vinywaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Vinywaji vikali

    Wakuu habari , Nahitaji ushauri ninataka kuanzisha biashara ya pombe kali na pombe laini lakini za kuimport kama brutal, mliotembea ni pombe ipi nikiileta Tanzania naweza kupata faida na kukuza biashara ? Je naweza kupata nafasi ya kuingiza brutal ilihali kuna mtu mwingine anaingiza? Au...
  2. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Je, kuna sababu ya kutungwa sheria kali kwa wanaotengeneza bidhaa feki hasa bidhaa za vyakula na vinywaji wajulikane kama wauaji?

    Wana bodies kasi ya bidhaa feki imekuwa kubwa na watengenezaji hawajali tena afya za watanzania kabisa,na bidhaa hatarishi kwa afraid,zikiwa na kemikali hatarishi,hambazo zimeua vijana wengibkwa sababu ya Figo vitu kama hivyo,je niwakati sahihi wa kutungwa sheria kali sana hata ikiwezekana...
  3. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu jihadhari dhidi ya hatari ya kuwekewa sumu kwenye chakula na vinywaji

    Watu maarufu, hasa viongozi wa kisiasa au wanaharakati, huwekewa sumu mara nyingine kwa sababu ya misimamo yao, ushawishi mkubwa, au kuwa tishio kwa maslahi ya watu fulani wenye mamlaka au maslahi ya kisiasa, kiuchumi au kijeshi. Hapa kuna sababu kuu zinazochangia hali hii:* 1. Migogoro ya...
  4. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Vibweka UDASA End of Year Party - Waislam wachambwa LIVE!

    1. Wasomi pale jalalani kupitia umoja wao (UDASA) wamefanya sherehe ya kuuaga mwaka 2025 vichakani pamoja na kuwa na majengo na kumbi za maana hapo hapo jalalani. 2. Vinywaji (visivyo vilevi) vilikua adimu. 3. Waislamu waitwa kucheza nyimbo ya taarabu. Toka lini taarabu NI nyimbo ya kiislamu...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Eti Mwanajeshi wa Marekani kaacha kutumia pourus border aende kutumia mpaka rasmi akiwa na mabomu! Acha watingishe Meza yenye Vinywaji vya bei mbaya

    Kwa wazoefu wa maeneo ya sirari kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, ni kichekesho cha hali ya juu kuuziwa propaganda eti Mwanajeshi wa Marekani amekamatwa akivuka mpaka rasmi wa Tanzania na Kenya akiwa na mabomu. Yaaani Mwanajeshi wa Marekani aache kutumia porous border ambayo unaweza kuvusha...
  6. Area 56

    JamiiForums Tanzania Hivi vinywaji vina-trend siku hizi, hivi wanaume wanaruhusiwa kunywa?

    Ukienda viwanja, naona wadada wanavifakamia kweli, wanaume wanaruhusiwa kweli?
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mtu kuagiza vinywaji kwa sifa Nni ulimbukeni na ushamba au ni normal?

    Eti ukienda bar hata ndio Una hela ila umeagiza mezani azam energy ya can,black and white,Serengeti lite 21.hivi kwa uelewa wako unahisije ukijipata NI lazima uweke bango kama hivo?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha biashara ya vinywaji vikali

    Habari jamani Naomba muongozo wa kuuza vinywaji vikali kwa bei ya jumla mtaji wangu ni 20m wapi wanatoa mzigo na muongozo wa biashara kwa ujumla nami nianze biashara ningependa kupata mawazo yenu kwa wenye ufahamu
  9. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Vinywaji soft drinks za ulaya siyo tamu kama za huku Afrika

    Ni jambo la kushangaza. Kwanini soft drinks za hapa ulaya sio tamu kama za huko nyumbani Tanzania? Tafuta jibu la hili swali huenda likakusaidia.
  10. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Ongezeko holela la vinywaji vikali na baridi,huenda ndio chanzo cha ugonjwa wa kisukari kwa vijana wadogo

