• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

malalamiko

 1. K

  TFF chukueni hatua juu ya malalamiko ya vyumba vya kupumzikia wachezaji

  Kuna malalmiko mengi yanatolewa na timu kuhusu vyumba kupuliziwa dawa. wachezaji wasipoingia TFF mnakuja na adhabu pasipo kuchunguza kimsingi hii si haki na si sehemu ya kutatua tatizo msingoje hadi watu wapate madhara ndo muanze kuchukua hatua. fanyeni uchunguzi na mjiridhishe ndo mchukue hatua
 2. Lizarazu

  Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

  As salaam alayqum na pia tumsifu Yesu Kristu. Nafahamu jambo hili limeshaongelewa sana humu lakini nimeona si mbaya nikikumbushia tu na hasa ukizangatia mwaka bado ni mbichi kabisa. Na pia vilevile mada hii hailengi kuwafanya wanawake wawe magold digger, isipokuwa najaribu kuelezea uhalisia...
 3. B

  Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

  Tunaandika kwa masikitiko na malalamiko makubwa kuhusu hali ilivyodorora ndani ya shirika. Tunaomba malalamiko haya yakufikie Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunasema hivyo baada ya hali kuonyesha wazi Waziri husika hana uwezo wa au amezembea kutatua matatizo ya sasa ya shirika...
 4. Mama Amon

  Serikali imetangaza kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uko palepale licha ya malalamiko mengi kutaka usifanyike

  Waziri Mkuu akoleza uchaguzi serikali za mitaa Mwananchi, Ijumaa, November 15 2019, Dodoma. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa Hakuna kulala uchaguzi wa serikali za mitaa uko palepape. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kauli ya Waziri Mkuu wa Tanzania...
 5. Kaka Pekee

  Bongo hakuna malipo bila malalamiko!

  Wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ukiongea nao wanadai walipunjwa malipo. Baadhi waliofariki kabla ya kulipwa, warithi wao wanakuambia hawakuambulia kitu na waliolipwa mlolongo wa malipo kwao ulikuwa mkubwa kuliko. Upanuzi wa barabara, viwanja vya ndege. Wahanga wa mabomu...
Top