maombi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maombi ya Uhamisho wa kubadilishana yamekwama muda mrefu TAMISEMI, kwanini?

    Nafanya kazi kama Mwalimu wa Shule ya Msingi katika Wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma, kero yangu kubwa ni kuhusu kuchelewa kwa vibali vya uhamisho wa kubadilishana kwa watumishi wa kada mbalimbali nchini. Nimekuwa nikifuatilia uhamisho wa kubadilishana sababu familia yangu ipo Singida. Nilianza...
  2. online GOVT applications

    JamiiForums Tanzania MEGA THREADS: OKOA MUDA NA PESA YAKO: Acha Mimi Nikufanyie Maombi Yote ya Serikali

    Habari Wakuu, Umechosha na foleni? Umechoka na mfumo unakwama? Umejaribu kujaza maombi lakini umekwama katikati? Usijali tena. Nipo hapa kukupa suluhisho la haraka, la uhakika na la kitaalamu kwa huduma zote za serikali na kitaaluma mtandaoni. Kazi yangu ni kuhakikisha unapata huduma yako kwa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu aongoza harambee ya maombi ya kitaifa, achangisha milioni 700

    DKT. MWIGULU AONGOZA HARAMBEE YA MAOMBI YA KITAIFA, ACHANGISHA MILIONI 700. ▪️Asisitiza maadili na uwajibikaji kama mhimili wa Dira 2050. WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania, taasisi za umma, sekta binafsi, na viongozi wa dini kuwekeza katika malezi, uadilifu, na...
  4. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

    Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yuko Mungu anayejibu Maombi

    Miaka 7 iliyopita nipitia katika changamoto kubwa ya mahusiano yangu na Mungu. Katika kipindi hicho chote Mungu alikuwa mwaminifu katika maisha yangu , mambo mengi ambayo hata sikuyaomba Mungu alinifanyia kwa upendo Maisha yalikuwa mazuri katika upande wa familia, watoto, uchumi nk kwa kweli...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Asubuhi kuna karibia

    Nikiwa miongoni mwa waombaji tuliopata neem ya kuhudhuria kongamano la 18 la maombi ya kutafita makao makuu ya serikali Dodoma. Miongoni mwa masomo ambayo tulipata kujifunza ni juu ya umuhimu wa kuomba kwa habaro ya Nchi. Mtumishi wa Mungu Mwl Mwakasege alitufundisha faida 7 za kuombea nchi na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Faida za kufanya maombi

    Tukiwa katika mazungumzo na rafiki yangu juu ya umuhimu wa kufanya maombi ya mara kwa mara hata kama hakuna tatizo, kwa sababu shetani yuko kazini kila siku kuwatafuta watu haweze kuwadhuru. Rafiki yangu anaeleza siku moja wakati yuko kazini mmoja wa watoto wake ambao anawafundisha alikuwa...
  8. John Sin

    JamiiForums Tanzania Maombi ni upotevu wa muda

    Kama maombi kweli kweli yatatatua matatizo, basi umaskini ungeisha, magonjwa yangeponywa, rushwa ingeisha, na majanga yangezuiliwa kwa kuomba tu kwa bidii. Lakini uhalisia haupo hivyo. Watu wanaomba kazi badala ya kujitengenezea fursa. Wanaomba uponyaji badala ya kutafuta matibabu. Wanaomba...
  9. Makox

    JamiiForums Tanzania HUDUMA YA MAOMBI

    Habari ndugu zangu, naombeni msaada wa maoni na ushauri, eti utaratibu wa MAOMBI ya kiroho kama huduma ya matibabu unagharimu kiasi gani Cha fedha. Na je malipo Huwa ni kabla au baada ya huduma. Natanguliza Shukran
  10. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania JMT-Maboresho yanakuja-Nawaomba watu wa Rohoni tukoleze nia katika maombi na dua zute ili mabadiliko yanayokuja yawe kamili na yenye athari chanya.

