kijiji

Kijiji.ca ( kee-JEE-jee; Swahili pronunciation: [kiˈʄiʄi], village) is a Canadian online classified advertising website that operates as a centralized network of online communities, organized by city and urban region, for posting local advertisements. Kijiji was launched in February 2005 as an eBay subsidiary and become part of the eBay Classifieds Group in 2007. The Kijiji brand is used in more than 100 cities in Canada and with kijiji.it in Italy, while eBay Classifieds websites are available under different brands in other countries (Gumtree in the UK and Marktplaats.nl for the Netherlands). The Canadian and Italian websites are managed by Dutch company Marktplaats BV, which is part of eBay Classifieds Group. Kijiji was made available to selected cities in the United States on June 29, 2007, however the brand was changed to eBay Classifieds in 2010.Kijiji is the most popular online classifieds service in Canada and draws more traffic compared to competitor Craigslist in that country. The New York Times referred to Kijiji's Canadian site as representing "one of the few online brands that fizzled in the United States but found success elsewhere."Kijiji offers similar services and is seen as a competitor to Craigslist, with the biggest differences being that Kijiji has an extensive pets section, as well as a more modern interface.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji wa Machemba - Tunduru wamwambia Ado Shaibu kuwa hawana huduma ya maji safi

    Wananchi wa Kijiji cha Machemba, Wilaya ya Tunduru wameiomba Serikali kuwapatia vyanzo salama vya maji baada ya kueleza kuwa wanategemea kisima ambacho, kwa mujibu wao, hakikidhi viwango vya usalama kwa matumizi ya kila siku. Ombi hilo limetolewa Seotemba 23, 2026 baada ya Mbunge wa Tunduru...
  2. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Imam na sheikh wetu mkuu wa kijiji

  3. bless on

    JamiiForums Tanzania Ndoto za kurudi Shule na Kijijini kwenu zina Maana Gani?

    Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio. Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani inatembea kwa kasi, karatasi ya mtihani iko mbele yako, lakini hujui hata swali moja. au pengine...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwekezaji kachukua viwanja vyangu vinne Kijiji Cha Msufini Kidete – Mkuranga, Pwani, kila ninapoenda hakuna msaada

    Mnamo Desemba 7, 2022, nilifanya uamuzi wa kuwekeza kwenye ardhi kwa kununua shamba lililopo Kijiji cha Msufini Kidete, Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Ununuzi huu haukuwa wa mitaani tu; nilifuata taratibu zote za kisheria na za kiserikali. Nilisaini mkataba halali mbele ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtendaji wa Kijiji cha Ukingwaminzi - Katavi anatumia madaraka vibaya, anabagua watu

    Mtendaji wa Kijiji cha Ukingwaminzi, Kata ya Mwamapuli, Wilaya ya Mpimbwe, Mkoa wa Katavi, amekuwa akifanya maamuzi ya kibaguzi na ya upendeleo dhidi ya wananchi wa kijiji hicho wanapowasilisha shida zao, hasa zinazohusu migogoro. Kuhusu ujenzi wa vibanda vya biashara pembezoni mwa barabara...
  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Tanga; Kijiji kinaitwa mafisa aridhi ni bei chee 50k kwa heka Moja

    Vijana msijifungie sehemu Moja Ni Aridhi sio pori ==> 50k per heka Moja Ina support kilimo... mahindi , maharage...nk na ufugaji.
  7. H

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi.

    DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi. ▪️Aagiza magari ya kubeba wagonjwa yawe na mafuta, aonya wanaowachangisha wagonjwa. ▪️Ampongeza Afisa Elimu aliyesimamia shule kuongoza kitaifa. WAZIRI...
  8. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Manispaa ya Kahama, Kijiji cha Kiyinza, Kata ya Kilango hakuna ofisi ya Kijiji

    Watanzania wenzangu, inasikitisha kuona kuwa katika Wilaya ya Kahama, ambayo inakusanya mapato kwa kiwango kikubwa, bado kuna baadhi ya maeneo ya kiutawala ambayo hayana ofisi za viongozi wa serikali za mitaa. Kwa mfano, Kijiji cha Kiyinza, Kata ya Kilago, hakina ofisi ya kijiji. Hali hii...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Wakazi wa Kijiji cha Maisha Plus wakubali kuhama kupisha kilimo cha Mkonge Wilayani Muheza

    Kaya 67 zinazoishi kwenye eneo la maarufu la Maisha Plus la Kitongoji cha Bago, Kijiji cha Msakangoto na Kata ya Kigombe Wilayani Muheza wamekubali kulihama eneo hilo, kumpisha mwekezaji wake kuendeleza upanuzi wa kilimo cha mkonge. Hatua hiyo imefikiwa baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katika kijiji cha Bonye tarafa ya Bwakila chini, Duthumi Morogoro vijijini wakulima tunasumbuliwa sana na mfugaji aitwae Lembile Sangara a.k.a DC

    Hapa kijijini kuna mfugaji yupo juu ya sheria na kijiji kinaonekana kimeshindwa kumdhibiti, sheria ya kijiji cha bonye inamtaka kila mmiliki wa ng’ombe asizidishe ng’ombe zaidi ya 10 , jambo la kushangaza huyu Lembile anaweka hadi ngombe zaidi ya 200 kwa msukuma mmoja. Na kijiji hakimchukulii...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kaya 67 za Msakangoto (Tanga) tumebomolewa makazi yetu, tunalala nje, tunaambiwa Mwekezaji atupe laki 2 tuondoke!

