vituo vya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Wakuja waje

  Tahadhari: Kwa watafuta ajira usijaribu kuomba wala kufanya kazi hospitali hizi jijini Mwanza

  Habarini wanajukwaa Naomba nijikite kwenye mada yangu. Pengine kutokana na ukosefu wa ajira,kama mtanzania mwenzenu ambae kwa nyakati tofauti nimewahi kuwa katika mkoa wa Mwanza kikazi kama mkaguzi wa maswala ya afya,nimekutana na kisanga cha ubabaishaji na usumbufu kwa baadhi ya hospital za...
 2. beth

  Ethiopia: Waasi wa TPLF watuhumiwa kuharibu maelfu ya vituo vya Afya

  Serikali Nchini humo imesema Waasi wa TPLF wameharibu maelfu ya Vituo vya Afya eneo la Kaskazini mwa Nchi hiyona kupelekea watu zaidi ya Milioni 1.9 katika Mikoa ya Amhara na Afar kukosa huduma. Waziri wa Afya, Lia Tadesse amesema Waasi wameharibu Hospitali 20 na Vituo vya Afya vipatavyo 277...
 3. Nyankurungu2020

  Katika ziara zake, Hayati Magufuli alikuwa akigawa pesa kwa ajili ya maendeleo, Sasa hivi wananchi wanakamuliwa

  Kila alipokuwa akifanya ziara tulishuhudia hayati JPM akitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo. Sasa hivi kila mtu anashangaa imekuwa ni kukamuana tu kwa kila namna.
 4. T

  Mbeya yapokea Tsh bilioni 1 ya fedha za tozo kujenga vituo vya afya 4

  Katika fedha za makato ya simu, sisi Mbeya tumepokea shilingi bilioni 1 kwa ajili ya vituo vyetu vya afya vinne ambavyo ni kule Chunya tarafa ya Kipembawe, Unyakyusa, Utagano na Mbeya DC pia tumepata kimoja kwahiyo ni ahueni kubwa kwetu." Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera.
 5. CM 1774858

  Hayati Magufuli alijenga vituo vya afya 44 kwa miaka mitatu, Rais Samia anajenga 220 kwa miezi mitatu

  RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3 Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya...
 6. CM 1774858

  Hayati Magufuli alijenga vituo vya afya 44 kwa miaka mitatu, Rais Samia anajenga 220 kwa miezi mitatu

  RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3 Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya...
 7. T

  Waziri Mwigulu: Serikali imekusanya Tsh Bilioni 63 tozo miamala ya simu, zitajenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa

  Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa. Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
 8. beth

  Rais Samia: Tozo zitaendelea kuwepo

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi eneo la Tegeta Mkoani Dar es Salaam amesema Tozo zitaendelea kuwepo na hataki kuficha hilo Amesema, "Tuliweka tozo kwenye mambo ya fedha za mitandao, yamepigiwa kelele sana, nimesikia. Nimekaa na Wataalamu tumepunguza 30%. Miezi...
 9. Stephano Mgendanyi

  Wilaya ya Iramba yapokea milioni 500 za ujenzi wa vituo vya afya vya Kisiriri na Tyegelo

  WILAYA YA IRAMBA YAPOKEA MILIONI 500 ZA UJENZI WA VITUO VYA AFYA VYA KISIRIRI NA TYEGELO. "Wilaya ya Iramba mkoa wa Singida kupitia tozo za miamala ya simu ambazo Watanzania tunachangia kwenda kwenye maendeleo yetu tayari tumepokea shilingi Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa vituo viwili vya...
 10. B

  DC Suleiman Mwenda: Iramba tumepokea Milioni 500 za vituo vya afya viwili

  "Wilaya ya Iramba mkoa wa Singida kupitia tozo za miamala ya simu ambazo Watanzania tunachangia kwenda kwenye maendeleo yetu tayari tumepokea shilingi Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa vituo viwili vya afya katika kata ya Kisiriri na Tyegelo. Tutasimamia fedha hizi ili zilete tija tarajiwa...
 11. Bwana PGO

  Kuwatumia "Mafundi" badala ya Wahandisi kwenye Ujenzi wa Vituo vya Afya na Shule ni dharau

  Hongera kwa kukusanya TOZO ya dhuluma, mnataka kujenga vituo vya Afya ambavyo "vilianza kujengwa" tangu enzi za JK....sina tatizo! Tatizo langu ni lile sharti kwamba "Ujenzi" ufanywe na wale mafundi wetu a.k.a Fundi Maikoz kwa kisingizio cha kupunguza gharama. Majengo ya serikali sio nyumba...
 12. U

  TAMISEMI yatoa orodha ya vituo vya afya 90 vitakavyojengwa kwa tozo za miamala

  Awamu ya kwanza ya Vituo vya Afya 90 kati ya 207 katika Tarafa zisizo na Vituo vya Afya, ambazo zimepokea fedha Mil. 250 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD), Jengo la Maabara na Kichomea Taka hii hapa.
 13. Nyankurungu2020

  Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?

  Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi? Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi? Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi? Je...
 14. Roving Journalist

  EWURA yatoa Msaada wa wa Mashuka 431 yenye thamani Mil 5 Vituo vya Afya

  MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA), imetoa msaada wa mashuka 431 kwa Vituo vinne vya Afya katika Jiji la Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma. EWURA imeona itoe msaada huo kama kurudisha mchango wake kwa jamii kwenye sekta ya afya. “Mashuka...
 15. Miss Zomboko

  Serikali yaagiza hospitali, zahanati na Vituo vya Afya vya Umma, viweke watu maalum kwa ajili ya kuwahudumia wazee

  Agizo hilo limetolewa 23 Mei 2021, na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma. Dk. Gwajima aliagiza watu hao wawe na sare maalum, zitakazowawezesha wazee kuwatambua. “Kila kituo lazima kiwe na nesi mmoja...
Top Bottom