Bukoba is a city situated in the north west of The United Republic of Tanzania on the south western shores of Lake Victoria. It is the capital of the Kagera region, and the administrative seat for Bukoba Urban District. Population estimate: 100,000. The city is served by Bukoba Airport and regular ferry connections to and from Mwanza, as well as roads linking to Uganda's Rakai District for the cross border car commuters with plans underway for a standard gauge railway construction[1] to fulfil the high ambitions of Uganda.
Kwa muda mrefu kumekua na malalamiko dhidi ya club ya Rio De janeiro iliyopo BuKoba Mjini mali ya Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Bukoba Mjini JOAS MUGANYIZI ZACHWA @ PEDESHEE kwamba imejengwa karibu kabisa na Mto Kanoni kinyume na sheria za NEMC.
Mara zote walioleta hoja hii wameonekana wabaya kwa...
Mimi niko Bukoba, gari langu pia lipo Bukoba, traffic ananisimamisha anasema gari lina faini 120,000 ilipigwa Dar es salaam,
Dereva aliyeandikwa simjui na gari tarehe husika lilikuwa Bukoba, naomba jinsi ya kutatua shida hii maana traffic hawaoneshi ushirikiano kabisa ,
Habari zenu wana JF.
Jina langu ni AKHASAINO CYLIVANUS ( ni wa kiume ), naishi bukoba mjini na nina umri wa miaka 28.
Ninatafuta rafiki BUKOBA MJINI, kwa ajili ya mambo yafuatayo.
1. Kushauliana mambo mbalimbali ya maisha.
2. Mawasiliano nikimaanisha, kuchat na maongezi mengine kama hayo.
3...
✈️ 17/9/2026: Air Tanzania yaanza rasmi safari za Dar es Salaam > Musoma > Mwanza > Dar
hatua hii inayoongeza muunganiko wa usafiri wa anga kati ya Dar es Salaam na mikoa ya kanda ya Ziwa.
Licha ya nauli kuwa juu, uhitaji wa usafiri wa ndege Kanda ya Ziwa umeendelea kuwa mkubwa sana, ukiakisi...
ILIVYOTOKEA AJALI YA BOTI.
KULINGANA na Hussein Ajali "Chishango" aliyekuwa anaendesha Boti amesema Engine zote 2 za Boti zilizima wakawa wanapelekwa tu na mkondo sehemu ambayo hakuna mawasiliano ya simu, bahati nzuri wale wazungu mmoja simu yake ilikuwa na internet ndo akatuma email ubalozini...
Anahitajika mwalimu wa Literature in English shule ya MUMWANI sec (serikali)
Kwa taarifa rasmi
Mshahara ni laki2 pia makazi yapo.
Kwa anayehitaji au kuna mhusika umamfahamu.tuwasiliane kwa 0623446608 nikupe maelekezo.
Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi
"Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa mwenye upole na mwenye sura ya kuvutia.
Baada ya usiku kuingia, nilisinzia. Akiwa anaona nimelala...
Bukoba mjini na Musoma mjini yote ni miji midogo, je mji gani una unafuu
Usafiri - Anga, Maji, Ardhi
Mitaa ya makazi ya watu inayovutia
Majengo ya mjini
Shule
Vyuo
Barabara
Miradi
n.k
Habari,
Ninaishi na VVU na ninatumia ARV tangu 8 February 2015 katika Kituo cha Afya Katoro Bukoba vijijini. Kwa taaluma ni Mwalimu wa shule ya Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini.
Kuanzia mwezi wa pili mwaka 2026, sisi WAVIU tumeanza kupata shida ya kuzorota kwa huduma. Kwa mfano...
Anonymous (c723)
Thread
afya
arv
bukobabukoba vijijini
huduma
kagera
katoro
kituo cha afya
matunzo
mkoa wa kagera
tiba
vijijini
vvu
Ujenzi wa kipande cha Barabara ya Kilomita 1.6 kinachopita maeneo kadhaa ndani ya Manispaa ya Bukoba ambacho ujenzi wake ulianza Oktoba 9, 2023 ilipaswa kukamilika tangu October 8, 2024 mpaka leo Feb 16 2026 hakijakamilika na kuta zinazidi poromoka.
Kinachosikitisha zaidi ni kuwa kuta za mawe...
Anonymous
Thread
barabara
bukoba
hii
kukamilika
manispaa
oktoba
ujenzi
ujenzi wa barabara
Salaam Wakuu,
Hadi sasa sijapata Orodha ya Mtu yeyote wa kitaifa kuhudhuria Msiba wake. Japo alliwapania. Hata IGP hatakuwepo.
Huyu Muhaya kesho Tarehe mbili anazikwa Bukoba Mkoani Kagera.
Huyu Jamaa aliua ndugu yetu, waandishi wetu Daud Mwangosi kwa sifa. Sasa anaenda peke yake kaburini...
Nimekwama Bukoba. Nshomile wamejaza ndege zote kwa siku kadhaa zijazo.!
Maprofesa na Ma Dokta wanarudi Dar baada ya end of the year holidays!
Tutajuta kwenda huko!
Ngoja nipande Katarama Bus 😅😄😃😁
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya kuwa limetengwa kwa ajili ya uwekezaji, hatua zimechukuliwa na Mamlaka husika.
Kusoma hoja ya Mdau...
Kwenye Mji wetu wa Bukoba Mkoani Kagera Uongozi wa Mkoa ulitangaza kuhamisha makaburi ya Kishenge ili kujenga kitega uchumi, lakini sasa eneo hilo limegeuka kama ‘dili’ la ushirikiana.
Walitoa makaburi kadhaa kisha watu wakaanza kuchimba mchanga wa makaburini (eneo ni mchanga mtupu). Sasa...
Ndani ya kipindi kisichozidi miezi miwili Kata ya Kemondo imeshuhudia ajali 3 za barabarani zilizoua watu watatu, kufuatia matukio haya ya ajali Afisa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku, Ijumaa Oktoba 3, 2025 ameongozana na Polisi Kata wa Kemondo Afande Huruma...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, tarehe 21 Septemba, 2025 ameshuhudia safari ya kwanza ya meli ya MV New Mwanza kutoka Bandari ya Mwanza Kusini iliyopo jijini Mwanza kuelekea Bandari ya Bukoba ikiwa imebeba wataalamu kutoka kwa Mkandarasi, Maafisa wa Serikali na wawakilishi kutoka vyombo vya...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhandisi Johnston Mtasingwa, aliomba kura kwa wananchi mbele ya mgombea mwenza wa Urais wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashai, mjini Bukoba.
Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !!
Kwanza hawana stend!
Hawana soko!
Barababara kuu imekwama na pesa wamekula!
Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango
Britanicca
Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.
Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa...
Na Mwandishi Wetu, Bukoba
Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah imeadhimisha miaka 15 tangu kuanzishwa kwake kwa Ibada Kuu ya Shukrani iliyoongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dkt. Alex Malasusa.
Katika mahubiri yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.