muziki

  1. nzalendo

    JamiiForums Tanzania MASOUD MASOUD..MANJU WA MUZIKI

    Leo nilikuwa namtafakari Masoud Masoud....nikagundua ni baadhi ya watu wachache sana Duniani,,,,, katika ufahamu na uchambuzi wa muziki. Kwa sisi waswahili wa ki Tanzania hatumpi ile hadhi anayostahili au pengine hatuna habari hii ni hazina kubwa. Kwa mataifa yenye mipangilio ya mambo watu...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 bila kusikiliza muziki.

    Najua hakuna kitu ambacho watu wengi wanadai kinawaondolea stress kama muziki. Nilikuw mmoja wa watu hawo . Nilikuw nikishinda na Muzik toka asubuhi hadi asubuhi . Niko kazini, boss akaniletea spika ya Bluetooth,ndo upuuzi ukazidi. Siku moja nikaona siyo fani,nikafuta mizik yote,nikawa...
  3. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kweli muziki wa zamani haukuwafaidisha wasanii na chochote bali stress tuu. Ukiwaona katika kundi moja wakipiga story utafikiri kikundi cha masela

    Hii bongo 30 imefanya watu kuwaona hawa jamaa vizuri, wengi wao wamechoka, wengine wana maalaama uso, wengine nyuso zao zimejaa ulevi wa matapu tapu Wengi wao waliishia katika uraibu maana ustaa wao uliwaongezea aibu mitaani
  4. _-_-_-

    JamiiForums Tanzania Silaha ya Kisaikolojia: Jinsi Plato, Nyerere na Brass Bands za Majeshi ya Afrika Zinavyotumia Muziki Kulinda na Kuendesha Dola

    Wakuu, jioni ya leo mtanisamehe kwa kuandika uzi mrefu kidogo, lakini naamini utakuwa na manufaa makubwa kwa wale wanaopenda kufuatilia jinsi mifumo ya madaraka (State Machineries) inavyofanya kazi nyuma ya pazia.Mara nyingi tukifikiria kuhusu "Zana za Kuendesha Dola," vichwa vyetu vinakimbilia...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tungependa kutambulisha rasmi suluhisho na bidhaa yetu ya Jamiisound kwa wadau na wapenzi wa muziki na mashabiki

    Utambulisho wa JamiiSound: Platform ya Kusambaza na Kusikiliza Muziki (Music streaming platform) katika hatua zake za awali. Tunafurahi kuwatambulisha Watanzania wenzetu JamiiSound, moja kati ya bidhaa zetu nyingi ya kidijitali inayolenga kurahisisha usikilizaji, ugunduzi na usambazaji wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana.

    Msanii wa Mziki Chriss Brown amesema anachukia Tasnia ya Muziki na Mastaa wake. Sasa tukilinganisha na yeye ya Pdid na RKelly na haya ya hapa nyumbani ni dhahiri kuna ukweli na ndio maana hata baadhi ya wana muziki wa kiulizwa kama wangependa watoto wao waje kuwa wana muziki wanakataa. Mnaoijua...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana

    Msanii wa Mziki Chriss Brown amesema anachukia Tasnia ya Mziki na Mastaa wake. Sasa tukihusianisha na yale ya Pdid, R Kelly na haya ya hapa nyumbani ni dhahiri kuna ukweli na ndio maana hata baadhi ya wana muziki wa kiulizwa kama wangependa watoto wao waje kuwa wana mziki wanakataa. Mnaoijua...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ukubalike Arusha, deal na Warangi, Wambulu na Wanyaturu; utamaduni wa jiji una influence yao kubwa sana hadi street life

    Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana. Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati. Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa kiasi kikubwa na Warangi, wanyaturu, wanyiramba, wambulu. Makundi yameanza kuwa kama utamaduni na...
  9. Gunner11

    JamiiForums Tanzania 90s Rap: Ubunifu Dhidi ya Muziki wa Sasa

    Japo mimi na rap songs hazijaiva sana, Ila napenda sana kusikiliza 90s raps pamoja na wasanii wachache kama 1:Kanye west 2: Dax 3:xxx tentacion 4:j cole Ila muziki wa zamani hasa rap ilikuwa enzi hizo, watu walikuwa na akili hawakuwa mazombie wa siku hizi wanaimba vitu vya kijinga Kipindi...
  10. baloziwamitaa_

    JamiiForums Tanzania Tetesi: 1FAIDA ZA MUZIKI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU

    Muziki si burudani tu. Ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku — inayoathiri hisia, akili, na hata mwili wetu kwa namna ya kushangaza. Tangu utotoni, muziki hutusaidia kujifunza. Watoto hukariri herufi, namba, na hata kanuni za maisha kupitia nyimbo. Kadri wanavyokua, wimbo ule ule unakuwa...
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Ariana Grande kwa Trump; Msitumie tena muziki wangu

