mbezi mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aramun

    Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi? Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto alikuwa na miaka kama mitano hivi. Alipoingia kwenye gari cha ajabu mhudumu anayescan ticket akawa...
  2. Sonship

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi mwisho Msigani

    VIWANJA VIPO MBEZI MWISHO MSIGANI ✳️ VINA SQM 700 KILA KIMOJA ✳️ VIMEPIMWA VINA HATI YA WIZARA ✳️ PUNGUZO LA BEI MLN 15 TU ✳️ VIPO ENEO ZURI LENYE HUDUMA ZOTE WAHI FASTA UCHUKUE CHAKO VIMEBAKI VIWANJA VIWILI 2 TU 0675065906
  3. MrsPablo1

    House4Sale Appartments zinauzwa Mbezi Mwisho Msakuzi

    Tuna furaha kutangaza uuzaji wa nyumba ya kupangisha ambayo bado haijakamilika. Nyumba hii ipo katika eneo la mbezi mwisho msakuzi. Nyumba ni mjumuisho wa apartment mbili ambazo kila moja ina sebule,vyumba viwili vya kulala,jiko na choo. inauzwa milioni 60 za kitanzania. Kwa maelezo zaidi na...
  4. BigTall

    Hawa watu Mbezi Mwisho wanatumia kivuli cha Bahati Nasibu kuwaibia watu

    Ndugu zangu katika pitapita zangu nimefanikiwa kufika mitaa ya Mbezi Luis karibu na ilipo Stendi ya Mabasi ya Magufuli, nadhani ile ni Kata ya Mbezi, kuna mambo kadhaa yanaendelea yanayohusu utapeli kama ilivyo kawaida kunapokuwa na purukushani za watu Jijini Dar. Karibu na Daraja la kuelekea...
  5. BigTall

    Barabara ya Mbezi Mwisho, Kimara kuelekea Town kila siku asubuhi kuna foleni kubwa, hivi tatizo ni nini?

    Hii Barabara ya kutoka Mbezi Mwisho kupita Kimara kuelekea Mjini imekuwa na foleni sana hasa majira ya asubuhi, sijui nini ambacho kimetokea na kusababisha hali hiyo lakini ni jambo ambalo linakera sana. Kuna wakati najiuliza kwani magari yameongezeka katika Barabarara hiyo maarufu kwa jina la...
  6. BigTall

    Hali ya mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho ni kero tupu kama kawaida leo Novemba 15, 2023

    Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote. Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu. Hapa...
  7. JanguKamaJangu

    Hali ya Usafiri wa Mwendokasi Mbezi Luis asubuhi ya leo ni shida kama zote

    Ndugu zangu wana JF hii video ni ya leo asubuhi katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Luis, yaani kimekuwa na changamoto ya uhaba wa magari asubuhi ya leo Oktoba 16, 2023. Foleni imekuwa kubwa ya abiria kusubiri mabasi, wapo ambao wamelazimika kusubiri mabasi hayo kwa saa tatu. Upande wa...
  8. Roving Journalist

    Dar: Abiria wateseka kwenye foleni kusubiri mabasi ya mwendokasi Kituo cha Mbezi Mwisho

    Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600 Pia soma: DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea...
  9. AKILI TATU

    Wapi kuna Gym maeneo ya Mbezi Mwisho, Malamba mpaka Kinyerezi

    Wandugu kwema, Naomba kujua kwa maeneo tajwa hapo juu..ni wapi naweza kupata Gym. Nimeulizia sana na kutafuta kwenye mitandao ya kijamii sijaona. Mwenye kujua anisaidie location na ikiwezekana namba za simu.
  10. JanguKamaJangu

    DOKEZO Giza limetawala Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho, abiria wanategemea mwanga wa taa za gari

    Taa za Kituo cha Daladala cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho haziwaki na hali ya Giza imetawala eneo hilo na hivyo kuhatarisha Usalama wa mali na abiria wenyewe. Mpishano wa magari unaendelea huku purukushani za watu nazo zikiendelea hivyohivyo. Kwa ninavyowaona vijana ambao...
  11. The bump

