Wasafiri wanaotumia huduma ya Mwendokasi kutoka Mbezi kwenda mjini wameeleza kusikitishwa na kiwango cha nauli kinachotozwa, ambacho ni Shilingi 2,000 kwa safari moja.
Wananchi wanasema hali hiyo imekuwa kero kubwa, hasa kwa kuzingatia kuwa mabasi hayo yanatumia gesi (GAS), ambayo ni nishati...
Leo tunaamua kuvunja ukimya.
Sisi ni wakata tiketi (Cashiers) wa Mradi wa MwendoKasi (BRT Phase II – Mbagala) tunaofanya kazi kupitia Vodacom Tanzania katika mfumo wa ukusanyaji wa nauli. Kila siku tunahudumia maelfu ya abiria na kuhakikisha huduma ya tiketi inaendelea bila hitilafu.
Hata...
Anonymous
Thread
haki za wafanyakazi
mwendokasi
tanzania
ukiukwaji wa haki
unyonyaji
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imetangaza kurejeshwa kwa huduma ya usafiri wa Mwendokasi kuanzia leo 06 Julai 2026!
Pichani ni mabasi katika Stendi ya Kibaha!
Pia soma ~ Mwendokasi imesitisha huduma Kibaha na hakuna maelezo
Mwaka 2026 dunia sasa inakimbia sana, mambo yanabadilika kila baada ya sekunde 30 lakini kwa nchi nyingi za Afrika. Inawezekana kabisa mambo yanabadilika.Kila baada ya wiki 30.
Huwa inaumiza sana na kushangaza, katika karne ya 21 mwaka 2026 unakuta binadamu wanagombania usafiri kituoni mpaka...
Juzi, takribani siku tatu zilizopita, niliona andiko la mdau likielezea kero ambayo sisi abiria tumekuwa tukikumbana nayo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Kwa zaidi ya miezi mitano, huduma za vyoo zilikuwa zimesitishwa, hali iliyowalazimu baadhi ya watu kujisaidia haja ndogo katika korido...
Mimi ni mkazi wa Mbagala na nafanya shughuli zangu katika Soko la Samaki Ferry. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia usafiri wa Mwendokasi kwenda na kurejea nyumbani. Kituo ninachoshukia ninapoenda kazini na kupandia ninaporejea nyumbani ni Kituo cha Mwendokasi Kivukoni.
Nasikitika kuona abiria...
Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo, lengo hili linahujumiwa vikali na ukiukwaji mkubwa wa sheria za usalama barabarani. Waendesha bodaboda na bajaj wamekuwa...
Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika Ujenzi wa Mwendokasi Mwenge -Tegeta utakamilika lini? Ni kweli Mkandarasi ana vifaa vichache, wafanyakazi hawatoshi?
UFAFANUZI WA TANROADS:
Serikali kupitia TANROADS inatambua...
Mimi ni mwananchi wa Mbezi Mwisho, huduma ya mwendokasi wameleta route ya kutoka Mbezi kwenda Gerezani na kivukoni, sasa hiyo huduma wanaita VIP maana yao kwamba gari halisimami popote kituo cha kwanza ni Fire nauli yake ni elfu 2 (2000/=).
Soma Pia: Kusubiri Basi la Mwendokasi kituoni dk 60 -...
Nimewaita mara tatu , hivi nyie umbwa mwezi wa tatu sasa Kimara na Kivukoni hakuna huduma ya choo na mnasafirisha watu wa aina mbalimbali wakiwemo wagonjwa watoto etc, hivi kwenye nchi hiyo mnaweza nini? Kusimamia hata choo mnashindwa, then kuna matakataka utayasikia Sijui serikali ya mama nani...
Naweza kusema kuwa kwa ninavyoamini kutokana na mazingira, Askari wa Barabarani wanatengeneza foleni njia ya Kimara kwa Makusudi wanaanza kuwaambia watu wapite mwendokasi kipande cha Baruti then ukifika Kona wanakamata magari yote.
Wakiaambiwa kuwa “tumeruhusiwa huko nyuma kupita” wanasema...
Anonymous
Thread
askari
faini
kimara
kutoza
mwendokasimwendokasi kimara
njia
njia ya mwendokasi
Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo imekuwa ukisababisha vurugu wakati wa kupanda kwani kila abiria anataka kuwahi kukakaa kwenye siti hii...
Hizi Kadi za Mwendokasi inabidi ziboreshwe, unakuta ikiwa mpya au haijapata shuruba zozote inaonesha Namba ya Card ambayo Imeprintiwa juu ya lamination...
Sasa lamination ikitoka Namba ya Kadi nayo inaondoka, hali hiyo imekuwa kesho hasa kwa sisi ambao wengi tunatembea nayo mfukoni muda mwingi...
Anonymous (c258)
Thread
lamination
mabasi
mabasi ya mwendokasimwendokasi
namba
🚍 KERO MWENDOKASI MBAGALA
1. Mfumo wa kupanda 🚫
Mwendo kasi za Mbagala hairuhusiwi kugeuza. Ukifika mwisho, lazima ushuke halafu upange mstari upya ili upate siti.
👉 Hii inalazimisha baadhi ya watu kulipa nauli mara mbili, hasa wazee na wenye changamoto za kusimama muda mrefu.
2. Nauli iko...
Kiukweli Mimi hii hali ya wakatisha tiketi wa mwendokasi kituo cha kimara kuweka salio kwenye kadi tofauti na kiasi cha fedha inanikata sana.
Mara ya kwanza nilidhani ni bahati mbaya lakini mpaka sasa ninathibitisha kua ndo michezo yao, kwanza hawatoi risiti, Mara ya pili nilitoa elfu tatu...
Hamjambo wote!
1. Mapema wiki hizi kumekuwa na ongezeko la mabasi ya Mwendokasi Ruti ya Kimara Mbezi.
2. Mabasi ni mapya na mazuri.
3. Kiyoyozi na WiFi kama zote. Password utajua pakuipata.
4. Serikali kwa hilo ipongezwe kwa sababu kama yakiwa hayapo watu wanalalamika na kukosoa. Basi yakiwepo...
Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi imetangaza hatua mbalimbali za kuboresha usafiri wa wanafunzi katika maeneo ya mijini, kufuatia malalamiko ya wanafunzi kuhusu kunyanyaswa na baadhi ya wahudumu wa mabasi ya daladala.
Akizungumza na vyombo vya habari, Jijini Dodoma Tarehe 04 Februari, Waziri...
Jamani, naomba ufafanuzi. Kwa nini vituo vya BRT (mwendokasi) barabara ya Bagamoyo Road kuanzia Mbezi Beach vimejengwa virefu sana, na pia vimekaa karibu karibu kiasi kwamba hata mita 400 havifiki kutoka kituo kimoja hadi kingine? Kuna sababu maalum ya kiuhandisi au mipango ya usafiri...
Pamekua na magari machache ya Kimara Gerezani na Mbezi Gerezani tofauti na tunavyo aminishwa kwa picha za mabasi mtandaoni.
Hali ya usafiri ni Mbayaaaaa, Mbezi Kimara hali ya Maji ni Mbayaaaaa.
MAANDAMANO yanayofuata ni juu ya HUDUMA ZA JAMII wala sio wizi wa kura CCM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.