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi la vinywaji vya sukari na pombe ambazo havina viwango na vinauzwa bei rafiki ambayo hata watoto wa shule wanamudu kununua huko mitaani. Ukichunguza sana hivi vinywaji havina hata TBS na vingi ni feki yani vinatengenezwa na viwanda vya kificho bila...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kusambaa kwa Vinywaji Chonganishi na Vivuto pia. Serikali iingilie kati

    Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA WANYWAJI NA WASIO NA PIA WANYWAJI NA SERIKALI. HAVILETI AMANI KWA WATUMIAJI. Lakini pia kumekuwa na...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi na kupandisha mishahara kwa walimu ni kama mtego 2025

    Mambo yanapoelekea ni kama kuchanganyikiwa kwa Rais kulazimisha kukubali kuwa CCM ni tatizo na yeye ni tatizo. Walimu wamedai haki yao muda mrefu ila kama yakipuuzwa sasa wakaona wakifanya hivi kwa kuwa ndio wanakuwa kwenye uchaguzi wamuunge mkono kwenye magoli ya mkono.
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini sikukuu ya wafanyakazi watu hawapiki pilau na kunywa vinywaji wakati kazi na Sio dini ndio huwapa kipato?

    Kazi hata kama unalipwa kidogo, ndio inayokuingizia kipato. Sikukuu ya meimosi ulipaswa kutumia kama fursa ya kumshukuru Mungu KWA kukupatia Kazi ambazo wenzako wanazutafuta Hadi damu. Sikukuu za Dini ilitakiwa watu wale kidogo tu na watumie muda mwingi kutubu na kitafakari. Ila hii ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kila nkifanya ubunifu mshindani wangu anaiga ,wote tuko na aina moja ya biashara vinywaji na vyakula

    Habar wakuu leteni uzoefu wenu,Niko katika biashara ya vinywaji na chakula kwamiaka Sasa ,mshidani wangu yuko mita50 tuko ofisi yangu, Sasa Kila nkifanya ubunifu wakibiashara basi ataiga,nkiigiza product mpya sokoni basi nae ataiga na ataipunguza Bei Nini chakufanya biashara imekua pasua kichwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mnaopenda vinywaji baridi, mnadili vipi na Tonsils za kwenye koo

    Napenda sana vinywaji baridi lakini huwa inafika stage nasumbuliwa na tonsils. Kumeza mate kwa maumivu na taabu, Ubaya wa huu ugonjwa ukianza, mafua yanafuta, kikohozi nacho kinaanza, n.k.
  16. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Janga la "Energy Drinks" Tanzania: Umuhimu wa Sheria Kuzuia Vijana Chini ya Miaka 18 Kunywa Vinywaji vya Kuongeza Nguvu

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
  17. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!

    Kwa kawaida kila mtu anakitu ambacho akinywa kinamfurahisha! Je wewe ni Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!
  18. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba sodium benzoate inasababisha saratani ya damu?

    Habarini Nauliza kama ni kweli kiambata(ingredient) sodium benzoate kilichomo kwenye vipodozi,vyakula na vinywaji hasa soda na energy drinks, kinasababisha saratani ya damu? =============== Moderator Active Naomba title isomeke "Je, ni kweli soda na vinjwaji vya energy vinasababisha saratani?"
  19. T

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Bwana eti "Mtengenezaji wa Vinywaji Changamshi"

    Wakati wakiripoti habari ya Mkurugenzi wa Kampuni inayotengeneza Pombe kali mkoa wa Manyara ndugu David Mulokozi kuhusu kununua helikopta yake binafsi, hawa hawa waandishi wetu wa habari badala ya kusema mtengenezaji wa aina mbalimbali za pombe kali eti wanasema "POMBE CHAMGAMSHI". Tena bora...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi WhyNot In Lounge and Kitchen (Kazi za Jikoni na vinywaji)

    Tangazo la Kazi - Jiunge na Timu ya WhyNot In Lounge and Kitchen! Tunakukaribisha kujiunga na timu yetu yenye ari na ubunifu hapa WhyNot In Lounge and Kitchen, iliyopo Goba, Dar es Salaam. Tunatafuta watu wenye vipaji na uzoefu kwa nafasi zifuatazo: 📌 Mpishi Msaidizi 📌 Bartender/Counter Staff...
Back
Top Bottom