makabila

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. G

  Makabila mengi Tanzania hayaendelei sababu ni watoto wa mama, Wachaga wapo mbali sababu wanakuzwa kuwa watoto wa baba.

  Uzi umegeuka kuwa wa chuki zaa kikabila, haufai tena kuendelezwa Na sio wachaga tu hata waarabu, wahindi, wasomali, n.k. Mtoto wa mama - mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa mama kuzidi baba, ndugu wengi anaowajua na aliowazoea ni wa mama kina mjomba, mama mdogo, mama mkubwa...
 2. mdukuzi

  Chato ni Wilaya yenye makabila mengi kuliko wilaya yoyote nchini

  Ikumbuke wilaya hii sehemu kubwa ilikuwa mkoa wa Kagera Wilaya ya Biharamulo, pia sehemu ya mkoa wa Mwanza wilaya ya Geita, namaanisha maeneo ya kata ya Buseresere na Rumasa. Back to the point wilaya hii ina makabila kama Waha, Wasukuma, Wasumbwa, Wasubi, Washubiwazinza, Warundi, Wahaya...
 3. A

  KERO Waziri Dorothy Gwajima, tunaomba umwangalie huyu Sheikh na Mahubiri na Mada zake

  Sio tu serikali inaweza kujua matatizo yote kupitia kwenye mitandao ya jamii ila nimekutana na huyu anajiita sheik zaid makubul kuhusu maada za kibaguzi na makabari. Kwako waziri Doroth gwajima kupitia wizara yako unaweza kumpa onyo kali mfano wa watu hawa wanaweza kusababisha makabila...
 4. Mhaya

  Makabila ambayo wakioana, ndoa zao hudumu

  1. Mchaga akioa au kuolewa na Mpare, Muha au Mmasai. 2. Msukuma akioa Mbulu /Mrangi /Mnyaturu /Mmeru/Mchaga au Muiraki. 3. Mhehe akioa au kuolewa na Mbena, Mnyamwezi, Mngoni. 4. Mdigo akioa au kuolewa na Mgogo, Mchaga au Mngoni. 5. Mkwere akioa au kuolewa na Mmakonde, Myao, Mzaramo, Mnakua...
 5. U

  Tujivunie asili yetu: Tujuzane michezo ya jadi kwa makabila ya Tanzania

  Mods naombeni muuache uzi huu, jukwaa lamichezo limejaa wadau wanaofatilia zaidi michezo ya kigeni hasa mpira wa miguu Kutokana na umuhimu wa michezo kwa jamii katika kila kipindi cha historia ya binadamu, Watanzania nao pia walikuwa wakishiriki katika michezo Michezo hiyo ni kama vile...
 6. matunduizi

  Kwanini Watutsi wa Congo wasichukuliwe kama Wamasai, Wakurya au makabila mengine ambayo yako mipakani?

  Hili wazo niliwahi kusikia speech moja ya hayati Nyerere. Kabla ya Ukoloni lilikuwa ni kabila moja ambalo liliambaa Rwanda hadi Congo. Kama Arizona iliwahi kuwekewa mipaka katikati na nusu ya waarizona wakawa US na wengine wako Mexico. Kama Wamasai wako Kenya na TZ, Wakurya wako Kenya na Tz...
 7. mchawi wa kusini

  Kuna makabila yana mila na desturi ngumu sana

  Kabila la Hamer na desturi ngumu Kabila la hamer linalopatikana kusini mwa nchi ya Ethiopia ndilo kabila linalosifika kudumisha mila na desturi ya kuthibitisha uwezo wa mwanamke kuvumilia magumu kwenye ndoa! Inasemekana mwanaume kabla hajatoa mahari inabidi ampime mwanamke anayetaka kumuoa...
 8. Webabu

  Tanzania kuna vita ya kiuchumi isiyo rasmi kati ya dini na makabila

  Hii vita ni kali sana na ilianza tangu wakati wa Nyerere alipotaifisha majumba ya watu wa asili ya watu fulani..Ikaendelea wakati wa Mkapa alipochoma ngano za mfanyabiashara fualani bila vigezo kutimia.Muda mfupi baadae nchi ikapata msiba mkubwa wa meli ya MV Bukoba kuzama.Vita ikashika kasi...
 9. Mshamba wa kusini

  Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

  Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu. 1.warangi 2.wapare 3.wahaya 4.wameru 5.wachagga
 10. U

