Wale Matapeli wa "ile pesa tuma kwenye namba hii" Wanakula na baadhi ya wahudumu wa mitandao ya simu

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Amini nawaambieni!

Wale matapeli wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanapata taarifa kutoka kwa baadhi watoa huduma ya simu wasiokuwa waaminifu!

Ukitaka kujua hilo! "Ongea dili lolote na mtu kwa simu mufanye kama mnapatana na kuelekezana kwamba akutumie"

Baada ya kumaliza mazungumzo utashangaa miongoni mwenu mmoja atapokea ujumbe mfupi unaosomeka "Ile pesa tuma kwenye namba hii"

Hiyo ni moja ya ishara ya baadhi ya watoa huduma hususani wanaosikiliza mawasiliano yetu kwa usalama wetu! Wamekuwa siyo waadilifu!

Mfano wa pili , Kwa akili ya kawaida tu kama waliweza kipindi kile kusikiliza sauti za wale viongozi wa ccm walipokua wanaiponda serikali ya awamu ya tano(Magu)! Na Zile sauti zilivuja nini maana yake?!

Wanashindwaje kuvujisha story za maokoto kwa matapeli? (Baadhi yao siyo waadirifu)

Sababu nyingine inayothibitisha wale matapeli wanahusiana na baadhi ya watoa huduma!

Ni Vile punde baada ya kumaliza kutapeli zile laini huwa zinasomeka HAZIPO! (Doe's not exist)
Je, nani mwenye access ya kufuta mawasiliano kama hana mafunzo ya kufanya hivyo?
 
Wakala wangu mkuu wa mtandao X alikuwa kaanzisha group lake WhatsApp kwaajili ya kuwasiliana na sisi mawakala wake. Ajabu sasa mtandao ule (X) ndio nilikuwa napata usumbufu sana kutoka kwa matapeli kuliko mtandao Y ambao wakala mkuu hakuwa na group lake huko WhatsApp. Nikivyojitoa kwenye hilo group la wakala X na simu za matapeli zilipungua.
 
Sent from my HUAWEI NMO-L31 using JamiiForums mobile app
Unapoteza watu maboya! Ukweli ni kwamba kuna informal ndani ya mfumo anaeshirikiana na matapeli! Amini ninacho kwambia!

Madhara ya group hayawezi kusambaa nchi nzima nchi ya watu wenye simu karibu mil 15
 
Amini nawaambieni!

Wale matapeli wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanapata taarifa kutoka kwa baadhi watoa huduma ya simu wasiokuwa waaminifu!

Ukitaka kujua hilo! "Ongea dili lolote na mtu kwa simu mufanye kama mnapatana na kuelekezana kwamba akutumie"

Baada ya kumaliza mazungumzo utashangaa miongoni mwenu mmoja atapokea ujumbe mfupi unaosomeka "Ile pesa tuma kwenye namba hii"

Hiyo ni moja ya ishara ya baadhi ya watoa huduma hususani wanaosikiliza mawasiliano yetu kwa usalama wetu! Wamekuwa siyo waadilifu!

Mfano wa pili , Kwa akili ya kawaida tu kama waliweza kipindi kile kusikiliza sauti za wale viongozi wa ccm walipokua wanaiponda serikali ya awamu ya tano(Magu)! Na Zile sauti zilivuja nini maana yake?!

Wanashindwaje kuvujisha story za maokoto kwa matapeli? (Baadhi yao siyo waadirifu)

Sababu nyingine inayothibitisha wale matapeli wanahusiana na baadhi ya watoa huduma!

Ni Vile punde baada ya kumaliza kutapeli zile laini huwa zinasomeka HAZIPO! (Doe's not exist)
Je, nani mwenye access ya kufuta mawasiliano kama hana mafunzo ya kufanya hivyo?
Wanakula na askari na baadhi ya wakubwa wa TCRA pia
 
Tutaacha masimu Yao!
 
Hapana! Wakubwa wa TCRA hawawezi kufanya huoo upuuzi wakati wanalipwa pesa ndefu!

Sema watu wa technical ndo majanga
Kwanini utaratibu wa kusajili line unakiukwa na hawazifungii pamoja na matukio kulalamikiwa kila siku nani wanufaika au ni waziri wa mitandao ya simu
 
Unapoteza watu maboya! Ukweli ni kwamba kuna informal ndani ya mfumo anaeshirikiana na matapeli! Amini ninacho kwambia!

Madhara ya group hayawezi kusambaa nchi nzima nchi ya watu wenye simu karibu mil 15
Basi huenda kwenye lile grup kulikuwa na "Mole" alikuwa anachukua taarifa zetu na kuanza usumbufu.

Sent from my HUAWEI NMO-L31 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini utaratibu wa kusajili line unakiukwa na hawazifungii pamoja na matukio kulalamikiwa kila siku nani wanufaika au ni waziri wa mitandao ya simu
Hawana makosa kwasababu! Usajili ni taarifa, zikiingizwa taarifa za uongo mfumo utazipokea!
Uongo unapikwa kuanzia kwenye nyaraka za usajili
 
Hii kitu ni kweli kabisa jamaa nimeongea naye atume hela, baadae nakuja kumwambia ile hela mbona hukunitumia alishangaa akasema alishanitumia, yeye baada ya kukata simu alipata meseji hiyo hela tuma kwenye namba hii imeandikwa kwenye meseji jina litakujq flani flan, jamaa bila kufikiria fasta akatuma hela akifikiri mimi ndiye niliyetuma meseji kumbe ni matapeli.

Tulibishana alinionesha hadi meseji ambayo hakutoka kwangu na tukapelekana hadi kwa wakala alipotuma hiyo hela wakala akanionesha muamala na hela ilishatolewa fasta.
 
Kuna ukweli flani hivi, kuna kipindi nlianza kuhifadhi hela kwenye laini yangu ya Airtel ilipofika Laki 8 tu asee nlijuta, masaa mawili hayaishi unaona namba ngeni imepiga ukipokea tu unaskia sauti ya mdada au mwanaume anakwambia anapiga simu kutoka Airtel huduma kwa wateja, mda huo katumia namba ya Tigo au Voda. Siku nme withdraw hela yote nkaachia hela za kununulia bando tu, Simu za namna hiyo zikakoma kabisa.
 
Wingi wa watu wanaotumia simu mhudumu atapata muda wa kusikiliza calls za watu?
Kazi ya wahudumu ni kusubiri kero za wateja.
Ila naamini kuwa calls zote zinakuwa recorded.
 
Kuna kitu kinaitwa programming ndugu, zinasetiwa komandi voice ukitamka neno "tuma hela" inadetect!

Ni kama wanavyofuatilia mpango wa maandamano kuna maneno wanaset komand
 
Back
Top Bottom