uhamasishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    DOKEZO Malalamiko ya posho ya CHWs ya uhamasishaji wa kujikinga na ugonjwa wa mlipuko wa Marburg Bukoba

    BUKOBA MANISPAA KAGERA ,TANZANIA Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. : Kwanza Hongera na kazi katika harakati za kulipambania Taifa hasa kwenye secta ya AFYA hapa nchini. Sisi ni wahudumu wa afya ngazi ya jamii, kutoka MKOA KAGERA wilaya ya BUKOBA MANISPAA tulifanya...
  2. Hismastersvoice

    Mbagala chafu sana, CCM yatumia Rapid Force (kikundi cha uhamasishaji) kuficha malalamiko ya wananchi

    Jana Jumanne tarehe 21/11/2023 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alifanya mkutano Mbagala, mkutano huo ulikuwa ni wa kulifungua soko la Mbagala Zakhiem. Kama kawaida yao mabingwa wa kuficha ukweli huwa wanaambatana na kikundi cha vijana wapatao 30 hivi, hawa vijana wanaokusanywa sehemu mbalimbali...
  3. naliwe

    Vikao vya madiwani kuhusu uhamasishaji mkataba wa bandari

    Hivi hii nchi wapi inaelekea kwa sasa, serikali itwambie hii bajeti ya vikao vya madiwani nchi nzima ya kuwawezesha na kuwaelimisha ili waende kwa wananchi kuwaeleza na kuwashawishi kuhusu mkataba wa bandari wanaitoa wapi? Hata ivyo mimi naliwe najiuliza kunani kwenye mkataba huu hadi kufikia...
  4. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Ashiriki Kongamano la Uhamasishaji Biashara Kati ya China & Afrika Nchini China

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI KATIKA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI BIASHARA KATI YA CHINA & AFRIKA AMBALO LIMEFANYIKA NCHINI CHINA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu K. Kijaji (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Bi. Rossella Lyu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Greenchain ambayo...
  5. GENTAMYCINE

    Ule uhamasishaji wa Nguvu na Kauli Mbiu tulipocheza na Al Hilal mbona siuoni tukicheza na Club Africaine leo?

    Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia? Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
  6. Roving Journalist

    Prof. James Mdoe: Serikali itafanya jitihada za uhamasishaji wa usomaji wa vitabu nchini

    Serikali imesema itafanya jitihada za uhamasishaji wa usomaji wa vitabu nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe wakati akifunga tamasha la 31 la vitabu lililomalizika leo katika viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam...
  7. Stephano Mgendanyi

    Katibu wa uhamasishaji na chipukizi UVCCM taifa, Victoria Mwanziva akutana na wahamasishaji UVCCM ngazi ya tawi

    KATIBU WA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM TAIFA CDE. VICTORIA MWANZIVA AKUTANA NA WAHAMASISHAJI UVCCM NGAZI YA TAWI 27.03.2022 - Dar-Es-Salaam Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Cde. Victoria Mwanziva ashiriki Darasa la itikadi Tawi la UVCCM Msakuzi Mashariki - Kata ya Mbezi -...
  8. T

    Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na chipukizi UVCCM Taifa cde. Victoria Mwanziva ateta na wanafunzi kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii

    Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam) Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Cde Victoria Mwanziva alikua mgeni...
  9. C

    Faida na hasara za uhamasishaji wa Mwijaku Simba

    Nianze na hasara sababu ni nyingi: *Tofauti na kale ka dada, Mwijaku hajui mpira ni shabiki hoyahoya ukimuambia akuachambulie hata formation za mpira ni debe tupu. *Ni lolopolopo haswa halijui kuchuja maneno hana tofauti na lile tambara tulilolitupa *Akili yake ni kujikweza yeye na kutaka...
  10. GENTAMYCINE

    Akiwa hajamaliza saa 24 tangu apewe uhamasishaji Simba SC, tayari Mwijaku ameanza 'kumchefua' Murtaza Mangungu

    Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu. Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na...
  11. FRANCIS DA DON

    Serikali imesema vaeni barakoa, epukeni mikusanyiko, halafu hiki ndicho walichofanya Dodoma kwenye uzinduzi wa uhamasishaji Sensa.

    Mtu anakwambia vaa barakoa na uepuke mikusanyiko, halafu mtu huyo huyo anakuhamasisha uje kwenye mkusanyiko mkubwa wa kuhamasisha sensa. Je, kuna hitilafu kwenye wiring ya ubongo wake? Video ipo chini hapo 👇🏼 =================================...
  12. Analogia Malenga

    LIVE Dodoma: Rais Samia azindua mkakati wa uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022

    Tunaendelea kufuatilia atakaloongea mtukufu rais katika uzinduzi wa uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi
  13. J

    Dodoma: Rais Samia anazindua Mkakati wa Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi 2022

    Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten Rais Samia anazindua zoezi la uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi 2022 katika uwanja wa Jamhuri Dodoma. ===== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema bila kuwa na hesabu au takwimu sahihi, haiwezekani kugawa rasilimali na...
  14. R

    Uhamasishaji matumizi ya Chanjo dhidibya Covid 19 tupewe kazi hii nyepesi sisi Chadema. CCM na Serikali mmeshindwa. Hamna uhalali wa kuihubiri

    Huu ndio ukweli. Sasa umegeuka kuwa aibu hata kwa Mkuu wa Nchi. Haiwezekani mtu yule yule aliyepinga na kutushawishi kutumia matunguli leo anageuka na kutushauri vinginevyo. Hawezi kuaminika hata uwe Waziri, Mkuu wa Mkoa, DED au mkuu wa vyombo vyenye nguvu. Hii kazi ni nyepesi inahitaji weledi...
  15. K

    TFF wekeni kigezo cha vyeti kwa walio na nafasi za usemaji na uhamasishaji ili kudhibiti ufinyu wa akili unaojitokeza

    Jambo hili ni muhimu sana.Utakuta mtu anafanya personal attack kwa muwekezaji na biashara zake kisa alinyimwa mshahara anaoutaka. Jambo hili ni ugaidi wa kibiashara na lisipoangaliwa vizuri litaleta shida sana baadae. Kama wewe ni msemaji wa timu pinzani hakuna sababu ya kuleta personal...
Back
Top Bottom