  Orodha ya makabila yaliyojaza sehemu mbali mbali DSM

  1. Wachaga - Kimara 2. Wakurya - Ukonga hasa Kitunda 3. Wahaya - Mwananyamala na sinza 4. Wapemba - Kigamboni 4. Wanyakyusa - Nyomi lao lipo keko 5. Mbagala - wamakonde Hii inaweza kutumika kwa watu wa marketing kweny kutaget wateja
 11. Msanii

  Machifu na wakuu wa makabila nchini ni machawa pro max. Hata historia inawasuta baadhi

  Kwa mfano anatoka Makamu Mwenyekiti wa (Chanzo Cha Matatizo) CCM kwenea Ntwara, akifika huko anasimikwa uchifu, akija mwenyekiti wa hicho kijiwe naye anasimikwa uchifu. Mara utasikia wazee na machifu wa Songwe wamemsimika uchifu mkuu wa mafisadi huku wakimpa sifa kem kem. Numejiuliza, taratibu...
 12. GoldDhahabu

  Kabila linaweza kubadilika kutoka kabila moja hadi jingine?

  Huwa ninawashangaa watu wanaojisifia makabila yao katika msingi wa damu. Naamini, kama vipimo vya DNA vingefanyika, kuna watu wangejishangaa kufahamu kuwa hawana uhusiano wa damu na kabila analojinasibu nalo. Kabila, kwa mtazamo wangu, msingi wake ni utamaduni na si damu. Miaka ya nyuma...
 13. U

  Makabila haya yanaongoza kwa kuwekana wao kwa wao kwenye nafasi za Umma

  kuweka watu wa kabila lako kwenye kampuni yako ama biashara yako binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku hata hasara ni yako mwenyewe, Lakini ajabu mambo haya yanafanyika serikalini kwenye mjumuiko wa taifa zima bado mtu anaweka kipaumbele kwenye jamii anayotokea hata kama wapo wenye sifa chache...
 14. Mjanja M1

  Video: Manara na Chawa wake wakimshambulia Dulla Makabila

  Haji Manara ameamua kuungana na Dotto Magari kumshambulia aliekuwa Ex wa Mke wake Dulla Makabila. Angalia video hapa Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
 15. chiembe

  Haji Manara aonekana studio za Master Jay, anatoa wimbo kumjibu Dulla Makabila

  Haji Manara ameonekana mitaa ya MJ records akiwa katika tafakari kubwa, akiingia studio na kutoka. Tetesi zinasema anajiandaa kutoa wimbo kumjibu Dulla Makabila. Habari zinasema kwamba ubishi mkubwa ni kuhusu sauti na kutembea na biti. Hivyo kila mara alikuwa akiondolewa studio aende nje...
 16. chiembe

  Wanangu wa uswazi, wanangu wa singeli, inakuwaje Haji Manara anamzingua mwana, Dulla Makabila, halafu tumekaa kimya? Tumpe za uswazi!

  Haiwezekani Manara amzingue mwana halafu tukae kimya, na sisi tupeleke moto kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa vijembe. Oya, hata dada zetu kurekodi vigodoro kwa simu zetu tukimnanga Haji na Zai tumeshindwa? Oya wazee wa Singeli, hii vita si ni yetu kabisa? Maandagraundi, tunashindwa...
 17. Heci

  Kwenye makabila haya yote ya Tanzania, umeshazionja za makabila mangapi mpaka sasa?

  Watanzania wote tumetoka kwenye makabila tofauti tofauti. Hivyo basi hata wapenzi wetu pia wana makabila yao. Swali la kizushi, mpaka sasa umezionja za makabila mangapi? Mimi nita highlight na rangi nyekundu nilizozionja. Wambugwe Wambunga Wameru Wamosiro Wampoto Wamwera Wandali Wandamba...
 18. T

  List ya makabila Tanzania yenye watu wengi wenye akili

  Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa. Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana...
 19. sky soldier

  Updated List: Haya ndio makabila yenye wasomi zaidi Tanzania

  1. Wachaga - Kama kawaida yao sio watu wa kujisifia iwe ni biashara, maendeleo ya vijini kwao, n.k. Kiufupi hawa suala la elimu wapo Mbali tangu enzi za ukoloni, Mkoa wa Kilimanjaro ni mdogo ila ndio unaongoza kwa shule nyingi hasa maeneo ya uchagani, Kitu cha ziada ambacho wengi hawakijui ni...
 20. Kididimo

  Makabila yenye JUJU KALI, ndo yanatoa viongozi na wateuliwa wengi nchini. Nipe maoni yako

  Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Back
Top Bottom