uteuzi

 1. technically

  Rais Samia, Mwanza: Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya utatoka hivi karibuni, wote ni vijana. Mkipata fursa hizi mkafanye kama ilivyotarajiwa

  Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana. Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake. ======== "Vijana tunaomba mjitambue kuwa niyi vijana ndio wenye maoni ya taifa hili kwa sasa na karibu...
 2. B

  Majaji wanapatikana kwa mchakato gani Tanzania?

  Tanzania Majaji wanapatikanaje? Au Rais anaweza akamteua mtu yeyote kuwa Jaji? Sioni kama kuna mchakato wowote unaoihusisha mahakama kuwapata majaji. Naona kama serikali ndio walioshika nyenzo zote za majaji na ndio maana kadri siku zinavyokwenda idadi ya majaji wasiotokana na mfumo wa mahakama...
 3. Idugunde

  Nani anaipotosha mamlaka ya uteuzi kiasi cha kufanya makosa yanayofedhehesha?

  Watanzania tulishaaminishwa kuwa mamlaka ya uteuzi ni mamlaka kubwa ambayo ina vyanzo mbalimbali vya kupata habari. Pia tulishaambiwa kuwa mamlaka ya uteuzi huwa inafanya vetting ili kupata wateule wanokidhi vigezo kwa namna yoyote ile. Sasa haya ya kuteua makada wa CCM ambao hata vigezo...
 4. MTV MBONGO

  Maoni: Dkt. Batilda Buriani ameshushwa mno kuteuliwa kuwa Katibu Tawala

  Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
 5. Course Coordinator

  Uteuzi wa Hoyce Temu kuwa Balozi na uelewa wetu kuhusu mabalozi

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa mabalozi 23, miongoni mwa mabalozi wateule hao wamo Hoyce Temu( 43) aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 1999, Togolani Mavura ambaye ni msaidizi wa Rais wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Macocha...
 6. R

  Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala?

  Mavula: Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala? Nimejiuliza why particularly Togolani Mavula anatokea kwenye thread heading, likewise Hoyce Temu kumbe ni hivi: Huyu Togolani Mavila ana historia ya kuwa na ukaribu na Ombeni Sifue aliyekuwa Katibu Mkuu ofisi ya Rais...
 7. J

  Yawezekana hayati Magufuli alikuwa anateua watendaji bila kuwahusisha VP na PM?

  Nauliza tu kwa wenye uzoefu na mambo ya teuzi Naelewa kwamba kila zama na kitabu chake lakini naona kama mama anapata kazi ya ziada kuteua tena. Kazi Iendelee! Kesho ni Pentecoste.
 8. CAGvsSPEAKER

  Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

  Yupo Hoyce Temu, Mtangazaji na mjasiriamali.
 9. K

  Ushauri: Vigezo vya kuzingatiwa na mamlaka ya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji

  Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji, Manispaa, Miji na Halmashauri ni nguzo muhimu sana katika kubuni, kusimamia na kutekeleza majukumu yote ya eneo analosimamia. Mkurugenzi Mtendaji awe ni mtu aliyebobea katika masomo yake, ujuzi na kwa kweli ni mtu ambaye anapaswa kuwa amekulia katika Halmashauri au...
 10. Pascal Mayalla

  Je, Hatuna Wanawake wa kutosha kukidhi 50/50 au kuna kosa?

  Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kila nipatapo fursa, huwa naendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zina lengo la kukuza uzalendo na kulisaidia taifa letu, kusaidia nchi yetu, kusaidia serikali yetu na kusaidia viongozi wetu waweze...
 11. M

  Kwanini Rais ameteua Mkuu wa Mkoa kutoka chama kidogo na kuacha vikubwa?

