namba za simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA kemeeni tabia za wafuasi wenu za kutukana viongozi wetu kupitia namba za simu

    Wote tunajua kuwa kwa Chadema matusi ni sehemu ya Siasa zake. Lakini jueni kuwa ulimwengu wa sasa umehama kutoka kwenye siasa za matusi kwenda kwenye siasa za hoja. Hii tabia za kuwatukana viongozi wetu IKOME! Tunaomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viwapate wachacche kama sample tu ili...
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba code ya ushindi kwanini siku hizi wanawake wanatoa sana namba za simu ila kukamilisha project wanazingua?

    Naomba mbinu takatifu nje na pesa , kwanini mademu wanatoa namba kirahisi sana ila wagumu kuingia box, wanaboa mimi nawatukana nawauliza ulidhani mimi mjomba wako. Pesa ni ngumu utawala huu wa Hassan, kutoa advance mtihani. Leteni code mkwamo uko wapi baharia wa Malawi nakwama
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kuna namba za simu za kimataifa (international dialing codes) soma hapa.

    Namba za Simu za Kimataifa ni Nini? Namba za kimataifa ni viambishi namba vinavyowekwa mwanzo wa namba ya simu unapopiga kutoka nchi moja kwenda nyingine. Mfano: Ukitaka kupiga kutoka Tanzania kwenda Marekani, unaanza na +1 (ambayo ni code ya Marekani), halafu unafuata na namba ya mtu...
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Namba 6 na 9 katika namba za simu zimekusesha watu madili mengi sana🤣

    Unakuta mtu ndio umekuta nae kwa mara ya kwanza na njia ambayo ya kuweza kumfikia ni mawasiliano sasa unakuta anakutajia namba ikishafika kwenye sita na 9, huwa tunachanganya sana, tunaweka vice versa kwa kutosikia vizuri Hii inapelekea kutoweza kuwasiliana na mtu huyo.
  5. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Tumehifadhi namba za simu za watu waliofanikiwa tukidhani ni msaada kwetu

    MHADHARA (100)✍️ Sisi masikini tunahifadhi namba za simu za watu ambao wamefanikiwa kimaisha na wengine wameinuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali za uongozi. Tunafanya hivyo tukidhani kwamba siku tukipatwa na shida yoyote watatusaidia. Wakati mwingine tunawapost mara kwa mara kwenye akaunti zetu...
  6. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Hawa wanaojiita mawakala wa TRA wanauza electronic EFD Machines wanatoa wapi namba zetu?

    Kumekua na tabia za kupigiwa simu na watu wanaojiita mawakala wa TRA wakitangaza biashara zao za kuuza electronic efd machines kwamba unaweza kutoa efd receipt kupitia simu ya mkononi. Natambua kwamba hilo linawezekana lakini, swali langu ni kwamba wanatoa wapi hizi namba zetu? na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TCRA simamieni namba za simu zilizosajiliwa zisipate usajili mpya

    Salam kwenu. Naona sasa imekuwa kero sana kwa makampuni ya simu kuamua kuzifanyia usajili upya namba simu kwa kigezo hazijatumika kati ya miezi 3 hadi 6. Leo nimemtafuta mtu kwa namba ta tigo ambayo tulikuwa tukiwasiliana kwa muda mrefu isipokuwa siku za karibuni. Naastaajabu anapokea mtu...
  8. pandagichiza

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata namba za simu

    Msaada: Jinsi ya kupata namba za simu nilizowahi ku save kwenye phonebook yangu kwa njia ya facebook
  9. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Kwanini TTCL Haitoi Hatua Dhidi ya Namba za Simu Zinazoripotiwa kwa Utapeli?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu kuhusu namba za simu zinazofanya utapeli mitandaoni, hasa kwa njia ya kuomba kutumiwa pesa kwenye namba nyingine. Mara nyingi, namba zinazohusika na utapeli huo ni za TTCL. Watu wengi wamekuwa wakitoa taarifa kwa kutuma namba husika kwenda 15040, ambayo ni...
  10. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je, makampuni ya simu yanatuuza kwa makampuni ya betting? wanapata wapi namba zetu?

    Makampuni ya kubeti yanatuma meseji hadi imeshakuwa kero sasa. Mtu hata haujajisajili huduma yao yoyote lakini unashangaa unatumiwa mameseji tele ya mfululizo tena kila siku. Lakini cha kujiuliza ni je wanawezaje kupata namba ya simu ya mtu mmojammoja? Hapa jibu lenye mantiki ni moja tu...
  11. VINICIOUS JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Nini kinakujia akilini kuombwa vocha na mdada baada ya kubadilishana namba za simu?

    Habarini wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Hivi nini kinakujia akilini baada ya kubadilishana namba za simu na mdada ukimcheki anaanza kukuambia nitumie vocha sms zangu zinakata sina meseji ukizingatia bado hamjefahamiana vizuri hii inaashiria nini. Je? Hii ni sawa...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

    Shalom, Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa? Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero. Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie. Nawasubiria kwenye comments Wadiz
  13. Strong and Fearless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba namba za simu mwanaume part 2

    Refer to my previous thread. Jamani nimegairi kumuomba yule kijana namba zake . Mungu kaniepusha. I Saw him with a bunch of girls alikua Anacheka nao na kuongea ila once when he saw me hakunisalimia wala kunionesha zile reactions za before ambazo zilinifanya niamini he is into me. So Hii ni a...
  14. Strong and Fearless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba za simu?

    Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a gentleman, smiling all the time akikuona. Ana anza conversation with you. Nimevunga kama vile am not...
  15. hp4510

    JamiiForums Tanzania Vijana ambao mnatafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu

    Vijana ambao mko kwenye michakato ya kutafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu ambazo naziweka hapa Hao jamaa sio watu wazuri, sijui wanatumia njia gani kujua kama umeomba kazi sehemu flan Mdogo wangu juzi kalizwa laki 8 Walimpigia simu na walimwambia wanatokea sehemu ambayo ni kweli...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nimemiss namba za simu za wahudumu kwenye bili

    Hii kitu nilikuwa na nyota nayo. Kila nikinywa sehemu soda na nyama naandikiwa namba za simu na mhudumu kwenye bili. Nkawaza ningekuwa nakunywa bia ingekuwaje kama soda wananiandikia namba zao. Leo hii kila nikienda hata bili ya karatasi sipati tena unaambiwa alf kumi bili yote tumalizane...
  17. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Kuna Uhalali au ulazima kwa kampuni za simu kutoa namba za simu za mtumba (zilizotumika na watu wengine walio hai au kufa)?

    Wasalaam wana JF Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA? Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye...
  18. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano ya Maafisa hawa wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mara

    Kwa mwenye nazo naomba anisaidie namba za simu za Mkurugenzi Rorya DC, Afisa Utumishi Rorya, Afisa Elimu Secondary na kama unazo za staff wengine nitashukuru ukishea nami, ninashida nazo. Natanguliza shukrani zangu.
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Zile risiti za baa mnazopewa na namba za simu msizidharau, zifanyieni kazi

    Kumezuka na wimbi jipya ingawa kwangu la zamani kidogo Ukienda sehemu ya kula na kunywa wakati wa kulipa unapewa billi Kwa juu imeandikwaa namba yanguu ni hii hapa. Kuna mdada leo amepatata kazi. Nilijaribu kumwombea kazi sehemu mbali mbali leo alipiga mchana njoo sehemu nikauliza kuna shida...
  20. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
Back
Top Bottom