Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iring (IRUWASA) kuhakikisha katika kipindi cha mwezi mmoja inatekeleza mradi wa muda mfupi kuhudumia Kaya zipatazo 23 zinazokosa maji katika Vijiji vya Luhindo na...
Oneni jinsi Wachina ndani ya miaka 20 tu walivyobadilisha miji yao mfano wa Chongqing kutoka slums kama za tandale na kutokuwa na mpangilio hadi kuwa majiji ya hadhi sawa na ya West
Wakuu
Nimekuwa nikikutana na madai kwamba maji ya mvua huwa yanaharibika baada ya kuchotwa.
Naomba kufahamu ni kwa nini maji ya mvua huwa yanaharibika baada ya siku kadhaa baada ya kukingwa,na pia huku mitaani kwetu tunayawekea chumvi kidogo kwa iman kuwa hayata haribika,je ni kweli chumvi...
True case study!
“Nicas" (jina halisi limefichwa) alinitafuta mwezi uliopita kupitia JamiiForums baada ya kusoma baadhi ya threads zangu kuhusu personal finance na uwekezaji.
Aliniambia ana malengo mawili:
1.Kupunguza matumizi na kuweka akiba zaidi
2.Kujifunza kuwekeza kwenye hisa za Dar es...
#dafitips
Ujumbe wangu mfupi kwa maadhimisho ya Miaka 49 ya CCM
https://youtu.be/D6wSTppiLiE?si=jq8mVBs9RbnrhbsJ
Video 👆🏿👆🏿👆🏿
Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi ni ushahidi wa imani ya wananchi kwa Chama chao. Lakini ili CCM iendelee kushika Dola, lazima ibaki kuwa Chama cha kusikiliza watu...
Chama cha mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia disemba 2025 mpaka February 2026
Mbunge Jenista Mhagama alifariki 11 Disemba 2025
Mbunge Halima Nassor alifariki 18 January 2026.
Munde Tambwe alifariki tarehe 3 February 2026
Pole ziende kwa rais na chama chake.
Hello guys
Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika.
Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza.
Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation.
Siongezi maneno but within...
Magufuli alitawala miaka HAIJAWAI tokea Tanzania
Mama Samia Suluhu hassani anaenda Mwaka WA 5 Sasa je
Shekhe Yahaya alimtambilia nani kuwa raisi wa Muda mfupi?
Je akilazimisha amzidi Magufuli Nini kitajili?
Mbinguni kunani?
Nawashauri CCM na Samia kusitisha uchaguzi, kupendekeza iundwe serikali ya mpito ikiongozwa na jaji Warioba, kuwaomba radhi watanzania na kutubia ili mambo yaishe. Mmeshindwa, mmekataliwa na mmeona wenyewe. Shukrani kama mtasikiliza na kuzingatia ushauri huu mfupi na muhimu katika wakati huu...
Hii kampuni Haina hata miaka SITA sokoni lakini imefanikiwa kuwapoteza wakongwe kama kina sport na embassy na kina safari chap kwa haraka..sawa inawezekana bei ikawa rafiki kwa wengi lakini hata marafiki zangu maboss TU wame switch kutoka sport OG mpaka Winston.
Unanunua bati lililopakwa rangi lakini ndani ya muda mfupi lishapauka vibaya. Sisi wananchi hatuwezi kutambua kwa kuona mabati ya rangi original.Wala bei sio kigezo cha kujua kwamba haya mabati ya rangi ni original au fake.
Kampuni zote zikitengeneza mabati ya rangi zinatakiwa zifuate standard...
Najua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao.
Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote!
Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo...
🇮🇱 Uwezo wa Jeshi na Ujasusi wa Israel: Sababu ya Mafanikio Dhidi ya Iran kwa Haraka
Iwapo Israel ingeweza kuangamiza uongozi wa kijeshi wa Iran na wanasayansi wa nyuklia ndani ya masaa machache tu, hiyo haingekuwa bahati mbaya bali ni matokeo ya:
Miaka ya maandalizi ya kimkakati
Uwezo mkubwa...
Kwa walio onyeshwa account ya IGP ya CRDB yenye zaidi ya billion moja wakati Polisi wenzake wakiwa maskini msishangae. Pesa nyingi sasa zinatumika kwa kubana wapinzani na uhuru. Ili kufanikisha hayo hawa viongozi wa usalama wanamiradi ya kipigaji isiyo na mbele wala nyuma. Kwa ufupi hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.