katambi

Garcinia indica, a plant in the mangosteen family (Clusiaceae), commonly known as kokum, is a fruit-bearing tree that has culinary, pharmaceutical, and industrial uses.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Katambi haina Vision kiasi cha Waziri kupata muda wa kudeal na petty issues?

    Wizara haina muda na utekaji Wizara haina muda na mauaji Waziri hutamsikia akizungumzia mkakati uliopo wa kuzuia na kukamata wauaji na watekaji Wizara haina muda na maslahi ya watumishi wake Wizara huiskii ikizungumzia mikakati ya uokozi licha ya idara ya zimamoto uokozi kuwa choka mbaya...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katambi: Bodaboda zaidi ya Elfu 7 kwa mwezi wanapata ajali na asilimia zaidi ya 68 awana leseni

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kati ya bodaboda 7,000 hadi 8,000 hupata ajali na kufikishwa katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa ajili ya matibabu. Amesema wengi wa wanaofikishwa hospitalini hapo hawana bima wala leseni za udereva, huku takwimu zikionyesha...
  3. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi anadanganya umma na madereva

    ANADANGANYA kusema kwamba tatizo ni Sheria ya Bunge ,kwamba yeye hawezi ifuta. Tatizo wala sio Sheria ya usalama Barabarani ,Sheria ipo wazi kabisa,Sheria ya usalama Barabarani (Road Traffic Act ) Sura No.168 toleo la 2023 kifungu cha 31(1) kinasema hivi , " For the purpose of ensuring...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Bwana Katambi angalia police station na ufanyaji kazi . Iga vitu vizuri kama hivi na si kupoteza, kupiga watu, kuua etc etc

    Kwa nia NJEMA tu. Ona wenzako huko Ethiopia.
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katambi: Mfumo wa alama za leseni ni majaribio utakavyoweza kutumika ili kudhibiti madereva wasiotii sheria

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ametoa ufafafnuzi kuhusu kanuni za Usalama Barabarani za mwaka 2014 zilizorekebishwa mwaka 2025 ambapo amesema kinachofanyika ni majaribio ya namna mfumo huo utakavyoweza kutumika ili kudhibiti madereva wasiotii sheria na kanuni za usalama...
  6. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Ni Aidha Katambi ana changamoto ya Afya ya Akili au Obsession au amekosa objective na Mission kwenye Wizara yake

    Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi. Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida . Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Utekaji na "Majeshi" Binafsi Vikitikisa Nchi: Kwanini Waziri Katambi na Boss Wake Wanaona Dudubaya na Uchafu wa Dar Ndio Kero Kubwa?

    Habari wana-JamiiForums, Hivi karibuni, tumeshuhudia tukio ambalo limeacha maswali mengi kuliko majibu kuhusu mwelekeo wa usalama wa nchi yetu. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuwaita wasanii na maarufu wa mitandao ya kijamii na...
  8. The Bleiz

    JamiiForums Tanzania Kutoka X ukurasa Wa Roma Kuhusu Waziri Katambi.

    Wizara ya mambo ya ndichi ina~deal na petty issues….badala ya ku~deal na vitu serious. Waziri una deal na mashalove & Pipitilda badala ya kulinda mipakani huko zinaingia pombe feki daily zinaenda kuua figo za maelfu ya mahomeboys na dada zetu, ajira zenyewe hamuwapi vijana wanashindwa kumudu...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Anachokifanya Katambi kinadhihirisha Uwezo finyu wa hiki kinachojiita Serikali

    Awali ya yote siitambui serikali iliyopo madarakani kwani HAKUKUWA na uchaguzi. Baada ya October, aina ya kinachoitwa mawaziri wa wizara mbalimbali wamegeuka kituko sijui kama ni planned au ni IQ zao ndogo kama za boss wao. Ama hakika wahalifu hawa wako mbioni kukata moto. Mwisho nakukumbusha...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katambi ampa onyo kali Afande Sele. Hatufanyi mzaha

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Katambi amempa onyo kali sana kwa Msanii Afande Sele baada ya kujirekodi video akitoa kauli pia akimwambia asifanye mzaha. Soma Pia: Afande Sele: Si sahihi Waziri Katambi kumuita Dudu baya kwenye Meza walipokaa wenye tuhuma za Ushoga
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dudubaya: Polisi msihangaike kunitafuta, nakuja mimi mwenyewe

