imeshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeshindwa mitihani mitatu ya kimataifa ndani ya Agosti 2026

    Kutoka kwenye uhuru wa kisiasa hadi amani na uwazi wa matumizi ya fedha za umma, ripoti tatu za kimataifa zimeweka Tanzania kwenye mizani isiyopendeza. Kinachozua maswali si nafasi pekee ambazo nchi imepata, bali mwelekeo unaoonekana katika maeneo yanayogusa moja kwa moja utawala, usalama wa...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Siku 100 zimepita, Meli ya Uvuvi aliyoizindua Samia, Imeshindwa kuvua samaki hata mmoja

    Tarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu.. Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25. Je, itazirudisha lini? Leo ni siku 106 tangu izinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja...
  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Je, Serikali imeshindwa kuwadhibiti wafugaji waliovamia wilayani Nachingwea?

    Kwa zaidi ya miaka 7 sasa wafugaji wenye makundi makubwa ya Ng'ombe wa jamii ya wamang'ati na wasukuma wamevamia na kuingiza mifugo holela kwenye vijiji vilivyopo wilayani Nachingwea mkoani Lindi. Wafugaji hao wamekuwa wakisababisha kuvurugika mfumo wa uzalishaji katika kilimo, kuua na kujeruhi...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Leo majangwa yana badilishwa kuwa misitu ,lakini Tanzania imeshindwa kutumia maziwa yaliyomo maji yake kuwa mkombozi wa maji wakati yanarudi kule kule

    Ni aibu sana kwa kila jambo wanafafanua kisocho eleweka. Hapa nauliza maana naona kuna project saudia wanataka kufuta jangwa na china wamesha weza sasa maeneo mengi. Hapa kwetu tanzania tuna vyanzo vya maji vinapeleka ziwani ila tumeshindwa kuchukua ziwani kupeleka sehemu maji ni shida...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Ma-cartel wamejimilikisha uchumi wa nchi yetu, kampuni moja ina ubia na watu walioko serikalini ilipewa tenda kuagiza mafuta na kusimamia bei

    Akizungumza na Vyombo vy habari leo Aprili 6, 2026 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokraisa na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema kuna ma- caretel (Kundi la wafanyabiashara) ambao wanajimilikisha uchumi wa Tanzania, akidai kuna taarifa wanazofuatilia kuwepo kwa kampuni moja yenye ukaribu...
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Urusi imeshindwa kuua viongozi wa kutosha wa Ukraine. Je, ni udhaifu wa jeshi la Urusi

    Je, Urusi kushindwa kuua viongozi wa nchi ya Ukraine wa kutosha kama wafanyavyo Israel na Marekani sasa kwa Iran ni udhaifu wa idara za ulinzi na usalama wa nchi ya Urusi ? Faida zipi Israel na Marekani wanapata kwa kuua viongozi wa Iran katika vita vyao ambazo Urusi ana zikosa kwa kutoua...
  7. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Aliyetoa hoja na waliokubaliana kuteka na kuua watanganyika kama njia ya kuwanyamazisha aambiwe imeshindwa na haina mashiko

    Kama kuna mtub huko serikalini aliye pendekeza kuwepo project ya kuteka na kuua watanganyika ili kuzima ukosoaji mwambieni project ime fail. Maana sasa output zake sio poa kabisa. 1. Inchi imechafuka kimataifa, 2. Ukosoaji unaongezeka, 3.Serikali inachukiwa na kuwa isolated na wananchi 4...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kama serikali imeshindwa kuendesha mfumo wa ESS , bora waufute au kuwe na mbadala in case mfumo unafeli

    Huu mfumo japo umekuja na mazuri, lakini kwa sasa unageuka kero kwa Watumishi kwa baadhi ya huduma kutopatikana leo ikiwa ni siku ya 2 mfululizo. Mimi nashauri waufute huu mfumo au kuwe na mbadala pale mfumo huu unapofeli kwani unakwamisha sana mambo ya watu na kwa sasa unageuka kero badala ya...
  9. F

    JamiiForums Tanzania KERO NEMC Imeshindwa Kudhibiti Kelele za Makanisa na Misikiti

    Ni wazi kuwa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshindwa kutekeleza wajibu wake wa msingi wa kulinda mazingira na ustawi wa wananchi. Moja ya mifano ya wazi ni kushindwa kabisa kudhibiti kelele zisizokuwa na ulazima zinazotoka kwenye makanisa na misikiti, hasa katika...
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ccm ya Samia na wasira imeshindwa kutuma MWAKILISHI kwenye msiba wa Gavana wa kwanza, kisa alihasisi chadema? Shame on you.