    Kutakua na matengenezo ya mashine, baada ya kukamilika wataijaribisha kwa kuitega na kutazama namna inavyopushi gurudumu linaloanzisha mzunguko (mwendo). Lakini mafundi (ndugu) hao mkubwa ndio anaepambania makanika ya ile mashine pale, wakati huyu bwana mdogo yupo bize ndani huko ni kama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Mpishi imetangazwa na Ubalozi wa Ubelgiji, mwisho wa maombi ni 21 Agosti 2026

    Tunatafuta Mpishi kujiunga na timu yetu 🇧🇪🇹🇿 📌 Tarehe ya kuanza: Oktoba 2026 📍 Mahali: Dar es Salaam Sehemu kubwa ya ukarimu wa kidiplomasia hufanyika mezani😋. Makazi ya Balozi wa Ubelgiji yanatafuta mpishi wa kuendesha jiko, milo ya kila siku, hafla rasmi, na menyu zinazowaridhisha wageni na...
  12. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania HOJA Changamoto ya Visa ya China Tanzania: Tatizo ni Madalali, Sio Ubalozi

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ugumu wa kupata nafasi ya kuwasilisha maombi ya Visa ya China nchini Tanzania. Watu wengi huilaumu Ubalozi wa China, lakini kwa mtazamo wangu, tatizo kubwa si ubalozi wenyewe, bali ni mtandao wa madalali na watu wa kati ambao wamejijengea mfumo wa kujipatia...
  13. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Utajiri unapatikana kwa maombi au kufanya KAZI?

    Tuone.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri na maombi yangu kwa uongozi wa CHADEMA: ikiwezekana mkutano wa 'Baraza la Wananchi' Mbpwe asihudhurie

    Ni ushauri wangu na mawazo na maombi yangu. Kama itawezekana hiyo Septemba Mbowe asiwepo kwenye hicho kikao muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu. Ni naamini Mbowe bado ana chuki kubwa na viongozi wa CHADEMA wa sasa. Huyo mzee nawambia hashindwi kufanya figisufigisu kuvunja chama. Mkae nae...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kidato cha pili Kenya apigwa mpaka kufa kwenye ugomvi wa kuongoza maombi.

    Ugomvi wa vijana wawili nani aongoze sala au swala katika shule ya Sekondari ya Thika umepelekea kijana Mohamed wa jamii ya Wasomali kufariki baada ya kupigwa na mwenzake vibaya sana.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TCU: Dirisha la maombi ya udahili kwa Shahada ya Kwanza (2026/2027) lipo wazi leo Julai 10, litaendelea hadi Agosti 10, 2026

    TAARIFA KWA UMMA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZΑ ΚΑΤΙΚΑ ΤAASISI ZA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027 1.0 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote wa Elimu ya juu...
  17. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kama maombi na dua yangekuwa yanafanya kazi watu wangeikimbia siasa

    Kila siku, mamilioni ya watu hukusanyika kwenye nyumba za ibada wakipiga magoti na kuomba amani, ajira, afya bora, na kupungua kwa umaskini. Maombi na Dua hutoa faraja ya kiroho na matumaini ya kesho bora. Lakini ukweli ulio wazi ni kwamba mabadiliko ya maisha hayaji juu ya madhabahu pekee, bali...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NaPA unagoma kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB)

    National Physical Address (NaPA) kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB) inagoma kuendelea na kutoa notification ya hivi Toka last week till now. Contacts zao walizoweka hazipatikani, kuna moja inapatikana mara moja moja na ikipatikana haipokelewi.
  19. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ofisi za NIDA zina changamoto maombi yanapotea na kujikuta ukikaa muda mrefu kusubiri majibu

    Ofisi za NIDA ni changamoto kubwa kwa wananchi. Unapeleka maombi yako na yanakaa hata miezi mitatu bila kushughulikiwa. Ukifuatilia, unaambiwa hukukamilisha taarifa fulani, na kibaya zaidi unaweza kukuta nyaraka ulizowasilisha zimepotea na hazionekani kabisa. Hali hii hukulazimu kuanza mchakato...
  20. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Maombi ya Ajira, Vyuo na Mikopo

    HII NDIO LIST YA HUDUMA UTAKAZOPATA KWETU HUDUMA KATIKA MASUALA YA AJIRA 1. KUJISAJILI AJIRAPORTAL 2. KUJISAJILI TAESA 3. KUJISAJILI KATIKA BANK PORTALS 4. KUANDAA APPLICATION LETTER 5. KU EDIT DOCUMENT MBALIMBALI 6. AVN 7. TRANSCRIPT HUDUMA KATIKA MASUALA YA VYETI 1. KUPATA CHETI CHA...
Back
Top Bottom