    Mwimbaji, Ariana Grande ameingia tena katika mvutano na utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu matumizi ya muziki wake. Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 33 alidai kwamba nyimbo zake zisitumike tena katika machapisho yao. Tukio hilo lilianza wakati akaunti rasmi ya Team Trump...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya Maisha ya Dolly Parton: Malkia wa Muziki, Muunganishaji wa Jamii na "Nyumba Aliyoijenga Whitney Houston"

    https://www.youtube.com/watch?v=GnLITwQf8s8&list=RDGnLITwQf8s8&start_radio=1 https://www.youtube.com/watch?v=3JWTaaS7LdU&list=RD3JWTaaS7LdU&start_radio=1 Wana-JF, Leo tunamkumbuka mwanamuziki wa kipekee, mfanyabiashara, na mwanaharakati wa kimyakimya wa haki za binadamu, Dolly Parton...
  13. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwimbaji nguli wa muziki wa Country, Dolly Parton amefariki dunia

    Mwimbaji nguli wa muziki wa country Dolly Parton, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80, Mpwa wake ametangaza taarifa hiyo kupitia video iliyochapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Staa huyo. Pamoja na kwamba taarifa ya kifo chake haijataja chanzo cha kifo wala mazingira yake, kifo hicho...
  14. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Ruby Aamua Kuacha Muziki wa Bongo Fleva na Kumrudia Yesu

    Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Ruby, ametangaza kuanza sura mpya ya maisha yake kwa kuamua kuacha muziki wa Bongo Fleva na kuwekeza maisha yake katika kumtumikia Mungu. Akiwa mmoja wa waimbaji wa kike walioacha alama kubwa nchini kupitia sauti yake ya pekee na uwezo wa kutumbuiza...
  15. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania Muziki Mzuri wa Africa Umefichwa Wapi? Wajuzi Tushirikishane

    Kuna muziki wa Africa ambao ni nadhifu sana, lakini ni nadra kuusikia radio, TV, social media, clubs au mainstream. Mimi napenda muziki kwa sauti, vyombo, vibe, melody, lyrics na production — sio kwa sababu tu ume-trend. Hii ndiyo aina ya playlist ninayoizungumza: 🎵 Black Tax – Just B 🎵 Chai...
  16. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Nje ya Sanaa ya muziki, Civilian-Coin pia ni fundi ujenzi.

    Msanii wa muziki kutoka Tanzania anaye ghani mashairi yake kwa lugha ya kiingereza pia ni fundi ujenzi wa majengo na mbunifu wa kutengeneza vifaa mbalimbali vya ujenzi, hujishughulisha na shughuli za ujenzi ambazo humusaidia kukamilisha mipango yake ya Sanaa ya muziki na maswala ya kiuandishi wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Una muziki ambao ungependa uoate beat bila vocal au vocal bila beat, pandisha hapa vitatenganishwa

    Una muziki ambao ungependa upate beat au vocal, pandisha hapa vitatenganishwa File lazima liwe MP3 au WAV, Tuma audio yenye ubora wa juu ili kupata matokeo bora, audio yenye ubora mdogo inaweza kuwa ngumu kutenganisha Mifano: Zuwena Vocal Beat
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Historia ya Rajani Marijabu a.k.a Jabali la Muziki na kumbukumbu ya nyimbo zake.

    Marijani Rajabu alikuwa mmoja wa wanamuziki wakubwa na wenye ushawishi mkubwa katika historia ya muziki wa dansi nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 3 Machi 1955, Kariakoo, Dar es Salaam, katika familia ya kawaida. Baba yake alikuwa akifanya kazi ya uchapishaji, huku mama yake akiwa mama wa...
  19. Vien

    JamiiForums Tanzania Wasanii wengi wa Hip Hop wanafanya muziki ambao hauna impact yoyote

    Kwa upande wa Hip Hop, imekuwa ni kawaida sana kukuta msanii ana zaidi ya miaka 20 kwenye game, lakini ukichunguza vizuri utakuta ngoma iliyompa heshima ndiyo ileile iliyomtoa kwenye game. Baada ya hapo hajawahi tena kutengeneza ngoma iliyofikia kiwango kilekile. Yaani unakuta msanii kila...
  20. Vien

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Msanii aliyedharaulika zaidi kwenye muziki wa Tanzania? – Kisa cha Rashidi Ziada (KR)

    Ukizungumzia wasanii ambao hawajawahi kupewa heshima inayolingana na mchango wao kwenye muziki wa Tanzania, kwangu jina la kwanza ni Rashidi Ziada (KR). KR alianza muziki tangu miaka ya 90. Amepitia makundi mbalimbali kama GWM, Wachuja Nafaka, hadi kuwa sehemu ya TMK Wanaume Family. Licha ya...
Back
Top Bottom