afya tanzania

Afya Foundation is a 501(c)(3) not-for-profit organization based in Yonkers, New York. It was founded in 2007 by Danielle Butin, MPH, OTR after a trip to Tanzania, where she encountered the dire circumstances and severely limited medical resources of their medical clinics. Afya, which means "good health" in Swahili seeks to spread "Good Health Through Giving," and does so by providing medical supplies, consumables, sustainable equipment, and community outreach supplies to international health clinics.

View More On Wikipedia.org
  1. JF Toons

    Umewahi kukumbana na Kero gani katika Huduma za Afya?

    Habari, Afya ni miongoni mwa huduma muhimu na msingi katika katika Jamii yoyote. Katika kupata Huduma za Afya kuna michakato na mambo mengi katikati yake. Je, umeshawahi kukutana na kero gani katika kupata Huduma za Afya Kishingo akusaidie kuisemea?
  2. The Burning Spear

    Swali Kwa waziri wa Afya Tanzania

    Naomba ummy Mwalimu ajibu Hili swali. Tunataka kujua tuna Nchi ya Tanzania na Zanzibar au nanna gani?. Cc Wizara ya Afya Tanzania
  3. machoo

    SoC03 Tuangamize Utata wa Watumishi katika Sekta ya Afya: Kuelekea Uboreshaji wa Huduma za Afya Tanzania

    Mheshimiwa Ummy Mwalimu: Heshima yako Odo Ummy, Amani ya Mungu iwe juu yako, natumaini barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na ustawi bora. Kwenye wizara ya Afya, Naweza kusema Bila shaka jitihada zako ziko bayana kwa kila Mwananchi. Hata hivyo, ningependa kukushirikisha wasiwasi wangu...
  4. G

    SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji katika sekta ya afya Tanzania

    Kumekuwa na changamoto kubwa ya utawala bora na uwajibikaji katika sekta ya afya nchini Tanzania. Changamoto hii inajitokeza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ufinyu wa bajeti, upungufu wa wataalamu wa afya, ukosefu wa vifaa tiba, vitendea kazi na miundombinu duni. Hivyo, utekelezaji wa sera...
  5. B

    Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

    Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga. Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola. "Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake." Maajabu ya Mussa. Tangu lini uswahilini neno Marburg...
  6. Sildenafil Citrate

    Watu 33 wanusurika Kifo kwa kula nyama iliyouzwa Tsh 2000 kwa kilo

    Watu 33 wa kijiji cha Kazingumu kata ya Namelock wilayani Kiteto mkoani Manyara wamenusurika kifo baada ya kula mzoga wa ng'ombe aliyekuwa anapatiwa matibabu ambapo nyama hiyo walinunua kwa shilingi 2000 kwa kilo badala ya bei ya kawaida ya 8000. Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mbaraka Al Haji...
  7. A

    Lengo kuu la Bima ya Afya kwa Wote inayopendekezwa ni kwa Serikali kukusanya mapato zaidi

    Tangu tupate uhuru, serikali ya Tanzania haijawahi kuwa na nia njema kwa wananchi wake; kisiasa, kiuchumi, wala kiafya. Kodi tunazolipa hazitumiki kuinua hali ya maisha ya wananchi bali kuneemesha viongozi na ndugu zao. Kwa mfano; serikali kununua gari la Tshs 400m kwa ajili ya mkuu wa wilaya...
Back
Top Bottom