  Ni jambo la kushangaza. Oooh tutateua kutoka vyama vya upinzani pia Sasa nauliza kwanini usimteue Lema, Msigwa, Sugu au Lissu? Au hawa sio wapinzani?
 12. Emmanuel Kasomi

  Je, huu ni Uteuzi au Uhamisho

  Wakuu mimi si mjuzi wa kila kitu hivyo vingine nitoe kwenu Wajuzi. Je, anacho fanya Rais Samia suluhu ni uteuzi au uhamisho wa kazi. Kwa jinsi nilivyo ona ni kua taarifa zinatoka hivi. "Rais Samia amemteua Fulani kua mkuu wa mkoa fulani, akichukua nafasi ya fulani aliye hamishiwa mkoa fulani...
 13. W

  Uteuzi wa Wakuu wa Mkoa umekaa kimkakati, Hongera sana Rais Samia

  Nimpe Hongera Rais wetu mama Samia Suluhu, kwa teuzi za wakuu wa mikoa alofanya. Nimependa kwani imekaa kimkakati zaidi na hasa kwa kuangalia uwezo na kushabihiana kwa wasifu wa wakuu hao na mikoa waliopangiwa. Mfano kwa uchache: Mhe. Makala kupangiwa Dar, huyu ni mtu wa shughuli, na ni...
 14. B

  DPP mpya Slyvester Mwakitalu ni muumini wa mamlaka ya DPP kunyima watu dhamana, atabadilika?

  Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana...
 15. Roving Journalist

  News Alert: Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

  Salaam Wakuu, Huu ndo uteuzi rais kafanya. Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP), Hamduni Mkuu wa TAKUKURU, Amos Makala kawa mkuu wa Mkoa wa Dar, Kafulila kawa mkuu wa Mkoa Arusha, Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza, Queen...
 16. jaji mfawidhi

  Uteuzi wa Biswalo Mganga ni donda ndugu, haliponi damu nyekundu

  Uteuzi wa Biswalo Mganga umeniumiza na kunikumbusha maumivu ya taifa hasa kwa wanaharakati, Wafanyabiashara, na yeyote aliyekuwa kinyume na utawala wa Mwendazake, Biswalo alikuwa mkono imara wa mateso ya Watanzania, huyu alikuwa wino halisi wa kitabu cheusi cha utawala uliopita. Biswalo ni roho...
 17. Yericko Nyerere

  Uteuzi wa Biswalo ni kutonesha kidonda cha Umma, lakini akapumzike salama

  Uteuzi wa Biswalo Mganga umeniumiza na kunikumbusha maumivu ya taifa hasa kwa wanaharakati, Wafanyabiashara, na yeyote aliyekuwa kinyume na utawala wa Mwendazake, Biswalo alikuwa mkono imara wa mateso ya Watanzania, huyu alikuwa wino halisi wa kitabu cheusi cha utawala uliopita. Biswalo ni roho...
 18. B

  Mwalimu Mishael Muze alikataa uteuzi wa Rais ili aendelee na kazi ya Ualimu

  Wengi wamekuwa wakiuliza kama kuna Mtanzania mwenye ujasiri wa kukataa uteuzi wa Rais. Ukweli ni kwamba wapo na imepata kutokea kwa Mwalimu Mishael Muze ambaye alikataa uteuzi wa kuwa mkurugenzi wa maendeleo na kuendelea na kazi yake ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Mwenge Mkoani Singida...
 19. Papaa Mobimba

  TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

  Rais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
 20. J

  Mzee Mgaya: DPP ni lazima awe na sifa za kuwa Jaji hivyo uteuzi wa Biswalo ni sahihi, Chadema wanachanganya taaluma na Siasa!

  Mzee Mgaya anasema ili uwe Mkurugenzi wa Mashtaka ni lazima uwe na sifa za kuweza kuwa Jaji wa mahakama kuu. Kwa maneno mengine DPP ni sawa na Jaji na ndio maana amepewa uwezo wa kuamua kesi ipi iende mahakamani na ipi isiende. Kimsingi hayati Magufuli ndio alimpa ujaji Biswalo kwa kumteua kuwa...
Top Bottom