    Haya majitu ni ya ajabu ajabu sana, hivi zee kama wasira limeshindwa kwenda kumzika Mzee mwenzie? Mtajitetea na UWEPO wa MWIGURU ilihali yeye aliiwasilisha serikali je macc yalishindwa Nini kutuma MWAKILISHI? Au Samia na wasira waliwasilishwa na mrisho gambo😂🤣? Haya majitu ni majitu ya ajabu...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante sana Mzee Warioba, umeongea kile ambacho CCM imeshindwa kuongea

    Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi. Dondoo muhimu Serikali inahusika na mauaji Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bila aibu Waziri mwenye dhamana ya Maji anakiri kuwa CCM kwa miaka zaidi 60 ipo madarakani na imeshindwa kutatua kero ya maji

    Nimeshangaa sana Juma Aweso Waziri mwenye dhama ya kuhakikisha kila mtanzania anapata maji salama anakiri mbele ya television ya taifa kuwa CCM imeshindwa kutatua kero ya maji hapa nchini. Ameulizwa swali kwa nini hamutumii maji ya bahari kuhakikisha kero ya upatikanaji wa maji hususani mjini...
  13. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilichokishuhudia kwenye maandamano: Serikali ya Tanzania imeshindwa vita

    Kila machafuko huwa ni fursa kwa watu. Hilo la mikono ya watu nitalisema siku nyingine, ila kuhusu maandamano na vurugu niseme tu kwamba nimeyashuhudia yote tokea yanaanza siku za kwanza sijasimuliwa: Vijana wanapigwa risasi na kukimbizwa hospitali nimeona, Kufukuzwa na magari ya jeshi nimeona...
  14. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali imeshindwa kujua anayeteka na kuua raia, maana yake imeshindwa kulinda Raia, iachie watakaoweza

    Ni simple logic, Samia ndio anaongoza serikali, vyombo vya usalama vinawajibika kulinda mipaka, raia na mali zao. Kama raia wanatekwa na kuuawa, na mwenye mamlaka yeye hahusiki na huo utekaji, lakini pia 1. Hajui watekaji ni kina nani 2. Huwezi kuzuia utekaji. Maana yake ameshindwa uongozi i.e...
  15. Akotia

    JamiiForums Tanzania “CCM haiwezi, CCM imeshindwa, CCM lazima iondoke”. Sawa, lakini mbadala wenu ni nini?

    CCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba, Kinshasa au Mogadishu. Hii amani na utulivu sio mzaha. CCM ndiyo imetengeneza stability ya taifa hili...
  16. econonist

    JamiiForums Tanzania CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

    Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM. CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania KERO Wizara ya Uchukuzi imeshindwa kazi: Wilaya ya Temeke, hasa Kurasini karibu na Bandari haipitiki, imejifunga kwa wingi wa malori

    Kama kuna Wizara ambayo imeshindwa kazi hapa mkoani na Jiji la Dar es salaam ni wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano. Nadiriki kusema Wizara hii imejaza vilaza walioko katika utendaji, kuanzia Waziri wake, Katibu Mkuu na hata watendaji wengine wa ngazi za juu. Haiwezekani katika miaka hii ya...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

    DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi. Pia soma ~ Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi intelejensia ya Tanzania imeshindwa kufahamu alipo Askofu Josephat Gwajima?

    Kauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima. ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani imeshindwa kuanzisha makundi ya kigaidi katika nchi mahasimu zisizo za Kiislamu?

    Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali? Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama...
Back
Top Bottom