    Wananchi Wakazi wa Kitongoji cha Bago (Maisha Plus), Kijiji cha Msakangoto, Kata ya Kigombe, Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga tunapitia changamoto ambayo inatuumiza kiasi kwamba tunaona giza katika kesho yetu kwani tunaona kuna dhuluma, uonevu na kutelekezwa tunakopitia wananchi wa Kaya 67...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dharau kubwa: Mangungu apaita Kaliua kijiji cha porini

    Kaliaua ni mji wa zamani sana. Huyu mzee anajifanya hapajui?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kijiji cha Magingo, walalamika kubakwa na vijana wakienda mashambani

    Wanawake wa kijiji cha Magingo, kata ya Mkongotema wilayani Madaba mkoani Ruvuma, wapo hatarini kupata magonjwa ya zinaa kutokana na kukumbwa na vitendo vya ukatili wa kingono vinavyofanywa na baadhi ya wanaume katika maeneo ya mashambani. Wanawake hao wameiomba Serikali kuchukua hatua za...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Zahanati ya Kijiji Ndomondo - Wilaya ya Nachingwea tunateseka, hawataki Bima ya (NHIF), tunalipishwa cash

    Zahanati ya Kijiji Cha Ndomondo, Kata ya Ndomoni, Wilaya ya Nachingwea tunateseka na huduma za afya kwa Watumiaji wa Bima (NHIF), Mganga Mkuu anawatoza ‘cash’ wagonjwa wenye Bima ili wapate huduma na ikitokea mgonjwa hana fedha basi anafukuzwa na kuambiwa aende kwenye kituo kingine kwa madai...
  15. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Imetimia miaka 20 tangu tukio la kuabisha linitokee hadi nikahama Kijiji

    Leo nimetimiza miaka 20 tangu tukio lilinishushia heshima linitokee hadi nikahama Kijiji. Ilikuwa July 25, mwaka 2006 ambapo nilikumbwa na mkasa ambao sitoweza kuusahau. Mara baada ya kumaliza form six nilirudi Kijijini kwetu na Kwa kipindi kile mtu aliyefika advanced Level pale Kijijini...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ichunguze uendeshaji wa Shule ya Sekondari Makurung, Kijiji cha Makurunge - Kisarawe

    Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Makurunge kilichopo Kata ya Kiluvya, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, kero yangu ni uendeshaji mbaya wa Shule ya Sekondari Makurunge. Shule inaendeshwa kikatili sana kwa wanafunzi na wadau waishio karibu na Shule. Vijana waishio hostel wanalazimishwa kubeba chakula...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilimo cha Umwagiliaji, Lumuma - Mpwapwa kina wakati mgumu, kivuko cha kusafirisha maji kimeharibika

    Kero yangu ni kwamba tunanyanyasika sana Wakulima wa kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Lumuma Mafene Mpwapwa, kivuko cha kusafirisha maji kwenda kumwagilia mazao kimeharibika huu ni mwaka wa nne lakini Wizara ya Kilimo hata kututembelea na kutupa msaada hakuna, sasa nashindwa kuelewa nini kauli...
  18. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Wanafiki wakubwa Tanzania ni wakaguru wanapatikana Kijiji cha Berega

    Harakati zangu za kilimo juzi kati zilinifikisha Kijiji cha Berega wilaya ya kilosa mkoani morogoro.. Oya wajuba !, huko Kuna kabila la wakaguru Hawa watu ni wanafiki wa kiwango cha lami afu ignorance level Yao ni kiwango cha mchanga. Niliwahi kifikiri wasukuma ni wabaguzi mpaka nilipokutana na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watoto chini ya miaka mitano na Wajawazito wamekuwa wakitozwa pesa katika Kituo cha Afya Mundindi

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi wanapopata huduma za afya katika Kituo cha Afya Mundindi. Kuna madai kwamba watoto walio chini ya umri wa miaka mitano na wanawake wajawazito wamekuwa wakitozwa fedha za matibabu, licha ya utaratibu wa Serikali kutoa huduma...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukosekana Maji Nandagala Siku 3

    Mamlaka ya Maji mkoa Lindi wilaya ya Ruangwa kijiji cha Nandagala, ni siku ya tatu sasa maji hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Je wajibu wenu ni nini
Back
Top Bottom