omba

Paul Omba-Biongolo (born 28 December 1995) is a French heavyweight boxer. He competed at the 2016 Olympics, but was eliminated in his first bout by Abdulkadir Abdullayev of Azerbaijan.

View More On Wikipedia.org
  1. GANJIBHAAI

    JamiiForums Wanawake wengi wa Tanzania ni omba omba

    Toka mmeanza mahusiano mpk yanakufa ni mizinga tu, hivi nyie wadada wa Kitanzania mnajitambua kweli? Jifunzeni kuwa na mindset tegemezi itawasaidia maishani, acheni cheap cheap things, utofauti wenu na matonya ni upi? GANJI.
  2. MakinikiA

    JamiiForums Lissu omba dhamana ukamzike ndugu yako......

    Majitu hayana utu yamekuwa kama hayajazaliwa na binadamu.........******÷÷÷÷///>>@@@
  3. mzalendo namba moja

    JamiiForums NAFASI ZA KAZI UAE, OMBA SASA KAMA VIGEZO UNAVYO

    📢 TANGAZO LA AJIRA ABU DHABI – UAE 🇹🇿 CHAMA CHA MAFUNDI TANZANIA (CMT) CMT inawatangazia mafundi wote fursa za ajira nchini Abu Dhabi ⚠️ MUHIMU SANA: Kigezo namba moja ni kuhakikisha umejiunga na mfumo wetu wa chama kupitia www.cmt.co.tz .Kama bado hujajiunga hujachelewa bado jiunge leo na...
  4. K

    JamiiForums Angalizo: Mama Samia asipomuomba msamaha Lissu hatamaliza muhula wake!

    Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
  5. A

    JamiiForums KUNA MADHARA YOYOTE ENDAPO MTU ATAAMUA KUACHANA KABISA NA SUKARI YA VIWANDANI PIA KUACHANA NA MATUNDA YENYE SUKARI

    Naomba kufahamishwa kwa upole sana.ahsante
  6. kavulata

    JamiiForums Nimejifunza kitu, ukizoea kujiropokea na kutukana ovyo omba usifikishwe mahakamani. Aibu utaiona wewe.

    Hebu na wewe sikiliza mahojiano haya kisha jipime mwenyewe. https://youtu.be/ft0IaABC254?si=KGte3w-tQz32SYib
  7. Poor Brain

    JamiiForums Omba Mungu usifike huku

    Mi kazi yangu hapa ni kushusha comment kutoka kwa wadau JICHO LANGU GEREZANI “ Simulizi hii ni Ya kweli kabisa hamna mahali nitaongeza chumvi ili kunogesha stori kila ninachokiandika hapa MUNGU akawe shahidi na aniadhibu kama nitaandika UONGO au kusema kitu ambaoho si cha kweli ili kuharibu...
  8. msuyaeric

    JamiiForums Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  9. N

    JamiiForums Ishu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap

    Ishu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap na hawachukui hata 100 yako mbovu.
  10. A

    JamiiForums KERO Kazi za Afisa Ardhi daraja la II zimetangazwa na degree ya Sheria imetajwa kama moja taaluma zinazohitajika lakini kwenye Ajira Portal huwezi omba

  11. Fbn

    JamiiForums Kama unaona mtoto wako uwezo wake ni mkubwa haijalishi uwezo wako, omba msaada au tumia pesa yako, hapa Tanzania ni sehemu kuua ndoto za watoto

    Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa. Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma. Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
  12. V

    JamiiForums Ajira nyingi ajira portal omba sasa

  13. Gunner11

    JamiiForums Mzigo wa Kujua Ukweli wa Dunia

    Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno, chuki, na dhana potofu zinazo tawala huu ulimwengu. Haihitaji kusoma, ila tu ni mipango ya muumba...
  14. kyaibumba

    JamiiForums Tatizo la Vijana Omba omba mitandaoni ni kubwa sana fanyeni kazi

    Nina Mwaka sijaingia Jf Kwakuwa nilikuwa busy nimeingia nakupa SM zaid ya 200 hivi kwanini msifanye kazi ? Unamuombaje hela mtu mtandaoni ambaye humjui
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums "Omba omba" na WAsoha Vioo vya Magari wa Dar ni Mradi wa "wakubwa?"

    Omba omba wengi tiulizoea wakitoka mikoa ya Dodoma. na Singida , sasa wanatoka Mwanza na mikoa mingine kasoro Kilimanjaro na Arusha, yaani Hakuna Mchaga omba omba! WAOSHA MAGARI: Hawa watu wanasimama kwenye mata na foleni, pale morroco -kinondoni, hata liwe gari la wanaojulikana ama wasio...
  16. Yoda

    JamiiForums Wanawake wanaoomba pesa kwenye mapenzi sasa hivi ndio wanaitwa TAMISEMI?

  17. Yoda

    JamiiForums Ombaomba wa Tanzania ni wabunifu sana

    Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa Kuna wakina mama wa...
  18. Alexido jz instagram

    JamiiForums Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

    Katika mahojiano yake na wasafi MZUNGU huyo ameoneshwa kukerwa na tabia ya mademu wa bongo kuomba omba hela, MZUNGU huyo amedai ni OMBA OMBA sana, katika kipindi CHA wasafi the switch, akiwa na Aaliyah na mchaga og.
  19. Melki Wamatukio

    JamiiForums Nyumba niliyohamia wanawake wanaomba omba sana

    Astakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu...
  20. R

    JamiiForums Diaspora omba audience na Trump

    Mueleze lolote lililo ndani ya uwezo wake kuisaidia Tanganyika! au Tanzania ukipenda ingawa Zanzibar haina mateso yoyote. Hapo vipi Pascal Mayalla
Back
Top Bottom