tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Madai ya Uuzaji wa Condom Zilizotumika Lodges

    Wakuu, Nimekutana na ujumbe huu unaosambaa. Mtu anadai anafanya kazi lodge na anaonya watu wasitupe condom zilizotumika kwenye dustbin kwa sababu kuna watu wanazinunua kwa Tsh 20,000 kila moja. Sijui ukweli wake ni kiasi gani, lakini kuna mambo haya ya kuzingatia: 1. Usalama: Kama ni kweli...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kumetolewa tahadhari ya El Niño ila hakuna elimu yoyote inatolewa kwa Wananchi, kwanini?

    Kutokana na tahadhari ya wataalamu wa hali ya hewa kuhusu uwezekano wa mvua kubwa za El Niño mwaka huu, tunaomba Serikali na mamlaka husika kuongeza juhudi za kutoa elimu na tahadhari kwa wananchi ili waweze kujiandaa mapema. Pia, kuna wasiwasi kuhusu hali ya miundombinu ya mifereji ya maji...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tahadhari kwa ndugu Faustine Mafwele

    Kwanza kabisa sijakusamehe kwa kuhusika moja kwa moja na utekaji wa Humphrey Polepole na naunga mkono mkakati wowote wa kukuwajibisha wewe binafsi. Pili nakupa tahadhari walinde members wa familia yako waishio nchi fulani kusini mwa bara la Africa. Wameshawekwa kwenye rada siku kadhaa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tahadhari: Mtu Anayejitambulisha Kama Afisa wa Ajira TAMISEMI anawatapeli wanaotafuta Ajira

    Mimi ni mmoja wa watu waliowahi kupigiwa simu na mtu anayejitambulisha kwa jina la Joseph Kichele, akidai anatokea Ofisi ya Ajira ya TAMISEMI jijini Dodoma. Kutokana na uzoefu wangu na taarifa nilizopata kutoka kwa wengine, naomba mamlaka husika zifuatilie suala hili kwa haraka ili kuwalinda...
  5. jooohs

    JamiiForums Tanzania Anayefikiria kujiunga na Savanna Fibre kuwa makini sana

    Kutokana na uzoefu wangu binafsi, nashauri mtu yeyote anayefikiria kujiunga na Savanna Fibre kuwa makini sana kabla ya kufanya malipo. Nilifanya malipo kwa matarajio ya kuunganishiwa huduma kwa muda uliotajwa, lakini hadi sasa nimepitisha zaidi ya miezi miwili bila kupata huduma kama...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mzazi, Linda Mwanao: Tahadhari

    EWE MZAZI MKANYE GENERATION "Z" WAKO ASIJIHUSISHE NA MAANDAMANO AMBAYO YANAPAGWA NA WANAHARAKATI UCHWARA KUFANYIKA TAREHE 7 JULY, 2026 AMBAYO HAYATAMBULIKI KISHERIA✍️ 👉Ewe Mzazi, kama unampenda mwanao kwa dhati na unatamani kuona akitimiza ndoto zake za maisha, basi tarehe 7 Julai 2026...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Juu ya Ahadi za Kazi Zenye Mishahara Minono Nje ya Nchi (Mtego wa Cambodia na Myanmar)

    1. Utangulizi i: Wimbi Jipya la Utumwa wa Kidijitali Ulaghai Mtandaoni: Matangazo ya kazi feki yameshamiri kwenye mitandao ya kijamii. Walengwa Wakuu: Vijana wasomi, wanaojua kompyuta, na wanaozungumza Kiingereza vizuri. Maeneo Hatari: Nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia (Cambodia, Myanmar...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO KKPESA: Benki Kuu ifuatilie hii kampuni ya Mkopo

    Kuna application hii ya kutoa mikopo mitandaoni inaitwa KKPESA naombeni muifuatilie kwa ukaribu sana. 1. Riba zao ni kubwa na inatakiwa mkopo ulipwe kwa muda mfupi sana siku 7. 2. Siku ya 6 kabla ya kufika siku ya rejesho wanakushurutisha ulipe deni kwa nguvu kwa kutoa maneno ya kejeli na sms...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ninawapa tahadhari wachama wa MCC ,ni wakati wa kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi,muda si wenu tena umepinduka na game is over

    MCC ni kwasasa ni kama maluweluwe ni kama mtu,mbuzi,nyoka ,mara kiwiliwili ni joka kubwa na upande wa juu ni binadamu anaye nena maneno ya Makufuru kila muda na kila dakika Kifupi MCC ni monster,liko tayari kusuck blood ya yoyote tena Lina penda fresh blood,lakini linawapambe kibao wanalipwa...
  10. ITR

    JamiiForums Tanzania Ndoto unazoota huenda ni onyo na tahadhari juu ya kinachokuja kukutokea kwenye maisha yako yajayo usizipuuze

