Mimi ni fundi seremala kutoka Shinyanga Mjini. Mnamo tarehe 17 Agosti 2023, nilipewa kazi na Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO) wa Shinyanga Mjini ya kutengeneza samani, zikiwemo viti, benchi, meza na rafu za dawa katika zahanati za Seseko na Ihapa.
Thamani ya kazi hiyo ilikuwa jumla ya Sh8,720,000...
Anonymous
Thread
kutengeneza
manispaa
mjini
naomba
pesa
shinyanga
shinyanga mjini
wilaya
zahanati
Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC.
Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa wagonjwa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni taarifa kwamba mtu huyo anahusika hata katika kutoa sindano kwa...
Anonymous
Thread
afya
kazi
kufanya
kufanya kazi
mbaya
mganga
moshi
mtumishi
raia
sindano
sio
zahanati
Zahanati ya Kijiji Cha Ndomondo, Kata ya Ndomoni, Wilaya ya Nachingwea tunateseka na huduma za afya kwa Watumiaji wa Bima (NHIF), Mganga Mkuu anawatoza ‘cash’ wagonjwa wenye Bima ili wapate huduma na ikitokea mgonjwa hana fedha basi anafukuzwa na kuambiwa aende kwenye kituo kingine kwa madai...
Anonymous
Thread
bima
hawataki
kijiji
nachingwea
nhif
wilaya
zahanati
Wananchi wa Kata ya Naalarami, Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, wanaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa ya uhaba wa maji, hali inayoathiri shughuli zao za kila siku pamoja na utoaji wa huduma muhimu za kijamii.
Wakati wa ziara ya Mbunge wa Jimbo la Monduli, Isack Joseph, wananchi walimlaki...
Zahanati ya Kata ya Itundu, Wilaya ya Urambo katika Mkoa wa Tabora, Mganga Mfawidhi anakuja kazini anapojisikia ni kama Mganga Mkuu wa Wilaya ameshindwa cha kufanya.
Kwa wiki anaweza kuna mara moja au hasije kabisa hali hii ibasababisha wananchi wasipate huduma stahiki.
Kwa utaratibu anatakiwa...
Mimi ni mwijiriwa mpya upande wa afya Mkoa wa Lindi, Wilaya ya Nachingwea Mwaka 2026, kero yetu, mimi na wenzangu ni mpaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu ila Walimu ambao tumeajiriwa nao wote wamepewa.
Kinachoumiza kila tukiulizia tunapewa majibu mabaya sana mbayo zaidi sisi ambao tumepangiwa...
Anonymous
Thread
afya
fedha za kujikimu
lindi
nachingwea
vijijini
watumishi wa afya
zahanati
Wiki iliyopita nilienda Zahanati ya Kimara Mwisho kwa ajili ya matibabu ya kijana wangu ambaye hakuwa sawa kiafya, baada ya kufika tulipokelewa na kufanyiwa vipimo vinavyohitajika.
Hata hivyo, baada ya majibu kutoka, tuliandikiwa dawa muhimu kwa ajili ya matibabu yake lakini nikaambiwa...
Anonymous
Thread
dawa
dawa muhimu
kimara
kituo
muhimu
nje
sawa
sio
wagonjwa
zahanati
Wananchi wa Kijiji cha Mbuchi, Kata ya Mbuchi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Mkoa wa Pwani wanapitia katika kipindi kigumu kutokana na hali ya miundombinu ya Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi kuwa mibovu hali.
Hali hiyo inasababisha utoaji wa huduma katika kituo hicho kutokuwa rafiki hasa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailmoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo.
Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada...
Wanawake katika Kijiji cha Kilimampimbi, Kata ya Kilimampimbi Wilayani Mbozi Mkoani Songwe wametishia kufanya mgomo wa kubeba mimba mpaka ujenzi wa Zahanati ya Kijiji ukamilike ili kuepuka changamoto wanazopitia wakati wa kujifungua.
Wakizungumza na EATV baadhi ya Wanawake kijijini hapa...
Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga akiwa katika mkutano wa Kampeni katika kata ya Tumbi leo Septemba 21,2025 amewaahidi Wananchi wa kata hiyo kukamilisha ujenzi wa Zahanati na ukarabati wa Barabara inayotoka Barabara kuu ya Urambo hadi Kijiji cha...
Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga akiongea katika mkutano wa Kampeni katika kata ya Tambukareli amewaomba Wananchi wa kata hiyo kumpigia kura awe mbunge akasimamie ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2025/30.
Mwaifunga amesema kuwa kupitia ilani ya...
Zahanati ya Tambukareli iliyopo kata ya Azimio wilaya ya Temeke DSM, ambayo ni tegemeo kwa wananchi wa kata ya Azimio na maeneo jirani imeanza kugubikwa na viashiria vya rushwa, hali inayotia doa huduma za afya na kuathiri maisha ya wagonjwa na wateja kwa ujumla.
Malalamiko kutoka kwa wananchi...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa iliyopo katika jimbo hilo na kumaliza kero ya muda mrefu ya wanawake kujifungua kwa msaada wa mwanga wa tochi, iliyokuwa ikiwakabili wananchi hao
Hatua hiyo imepongezwa na wananchi wa Kisiwa cha Soswa ambapo...
Huyu ni Mzee Ignasi Safari Swai mzaliwa na Mkazi wa Kijiji cha Momwe Kata ya Mrao Keryo Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro,ambae ameamua kutoa sehemu Kubwa ya ardhi yake anayoimiliki na kuikabidhi kwa Serikali ili pajengwe zahanati itakayosaidia Kutoa huduma za kiafya kwa wananchi wa Kijiji...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameagiza Zahanati ya Kijiji cha Muungano, Kata ya Laghanga, kuanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo Aprili 30, 2025.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ugele Kilichopo Manispaa ya Iringa lengo likiwa ni kusogeza huduma za afya kwa Wananchi hususani wakina Mama Wajawazito.
Wakizungumza Wananchi wa Kijiji hicho wamesema Zahanat hiyo itakwenda kuwa...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametoa kiasi cha fedha shilingi milioni 10 kusaidia kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Majengo, Kata ya Ilenza, ambayo ujenzi wake ulikwama kwa takriban miaka 15.
Akiwa kijijini hapo Machi 07, 2025 Shigongo amewahimiza wakazi wa Kijiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.