    Mdada wa kuuza duka na usafi anahitajika Kibamba Chama

    Majukumu yako Kuuza bidhaa dukani Usafi wa ofisi wakati wote Kuendelea na Mpesa na Tigo Pesa Mshahara 200,000 kwa mwezi Ofisi itatoa Mlo wa mchana Ofisi itatoa malazi (sehemu ya kuishi) kwa anaetokea Mkoani Wakati wote atakapokuwa mfanyakazi. ELIMU Uwe umefika Chuo chochote Usikie na kuelewa...
  12. USSR

    DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

    Wakuu jana nilipata mkosi wa kufika mitaa ya mbezi mwisho karibu na shule ya mbezi mwisho, roundabout ya kuelekea goba kuna bar nyingi sana eneo moja kuna guest nyingi sana eneo hilo hilo kuna idadi kubwa ya watu wanapisha kama utitili. Wanawake 9/10 wamevaa nguo za kuonyesha hadi mbususu...
  13. Kabwelavoice

    DOKEZO Stendi ya Daladala ya Mbezi Mwisho inanuka mkojo tupu

    Habari Wadau, Ukweli hii ni kero ambayo mwisho wa siku itakuja kuzaa magonjwa ya mlipuko. Stendi ya Mbezi mwisho ya daladala ambayo hata magari ya Mwendokasi yanapaki pale, kuna kero ya watu kukojoa hovyo ndani ya stendi huku walinzi na migambo wa jiji wakifukuzana na wamachinga tu lakini...
  14. JanguKamaJangu

    Stendi ya Magufuli Mbezi Mwisho hakuna huduma ya maji kwenye vyoo na sehemu nyingine siku ya tatu sasa

    Taarifa Jamii Forums hali ni mbaya kwenye Stendi ya Mabasi makubwa iliyopo Mbezi Luis maarufu kama Mbezi Mwisho, hakuna huduma ya maji kwa muda wa siku tatu sasa. Kuanzia juzi Machi 26, 2023 hadi ninavyoandika muda huu asubuhi ya Machi 28, 2023, mamlaka zitusaidie Kwenye vyoo napo mambo si...
  15. Agrey998

    Mgawanyiko wa Barabara ya Mbezi mwisho ni moja ya alama kuu za TANROADS

    Rip kwa Mzee wetu Magufuli na engineer Mfugale leo nichukue fursa hii kuwapongeza watu hawa pamoja na TANROADS kwa kazi bora ya pale barabara ya Mbezi mwisho. Nilikuwa napita pale kwa Mishe zangu tu tena maramoja moja sana, nikaja kuona uzi wa mtu huku akitabiri kuwa uwepo wa stand ile...
  16. JanguKamaJangu

    Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho ni chafu sana, Mbunge wetu hawezi kujua hilo ana mambo mengi

    Jana nilifuatilia mjadala ulioanzishwa na JF kuhusu maoni ya sisi Wananchi wa kawaida kwenda kwa viongozi wetu hasa Wabunge, kwanza niwapaongeze sana kwa hicho walichokifanya na ninawashauri wakiendeleza kwa kuwa kero zipo nyingi. Binafsi naamini wanasiasa ni watu wanaofuata upepo, kuna muda...
  17. Lameckjr

    Nimeamua kuacha kutafuta dada poa

    Nawasalimu ndugu zangu Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar...
  18. Lameckjr

    Mbezi mwisho siyo pa kuishi "Domo zege's"

    Heri ya Mwaka mpya wakuuu, Nimeishi maeneo mengi hapa Dsm ila nina mwezi wa saba sasa since nihamie mbezi mwisho, mimi ni wale domo zege, yaaani kutongoza Mitihani, mimi ndo wale tunapata mbususu kwa wadau (dada zetu hawa watoa huduma). Nimekuja kugundua hii sehemu ina uhaba wa mbususu...
Back
Top Bottom