    Kuota ndoto kwa binadamu ni kawaida kabisa na kuna ndoto zitokanazo na rekodi ya ubongo ambazo hazina athari yeyote na si za kutilia maanani. Lakini kuna ndoto zingine hutakiwi kuzipuuza kabisa mfano mm nilikuwaga siamini kabisa kuhusu utabiri wa ndoto lakini kilicho nitokea mwaka juzi...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Cruise Ship Virus Yafika Radar ya Kenya?” Serikali Yatoa Tahadhari ya Hantavirus Baada ya Vifo 3

    Wakenya wameombwa kuwa alert baada ya World Health Organization na Ministry of Health Kenya kutoa advisory kuhusu mlipuko wa Hantavirus ulioripotiwa kwenye cruise ship iliyokuwa na abiria kutoka mataifa 23 tofauti. Kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya tarehe 8 May 2026, hadi sasa kuna cases 8 —...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi Misri ilivyojenga ukuta wa tabaka saba kuwazuia Wapalestina kuvuka, Walinzi wamewekwa kumpiga risasi yeyote ataevuka.

    Tazama jinsi Misri walivyojenga kuta zenye matabaka saba na kuweka walinzi wenye bunduki ili kuwazuia wasiiingie
  13. M

    JamiiForums Tanzania wakamaria maarufu hupata pesa kupitia codes na referral links, haijalishi mkeka umetiki au umechanika, usijidanganye kuwa mpo boti moja.

    Betting Codes Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Iran Imetoa Tahadhari Meli Yoyote Inayo Kwenda Israel Itaishambulia

    Ujumbe ndio huo kila meli itakayo onekana ikielekea Israel itashammbuliwa https://youtu.be/SkIXpVcO5Gc?si=ee2rJ3HiqrHj5ccW Pia tazameni Israel target zake siku zote civilian afu yeye akipigwa anadai Iran inapiga civilian hahaha https://www.instagram.com/p/DWYtyRqk2Mg/?igsh=MXVocnR3eXllMXN1MQ==
  15. M

    JamiiForums Tanzania Member gani hapa JamiiForums ana makombora mazito ya maneno (matusi) ili niwe na tahadhari ninapojibazana naye?

    Nataka nijue nani anamakombora mazito humu ili nichukue tahadhari nyingi kabla sijamquote. namfahamu mmoja tu ambaye ni GENTAMYCINE Natanguliza shukrani.
  16. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania Matapeli wamevamia JF wafanyabiashara wezangu humu tuchukue tahadhari!!

    Humu wateja ni wengi sana na matapeli ni wengi sana. Hawa wa weka mzigo hapa ,njoo uchukue pesa pale wamekua wa kutosha asee. Mara ooh boda ninunulie umeme unavyokuja nitakulipa pamoja na hela ya mzigo,Wanatutia hasara za delivery sana tu. Sasa hii ya leo ni kali,mtu kanicheki yupo Maili moja...
  17. je parle

    JamiiForums Tanzania Mbinu mpya za kuibiwa walevi kupitia wanawake wa mjini

    Walevi wa mwanza kuweni macho acheni kubeba kila mwanamke bar kwa kuwa ana makalio makubwa. Kisa kifupi nlichosimuliwa na kijana tuliekutana mlango wa kutokea lodge mwanza. Nimetoka zangu safari nikapoa lodge ilia asubuhi nifanye mishe zangu hapo mwanza then nigeuke Asubuhi nafunga mlango wa...
  18. Poker

    JamiiForums Tanzania Tahadhari, kuna machawa yanazunguka PM kuwataka watu waunge juhudi za Samia

    kumekuwa na baadhi ya machawa wanapita pm nakukuahidi posho ya 10k pamoja na unlimited bundle ili kuisifia serikali ya Samia, kuwatusi chadema na kuitetea serikali kwa kila hali. Mbaya zaidi wanasema tuwe tunareport members na kuireport JF kuwa iko biased. Mbinu zao wanakuambia tuma namba ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari. Ni hatari sana kubaki nyumbani siku ya 9D. Wauaji wataanza na wewe

    Ewe mtanzania mwenzangu hakikisha siku ya 9D unatoka na kuungana na wenzako kuidai haki kwenye maandamano ambayo yatakuwa makubwa sana siku hiyo Kusalia nyumbani siyo salama kwako. Kwani wale walenga shabaha watakuangamiza wewe pamoja na familia yako yote. Alionae tangazo hili amtaarifu na...
  20. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Energy drink nyingi za Metl huku mtaani zimeexpire halafu wanaandika expired date kihuni kuhalalisha ujinga wao

    Za mchana Hii kampuni kama inaongozwa na mataahira yani expired date kwenye bidhaa yao ya Mo energy huwezi isoma hata utumie darubini au microscope ya umeme. Huu uhuni wanafanya kwa ajiri ya kumkomoa nani? TBS mpo wapi mpaka watu wafe au wapate madhara kwa wakati mmoja ndo mtawachukulia sheria...
Back
Top Bottom