    Msanii Dudubaya aitikia wito wa Waziri wa mambo ya ndani Katambi baada ya Waziri kutoa maagizo kwa jeshi la Polisi Dudubaya akamatwe baada ya kukaidi kuitikia wito wake wa kwanza hapo juzi. Soma: Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali "Sijawahi kuwa mkaidi kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali

    Video ya Dudu Baya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumfikisha mbele ya vyombo vya sheria msanii Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya, baada ya kushindwa kuitikia wito wa Wizara hiyo. Akizungumza na wanahabari leo Ijumaa, Katambi amesema...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Gigy Money Waziri Katambi alitupa elfu 50 za kula. Aendelee kutuita tu kila wiki

    Haya friji la Gigy money aligandishi kabisa :) Kwa madai aliyatoa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Gigy money amesema baada ya kuitwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi walipewa elfu 50 za kula. Ila Katambi kwahiyo bwebwe zote hizo uliwapa hadi hela ya kula Soma Pia: Malu...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Si sahihi Waziri Katambi kumuita Dudu baya kwenye Meza walipokaa wenye tuhuma za Ushoga

    Wote tunajua Dudu baya anapinga ushoga kwa kauli mbiu ya You better watch your back Afande amekosea kitendo cha Waziri wa mambo ya ndani, kuwaita mashoga kwamba ni Wasanii na akawaita wakutane naye. Humo humo kwenye mashoga akaita na wasanii ambao ni kioo cha jamii. Pia kuna watu si wasanii...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Chid Benz msimamo wake kwa Katambi umeleta gumzo. Jamaa hajaonesha unyonge

    Hii picha imeleta gumzo sana huko Tanzania jinsi ambavyo Chid Benz amesimama kishujaa kabisa mbele ya Bw. Katambi bila kuonesha unyonge hata kidogo. Hii picha imekuwa gumzo kwa watu wengi sana Wengine wamesema ameonesha kumdharau aliyemwita au ameonesha kutojali pengine baada ya kuona ameitiwa...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Wasanii walioitwa na Katambi leo wamesamehewa bado Anko T na Niffer ambao hawakufika

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema wasanii na watu maarufu waliotikia wito wa kwenda kwenye kikao nae wamesamehewa makosa mbalimbali waliyokuwa nayo huku Jeniffer Jovin na Twalibu Bakari Anko T kutosamehewa kutokana na kutofika katika kikao hicho. Katambi amesema hayo...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katambi awaita Dudubaya, Pipytida kwenye Kikao Maalum

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobass Katambi ametoa wito maalum kwa baadhi ya Wasanii na watu maarufu mitandaoni kwa kikao maalum ambapo amesema ajenda atakazojadili nao ni za kiserikali na zitajulikana kesho. Kuptiia taarifa aliyotoa leo Septemba 1, 2026 Katambi amewataja wasanii...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi: Rais Samia yupo sahihi kuunda Tume 2 za Oktoba 29

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema uamuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ndio utaratibu wa Sheria za Kikanda na Kimataifa ambapo ametoa mifano ya nchi mbalimbali zilivyounda tume za kuchunguza masuala yaliyotokea katika nchi zao.‎ Ameyasema hayo alipokuwa...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Hongera waziri Katambi wimbi la watukanaji kwenye social media limeanza kupungua

    Mwenendo wa wanaotukana badala ya kujenga hoja kwenye mijadala katika mitandao ya kijamii limeanza kupungua.Naamini waliokuwa wanafanya hivyo wengi wao hawakuwa Raia wa Tanzania na walikuwa na nia ya kuambukiza tabia chafu ya kutokujali kwa watanzania wenye ustaarabu na heshima.
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katambi: Oktoba 29 yaliyotokea kwao ilikuwa sherehe wakahamasisha watu wakawavutisha bangi na kuwapa viroba wakaingia barabarani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema matukio yaliyotokea Oktoba 29 yalihusisha watu waliohamasishwa kuingia barabarani baada ya kupewa kilevi. Katambi amesema baadhi ya maandamano yalihusisha vitendo vya uharibifu na uporaji, akitolea mfano wa watu kuelekea kwenye baa...
Back
Top Bottom