Katika utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kuhusiana na mkataba wa makubaliano ya uendeshaji na uboreshaji wa bandari kati ya Tanzania na Dubai, imebainika kuwa kuwepo kwa teknolojia ya kisasa, hakutaondoa ajira za Watanzania bandarini hapo.
Akizungumza na waandishi wa...
Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko?
Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikuwa this time lazima alambe ajira.
Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
Serikali yetu makini hivi karibuni imetangaza nafasi za ajira lukuki kwa vijana waliohitimu Mafunzo ya mifugo sehemu mbalimbali.
LITA kama Taasisi ya Serikali yenye ithibati ya kutoa mafunzo hayo ikisimamiwa na NACTE imekuwa ikitoa wanafunzi lukuki kila mwaka.
Ili uweze kutambulika kifani ni...
Kwako Muheshimiwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tunakuomba uondoe hii sheria kandamizi ya fao la kukosa ajira na uterejeshe fao la kujitoa ambapo mwanachama wa NSSF atakua na uwezo wa kuchukua pesa zake zote bila kujali kwamba ameacha kazi mwenyewe au ameachishwa.
Sheria hii ya...
Ndugu wana JF,
Nimekuwa naomba kupewa muongozo kuhusiana na hayo malipo ya NSSF. Kwa ufupi baada ya kufatilia kwa muda wa miezi mitatu nilifanikiwa kupewa instalment ile ya kwanza (33.3%) ya basic salary, tarehe 7 mwezi wa kumi.
Kinachonitia shaka sioni update yoyote ya invoice ya pili, kwa huu...
Naomba kuuliza kwa wale ambao wameshawahi kulipwa fao la kukosa ajira.
Inapotokea kwenye akanti yangu ya NSSF kwenye status inaonyesha Approved na salio linasoma 0.00 huwa inachukua siku ngapi mpaka pesa kuingia kwenye akaunti ya benki ya mwanachama ?
Asanteni kwa mtakaonijibu...
Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo.
Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.