vurugu

Paulo Twaakyondo
No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu atahukumiwa kifo. Maandalizi ya serikali yanayoitwa elinino yamelenga kuja kuzuia Vurugu baada ya ukumu

    Za ndani kabisa. Mitiani imewahishwa yote, kisha serikali ikatenga billion 700 kwa kile inachokiita elinino. Ila ukweli ni kuwa Ama Lissu atafia jela kabla ya hukumu yatehe 6 November au Akina kabudi watalazimika kuandika hukumu ya kumnyonga. Majamaa ya Zimbabwe hayataki kabisa kumuona lissu...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hii hapa tofauti kati ya Maandamano na vurugu.

    Oct29 yalikuwa maandamano au zilikuwa ni vurugu? Haya hapa ndio maandamano https://youtu.be/i26Ae91J380?si=4_KrCM19JMS7N9iR
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Kwa kiasi kikubwa CCM ndio iliratibu Vurugu za Oktoba 29

    Mwanasiasa mkongwe nchini, James Mbatia, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinabeba laana na uwajibikaji mkubwa kutokana na kuratibu matukio ya vurugu na maafa yaliyotokea tarehe 29 Oktoba. Akizungumza katika mahojiano cha Chief Odemba, Mbatia ametumia mfano wa maandiko ya kidini kueleza...
  4. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu.

    AMANI HAIPO SAWA. Kwa mjibu wa Civilian-Coin: "Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu". Civilian-Coin
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Sioni ni kwanini askari wasizime vurugu za Oktoba 29, 2025 kwa risasi. Ningewashangaa

    Askari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma askari kwenye tukio la kuzima vurugu waliobeba virungu, filimbi na pingu tu? Hapohapo kumbuka askari wengi walikuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Suluhu ya maandamano na vurugu za kisiasa Tanzania ni hii

    Habari ndugu zangu Watanzania Mara nyingi na kwa kipindi kirefu tumekuwa tukisikia na kuambiwa kuwa Tanzania taifa letu ni kisiwa cha amani, kwamba tofauti na mataifa mengine Tanzania ni nchi yenye utulivu na amani, lakini bila shaka jambo hilo siyo la kweli tena. Kwani Ripoti ya tume ya...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Siasa za Ubabe na Vurugu

    Siasa za chadema zimeingia katika level nyingine ya UBABE, NGUVU, VURUGU, CHUKI NA HASIRA. Kwa bahati mbaya, hawana silaha. Wangekuwa na silaha, WANGEUA ILI KUWEKA MAMBO SAWA. Ukisikia aina ya maneno na sera zao kwa sasa, unaona kuna transformation kubwa sana.
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

    Wahouthi wameuteka mlango bahari wa Bab al Mandab unaotenganisha Afrika na Asia na kupitisha asilimia 7 ya mafuta duniani. Bei imepanda kufikia dola 105 kwa pipa? Wahouthi wanasema meli za SA hakuna kupita. Wahouthi hao hao wameipiga mabomu Saudi Arabia. Saudi Arabia kaomba msaada US, Trump...
  9. lord atkin

    JamiiForums Tanzania AI: Lissu akifungwa kwa uhaini kutakuwa na taharuki kubwa, maandamano na vurugu za kiusalama.

    Ikiwa Makamu Mwenyekiti (au kiongozi mkuu) wa Chadema, Tundu Lissu, atafungwa kwa kosa la uhaini, hali ya hewa ya kisiasa nchini Tanzania inatarajiwa kukumbwa na taharuki kubwa, migawanyiko ya kiitikadi, na shinikizo kubwa la kimataifa. Kesi hii inayomkabili, ambayo kwa sasa inaendelea katika...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio kwamba Watanzania wanataka vurugu Watanzania wanataka tu option ya kuchagua

    Mimi naona kuna kitu CCM inapaswa kukielewa vizuri kuhusu Watanzania. Watanzania kwa ujumla ni watu watulivu sana. Wengi hawataki maandamano, hawataki vurugu, hawataki nchi isambaratike. Mwananchi wa kawaida anataka maisha yake, biashara yake, familia yake na amani yake. Lakini pamoja na hayo...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Oct29 hazitokani na madai ya Katiba mpya. Tusichanyanye mambo hapa

    Kuna watu wanataka kupandia juu kwa kutumia ngazi ya vurugu za Oct29 kupata Katiba mpya. Chanzo halisi cha vurugu za Oct29 ni kifo cha Rais Magufuli na ujio wa Rais SAMIA madarakani. Nyingine hizi zoote ni mbwembwe za kutumia fursa za vurugu na vifo vilivyotokea. Kama JMP angekuwahai...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Oktoba 29, 2025 Vurugu zilianza mida ya mchana saa 7, wakati huo kura zimeshapigwa, Vurugu hazikuanza saa 4 popote Tanzania

