Maybach sio yako, unasifia wanaume wenzako na bado, unatambia wanaume wengine kwa kusikia wanaume...
Na wamatumbi tu bwana..
Na msanii wake jamaa linamdhalirisha mbele ya...
Naamini MACHAWA WOTE wana akili timamu,ila wameamua KUJITOA AKILI,kujizima data,kujitoa ufahamu kuna machawa wamesoma vyuo vikuu,wengine ni maprofesa kabisa
Usifikiri hawa wanaoposti hapa UCHAWA UCHAWA ni kwamba wao hawana akili timamu au hawaoni,ni watu walioamia KUTUMIKA wakiwa na akili zao...
Mtu anapata uthubutu wa kudai anaweza kukuombea hadi ukafutiwa kesi, tunaona ni sawa na mabango yanawekwa barabarani?
Taifa letu ni kama halina uongozi. Wote Serikalini mnaona ni sawa hii? Tuweke matangazo similar to this mtaruhusu????
Hauna haki ya kuwa chawa ni kujikosesha heshima tu, hamlipwi mnashinikizwa sababu mnafahamika.
mtu kama Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli n.k
Ni case study hawana namna .
kama mimi nilivyoenda ikulu nikakuta darasa la viongozi yule mama anawafundisha yeye ni mwema na alivyoniona mgeni...
Baada ya Kitoilet paper cha Habib Mchange, naye akiwa ndiye mhariri wa kitoilet hicho kutoa kashfa kumtuhumu Nilesh mmiliki wa state oil kuwa alitoa pesa kuifadhili CHADEMA, nileshi alitoka kukanusha tuhuma hizo na kusema yeye hakuwahi kuifadhili CHADEMA, bali alimpatia Heche fedha kama...
Hiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake.
Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako peke yao. Ila sasa wamepata kizazi chenye kuunga mkono mabadiliko na kumaliza kabisa siasa za hovyo...
Hawakosi kuposti thread hata kumi kwa siku zote zikimshambulia..
Hawa chawa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa Manesi, Retired, Troll J kwa mrengo wao na kujinasibu kwao hujitanabaisha kwa ujasiri na bila kificho kuwa ni wana CCM na watetezi wa Samia Suluhu Hassan wakiapa kuwa hata ikitokea...
Nimeona moja ya video mchambuzi wa hovyo anayeitwa DJ SMA anayedai kutumia facts na logic tu akiwa na hoja za ajabu ajabu sana akisema kuna viongozi wa makanisa walipewa pesa kutoka nchi za Nordic kuchochea vurugu, kuna watu walikamatwa Malawi wakiwa na dola milioni moja wanataka kuvuka mpaka...
Mkana Jinsia Dayon Monsoon aliyehojiwa na Mange Kimambi Canada na kujipatia umaarufu na akiwa mstari mbele kudai haki na kumpinga Samia na CCM. Now ghafla anamtetea Samia na kuwa chawa kama kina Kigogo, Mwandambo, Suphian Juma na wengine. Fatma Karume aingia mitini, sasa amebaki Maria Sarungi na...
Ndugu wana-jamvi,
Inasikitisha kuona kuwa leo hii nchini, elimu yako, weledi wako, na uchapakazi wako maofisini havina thamani tena. Ili upandishwe cheo, ulindwe usitumbuliwe, au upate mkataba wa serikali, huna haja ya kuwa na akili kubwa—unachotakiwa kuwa nacho ni "Cheti cha Uchawa"...
Sitaki kuingia kwenye dini sio sehemu yangu.
Hapa na zungumzia wale wakina Nuhu wakutaka kuwajengea safina.
Wanaopigania nchi na vizazi vyenu kwa mislahi yenu mnawaona sio wazarendo,vibaraka,waihini na wengine kupotezwa kabisa.
Kwa nyie CCM na chawa siku galika likifika mtawakumbuka wakina...
Nilikuwa na rafiki yangu mzuri ambaye tulifahamiana ofisini lakini baadaye alikuja kuhama pale ofisini sasa yapata miaka 8 hatuko pamoja
Lakini wakat huo wote tuliendelea kuwasiliana na kusaidiana katka changamoto mbalimbali za kimaisha
Kilichonishtua ni kuwa mwaka Jana alinipigia simu...
Kwa sasa, kama taifa, tuna tatizo kubwa tu.
Nalo ni uchawa. Uchawa umeondoa uwezo wa kuthubutu na kufikiri.
Kujipendekeza kumechukua nafasi ya kila kitu.
Utu wetu umedhalilishwa na kuhujumiwa.
Je nini kifanyike kuondoa kadhia hii ili baadaye asitokee tena rais mfuga na mpenda uchawa?
Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.