Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 3,794
- 3,361
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, cha kila Jumatatu, kaonyesha misimamo yake.
Kuwa, anapenda aone wananchi wana uelewa wa kutosha kuhusu maono ya Mama yetu Raisi.
Na kuwa yeye (Mtaka) hukaa na viongozi wenzake kutafsiri na kutekeleza maono na matarajio ya Raisi kwa vitendo yale waliyoyapanga.
Hivi, nikimwuliza Makonda aliwahi kukaa na nani na kikao gani kujadili namna ya kuimplement maono ya Rais? Hasa kuhusu sera za nchi (maono ya Rais) ya masuala ya Kilimo, Mifugo, Uvuvi, maliasili nk?
Je, anao huo uwezo? Ukimlinganisha na walioshika nafasi ya Unezi kipindi cha nyuma?
Kwa Mtaka kusema unamkubali,siyo Uchawa ambao uliukataa kwenye mahojiano yako?
Naamini kuna asilimia kubwa ya wananchi walianza kukubali kuwa unapenda haki,ila kwa kauli yako ya kumuunga mkono huyo jamaa, umegawa watu.
Sina uhakika kama uko humu jamvini, ila umetia doa. Unayoyaongea na kutenda yawezekana ni uchawa zaidi.