Enzi zile wahudumu wa baa walikuwa wanahudumia tu vinywaji

Acha upumbavu huu,si ajabu wewe mwenyewe umesomeshwa na mapato yatakanayo na uliyoyaandika kwenye mada yako,maadam sasa una uwezo wa kununua mkate unajifanya hujui yaliyoko on the ground,elewa sio kwamba wanapenda kufanya hivyo ila maisha kuwa magumu na yenye utata mwingi umepelekea hiyo hali,je alishaamka asubuhi na kupeleka mkate hata mmoja kwa jirani yako asiyejiweza?,acha kulalama humu saidia to make a small difference kwa less fortunate neighbor
 
Hata kama kusifu vitu vya zamani mmezidisha wazee,
Miaka na miaka toka enz za Misri ya kale, wauza bar huwa wanauza vyote viwili, labda kama umesimuliwa mzee
 
Lakini sasa imekuwa tofauti sana wahudumu wengi wa baa hawauzi tu vinywaji bali wanauza miili yao wanafanya ngono kwa malipo ya pesa.sheria ya vileo inaruhusu hili kutendeka?nini kifanyike?
Ngono inauzwa kila Kona, maofisini wizara ni, bungeni, kwenye makampuni makubwa, migodini, taasisi za elimu ya juu,
Ni katika kutaka unachokitafuta, na huna pesa ya kulipia, hapo mtoto wa kike lazima ababuliwe!
 
Unahasira sana,tukija tujadili namna ya kutokomeza mambo haya,unajuwa sheria ya vileo hairuhusu mtu kujiuza hapo?unavyochekelea hata mwanao atadondokea hapo.
Acha upumbavu huu,si ajabu wewe mwenyewe umesomeshwa na mapato yatakanayo na uliyoyaandika kwenye mada yako,maadam sasa una uwezo wa kununua mkate unajifanya hujui yaliyoko on the ground,elewa sio kwamba wanapenda kufanya hivyo ila maisha kuwa magumu na yenye utata mwingi umepelekea hiyo hali,je alishaamka asubuhi na kupeleka mkate hata mmoja kwa jirani yako asiyejiweza?,acha kulalama humu saidia to make a small difference kwa less fortunate neigh
 
Back
Top Bottom