    Odemba: ...chama chenyu cha Chama Cha Mapinduzi kimepata ushindi wa kishindo kwa asilimia zaidi ya 97, mliwezaje kupata asilimia zote zile katika hali kama hii ambayo watu na umma unajua ya kwamba watu hawakujitokeza kwa wingi katika kupiga kura? Kihongosi: Jambo ambalo naweza kukuhakikishia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Damu ya Watanzania haipo mikononi mwetu CCM, chama hakikuchukua silaha kumdhuru yeyote, Oktoba 29, 2025

    Odemba: Tarehe 29 Oktoba mwaka 2025 Tanzania ilifanya uchaguzi, uchaguzi ambao uligubikwa na fujo, uharibifu wa mali na mauaji ya raia ambayo haijawahi kutokea katika historia ya taifa hili tangu tuanze mifumo ya vyama vingi lakini tangu tuanze uchaguzi. Inaaminika ya kwamba yale yote...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanahabari Wawili Washambuliwa Homa Bay, Vurugu Zazidi Kabla Ya Mkutano Wa Linda Mwananchi

    Hali ya wasiwasi imeongezeka Homa Bay huku maandalizi ya ziara ya Linda Mwananchi yakizua mvutano katika mji huo. Wanahabari wawili wa AFP, Fred Ooko na Brian Ongoro, walishambuliwa na kundi la vijana waliokuwa na silaha walipokuwa wakiripoti hali ya usalama katika mji wa Homa Bay. Kwa mujibu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Indegazette: Tume ya Lila Yakabiliwa na Mtihani wa Kubaini Waliowezesha Vurugu za Uchaguzi Tanzania

    Jarida la Indegazette.be, katika makala yake iliyochapishwa Agosti 13, 2026, limeangazia Tume mpya ya Uchunguzi ya Tanzania inayoongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, likisema jukumu kubwa la tume hiyo ni kwenda zaidi ya simulizi za kisiasa na kubaini kwa ushahidi waliochochea, kushiriki na...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Naandaa Video Inayoonyesha Mkusanyiko Wa Kauli Tata Za Viongozi wa CHADEMA na wanaharakati Zilivyochochea Vurugu wakati na baada ya Uchaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Nipo Nafanya Maandalizi Mazito kwelikweli ya Kutoa video itakayoonyesha Mkusanyiko wa Kauli Tata na za kichochezi zilizokuwa zikitolewa na viongozi wa CHADEMA na wanaharakati kabla ,wakati na baada tu ya zoezi la uchaguzi kufanyika. Ambazo kwa kiasi kikubwa zilionyesha...
  17. Inside10

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad Musa: Msimchafue Mfanyabiashara Nilesh Suchack Hawezi changia vyma vya vurugu

    https://www.instagram.com/reel/DarhTH8s5Fj/?igsh=eWI5dmwzOGVnenRs
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda pakatokea mivutano ya kikatiba itakayopelekea fujo na vurugu katika mkutano wa Baraza kuu la CHADEMA taifa Septemba 15,2026

    Kuna kila dalili na uwezekano mkubwa sana wa kutokea mivutano ya kikatiba na kupelekea timbwili baya sana litakalo vuruga na kuchochea mkutano wa Baraza kuu la chadema taifa kuvunjika bila muafaka ikiwa sintofahamu ya ufujaji wa pesa za chama isipowekwa sawa mapema hasa kwa wenye dukuduku hilo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wananchi hawaitaji vurugu. Kwenye Siasa za chuki na mivutano maendeleo hutoweka

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema wanahitaji amani, usalama na utulivu. Shauku ya wananchi wote bila kujali vyama vyao ni kuona serikali ikiwapa huduma bora za kijamii huku akisitiza siasa za chuki na mivutano ya kisiasahukwamisha maendeleo ya nchi. Amesema hayo leo Julai 9, 2026, wakati wa...
  20. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamechagua amani badala ya vurugu: Wanaharakati wa maandamano wameshindwa

    Leo, tarehe 7 Julai 2026, Jiji la Dar es Salaam limeshuhudia mtihani mzito wa kisaikolojia baada ya barabara kuu kuwa tupu na maduka mengi kufungwa, kufuatia hofu ya maandamano yaliyohamasishwa na wanaharakati lakini yakapigwa marufuku na serikali. Hatua hii ya serikali ililenga kuzuia ghasia na...
Back
Top Bottom