Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani.
Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
baada
hapo
huru
kesi
kufunguliwa
kukamatwa
kwa mujibuwasheria
lisu
mashtaka
mpya
mujibuwasheria
napendekeza
nyongeza
sheria
tena
tundu
tundu lisu
upya
ushahidi
Kama ambavyo ilitokea kabla na katika uchaguzi mkuu wa oct.2025, wenye misimamo ya vyama vyao ikiwa ni pamoja na kususia uchaguzi mkuu walipuuzwa. Nadahni ni muhimu sana kama taifa kusonga mbele katika utaratibu huo huo kwamba atakae suasia au kuja na mashariti ya chama chake kuelekea maridhiano...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeonya watu au makundi yanayohamasisha vurugu nchini, likisisitiza kuwa halitasita kuchukua hatua stahiki za kisheria kudhibiti ghasia na uvunjifu wa amani kwa kushirikiana na mamlaka za kiraia.
Katika taarifa rasmi kwa umma iliyotolewa leo...
Hamjambo!
1. Kuwanyoosha vijana ni jukumu la wazazi, walezi na Mahakama.
2. Msingi Mkuu wa Malezi na kunyoosha Tabia ni kwa Viongozi na wazazi ambao hapa watakuwa role model kwa vijana wao
3. Kama Wazazi na viongozi wanafanya mambo yasiyo na uadilifu wanapoteza haki ya kuwanyooshea vidole...
Natoa angalizo. Haya yanayoendelea ni dalili mbaya sana. Public figure internationally kama Tundu Lissu analetwa mahakamani kimya kimya!
Ifunguliwe kesi Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu.
Maana hizi sio dalili nzuli.
Wakili Peter Madelekea ameyasema hayo leo Aprili 27, 2026 wakati akichambua ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Hakunaga msamaha kwenye kosa hilo la wazi kabisa.
Ikiwa mtuhumiwa atapunguziwa adhabu, basi itakua ni adhabu ya kifungo cha maisha badala ya kunyongwa hadi kufa, na si vinginevyo.
Ni vema wanao panga au kuhusika kufanya aina hii ya uhalifu kuelewa vema jambo hili, lakini pia kwa wale ambao...
Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam inakanusha taarifa zinazosambaa katika baadhi ya majukwaa ya kijamii na vyanzo visivyo rasmi, zinazodai kuwa watumishi wa mikataba katika kitengo cha kukusanya mapato wanalipwa mishahara midogo, kwa kuchelewa, hawana siku ya mapumziko na baadhi hupewa...
Watu wengi wanachanganya kuhusu mke na mume kuachana, na kuvunjika kwa ndoa.
Kwa mujibu wa sheria, mke na mume wanaweza kuachana na kila mtu akaendelea na maisha yake, lakini ndoa inakuwa bado ipo.
Mke na Mume wanapoachana, kwa lugha ya kisheria 'wanatengana', maana yake kila mmoja anakuwa...
prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha...
TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA
Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
Ukisoma sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania tukianzia na ile sheria na Penal Code, CAP. 16 R.E. 2022 kifungu cha 18. Kinaeleza kuwa katika kulinda mali za umma au za mtu binafsi zinaweza kutumika nguvu za ziada na yule ambaye atahusika kumuua mtu yeyote katika tukio hilo hatakuwa na kosa...
Baba hana uwezo kabisa wa kumpeleka mtoto songea JKT. Hawezi kupata nauli ya kwenda huko na mahitaji mengine.
Anaamua kutokwenda.
1. Akiacha kuna tatizo lolote? sheria inasemaje?
2. Nimemshauri mtoto aende kambi iliyo karibu aripoti, inawezekana?
Kwa mujibu wa Sheria jukumu la Idara ya Usalama wa Taifa ni kukusanya, kuchakata na kutoa taarifa kwa mamlaka husika kuhusu mambo ya usalama wa ndani na nje ya nchi. Lengo kubwa ni kuweka mtangamano wa taifa.
Pamoja na ukweli kuwa kwa nchi yetu tiss imekuwa karibu na chama tawala Ila kwa muda...
Huu ni wito kwa vyombo vinavyosimamia vyama vya siasa nchini.
Kamwe hakuna chama kisichoweza kupiga kelele kupitia mikutano.
Hoja muhimu ni je chama au vyama hivyo vinakiuka kanuni,sheria na taratibu tulizokubaliana?kama ni hivyo mamlaka husika zisitishwe na kelele za kwenye mikutano bali...
Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile ni pamoja na kutumia via visivyo vya uzazi kufanya mapenzi, kwa mfano kutumia sehemu ya haja kubwa kufanya ngono, kutumia midomo, vidole n.k
Kasi ya uovu huo inatisha kote nchini. Imefikia mahali imekua kama fashion. Usipofanya huo uchafu mnapokua faragha...
Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kutokana na kutokidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini Sura 123.
Hayo yamesemwa leo Agosti 14 , 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wakati akiwasilisha taarifa kwa...
Huduma ya kujitenga kwa muda ama moja kwa moja (temporary self exclusion or permanent self exclusion) kwenye makampuni ya michezo ya kubashiri (online) haipaswi kuwa ni huduma ya hiari kwa watoa huduma bali itengenezewe sheria na kuwa ya lazima.
Katika nchi duniani huduma hii inasimamiwa kwa...
UTANGULIZI
Vigezo vya watahiniwa wa kidato cha nne kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano ama vyuo shirikishi ni ufaulu wa kuanzia daraja I hadi III hivyo ni wazi kuwa idadi kubwa ya watahiniwa waliofanya mtihani wanakosa vigezo vya kujiunga na elimu ya kidato cha tano pamoja na vyuo shirikishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.