watangaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nyerere Cycling Tour Watangaza Washirika wao wa mwaka 2026

    Washirika wa Nyerere Cycling Tour, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Zuweina Farah (wa nne kulia), ambaye aliwakilisha Vodacom Tanzania PLC kama mdhamini mkuu wa msafara huo, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa habari na...
  2. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Gen Z watangaza maandamano makubwa 29/10/2026

    Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sony na TCL watangaza ubia; Televisheni za Bravia ni sehemu ya makubaliano

    Bila dalili za awali, kampuni ya TCL imetangaza mpango wa kununua kitengo cha burudani za nyumbani cha Sony, kinachojumuisha televisheni na vifaa vya sauti vya nyumbani. Kampuni hizo mbili zinatarajiwa kuingia katika ubia (joint venture), ambapo TCL itakuwa na hisa kubwa ya asilimia 51. Kwa...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mabondia watangaza kuwapiga waandamanaji Desemba 9

    Hivi wanajielewa kweli? mbona kama majinga hivi Yani wanaitisha press halafu wanaongea ujinga na kutoa vitisho. ========== Chama Cha Mabondia nchini kimeomba serikali iwaruhusu na iwape mavazi maalumu ya kuvaa ili wakakabiliane na Wananchi watakaojitokeza kuandamana tarehe 9 mwezi huu.
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mawakili wajibu hoja kwamba wametumwa na Yanga!! Watangaza kuwashitaki TFF na BMT Mahakamani

    Wakili msomi mwandamizi Alloyce Komba ambaye ni momoja kati ya Mawakili Watano ambao waliungana kupeleka barua Baraza la Michezo Tanzania kuomba kusitishwa kwa mchakato wa uchaguzi wa TFF ameibuka na hoja nyingine ya kikanuni akidai kwamba Mgombea pekee wa urais aliyepitishwa amepitishwa nje ya...
  6. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Yemen Watangaza rasmi kuingia vitani dhidi ya Marekani

    Baada ya kujibu mashambulizi mara 3 ndani ya saa 48 Hali iliyopelekea marekani kuondoa aircraft carrier Harry Truman katika bahari ya redsea na kuisogeza mbali na eneo la Yemen. Mkuu wa nchi ya Yemen ametangaza rasmi Leo kuwa shambulio lolote dhidi ya nchi yake litajibiwa na ametoa tahadhari...
  7. MBOKA NA BISO

    JamiiForums Tanzania Umoja wa mataifa, watangaza kuwa M23 inakaribia Bukavu, makao makuu ya Kivu kusini

    Kiongozi wa Umoja wa Mataifa Jean Pierre Lacroix, kitengo cha mambo ya usalama, ametangazia kamati ya Umoja huo kwamba kundi la M23 linaukaribia mji wa Bukavu, ambao ni makao makuu ya jimbo la Kivu kusini. Mji huu hauna ulinzi na upinzani mkali kama ilivyokuwa kwa Goma. M23 ilikuwa umbali wa...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

    Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo: 1. SIFA ZA MWOMBAJI Awe ni raia wa Tanzania; Awe hana ajira...
  9. 5523

    JamiiForums Tanzania UK watangaza kumshika Netanyahu endapo atatia maguu

  10. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Yanga watangaza jezi mpya za Kimataifa 2024/25

    Leo saa 6 mchana timu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara Yanga SC itazindua jezi zake leo 20/11/2024 karibu katoka Uzi huu kupata update za champions league kits Young Africans SC 𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓🔰 Young Africans SC 𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐀𝐖𝐀𝐘 𝐊𝐈𝐓🔰 Young Africans SC 𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 -...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania McLaren W1 Supercar yazinduliwa. Ndio itawarithi McLaren P1 na F1. Itauzwa Billion 5.7 za Kitanzania tu!

    McLaren Automotive jana tarehe 06 October wametangaza chuma yao mpya McLaren W1 wameipa codename P18. Hii Plugin-hybrid itaanza kuuzwa mwakani 2025 na ndio itakayowarithi wakongwe P1 na F1 waliokuwepo tokea miaka ya 90s (F1) na miaka ya 2010s (P1). W1 ni 2-doors coupé itakayokuja na gull-wing...
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania EWURA watangaza bei za kikomo za Mafuta kwa Mwezi October: Mwezi wa Road trips!

    Wakuu, Naona mzigo unazido kushuka tu. Tukilinganisha na mwezi uliopita: Tuombee hivi hivi..
  13. bassarere

    JamiiForums Tanzania Artisan II (Plumbing And Pipe Fitting) at TBS

    TBS - Tanzania Bureau of Standards (TBS) - Tanzania ARTISAN II (PLUMBING AND PIPE FITTING) at TBS October 2024 TBS - Tanzania Bureau of Standards (TBS) - Tanzania • Full-time Job description Job type: Full-time POST ARTISAN II (PLUMBING AND PIPE FITTING) – 1 POST EMPLOYER Shirika la Viwango...
  14. Vien

    JamiiForums Tanzania LATRA Watangaza route mpya wafanya biashara ya usafiri changamkieni hii fursa

    Mamlaka ya usafiri wa Ardhini imetangaza kutoa leseni ya usafiri wa umma kwa njia mpya Kibaha, kama ilivyoainishwa hapo chini 👇🏻
  15. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana kenya watangaza siku 7 za hasira dhidi ya serikali

    Siku moja tu baada ya maandamano ya kupinga mswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024, vijana kupitia mitandao ya kijamii wametangaza hatua inayofuata sass, leo Ijumaa ikiwa ni kuzuru hifadhi ya maiti ya City kutoa heshima kwa mmoja wao Rex Kanyeki Masai aliyeuwawa kwa risasi jijini Nairobi...
  16. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Wagner Group watangaza nafasi ya kazi -🇷🇺

    Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima ya afya, malipo ya ulemavu kifo au majeruhi.. Ni maamdalizi ya kazi kubwa ‼️Join Orchestra‼️...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania BAKWATA watangaza Iddi ya kuchinja kuwa Juni 17, 2024

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limesema Sikukuu ya Eid el Adh’haa itakuwa Jumatatu Juni 17 na swala yake itaswaliwa katika msikiti wa Mohamed VI uliopo makao makuu ya baraza hilo Kinondoni. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Juni 8, 2024 na Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaji Nuhu Mruma...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania TCRA watangaza nafasi mbalimbali za kazi

    VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites high caliber, results oriented, self-driven professionals with integrity, dynamic and suitable qualified Tanzanians to fill thirty- eight (38) vacant posts...
  19. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Google Watangaza kujenga Mkonga wa Internet kuunganisha Africa na Australia. Tanzania haimo

    Wakuu nisiwachoshe.. habari ndiyo hiyo... Kufuatia ziara ya Ruto huko USA, Google wametangaza kujenga mkonga wa Internet toka Kenya kupitia Uganda, Rwanda, DRC, Zambia, Zimbabwe na South Africa hadi Australia huku Tanzania ikiwekwa kando. --- Today, Google announced new investments in digital...
  20. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Yemen watangaza Kufunga Mediterranean Sea kwa meli yeyote inayoelekea Israel

    Hii ndo habari mpasuko kwa wale jamaa zetu wa Houth kutoka Yemen baada ya kufanikiwa kwa zaidi ya 100% kufunga bahari nyekundu (red sea) kwa meli kuelekea Israel sasa wamekuja na operation mpya. Safari hii wamesema meli zote bila kujali ni ya nchi gani ni marufuku kupita Mediterranean Sea...
Back
Top Bottom