Tunaomba mfanye uchunguzi wa kina kuhusu utendaji wa Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri (TMO) na Katibu wa Afya wa Halmashauri ya Mji wa Nzega (Nzega TC).
Kuna malalamiko yanayoibuliwa kuhusu ukosefu wa ushirikiano katika uongozi, pamoja na maamuzi yanayodaiwa kuathiri utendaji na morali ya...
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum, amefunguka kuhusu sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni kuhusu kauli yake juu ya matumizi ya Mfumo wa Matibabu Kadi, huku akisisitiza kuwa mfumo huo umekuwa ukitumiwa vibaya na kuingiza mzigo mkubwa wa gharama kwa Serikali ya Mapinduzi ya...
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara.
Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia...
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar.
Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti...
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar.
Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti...
Habari za wakati ndugu, Mimi ni mmoja wa wauguzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu (Somanda).
Hivi karibuni hospitalini kwetu kumetokea tukio la kinyama, tukio la ukatili, tukio ambalo limeachwa kimya hakuna hatua zozote zimechukuliwa.
Tukio lenyewe ni Daktari...
Mimi ni Mtumishi katika Kituo cha Afya Kigamboni (Ferry karibu na Kituo cha Polisi Mzizima), uongozi kutumia vibaya madaraka yao kwa kujilipa stahiki zisizo sahihi mfano; wanajilipa hela za doctors OnCall allowance wakati hawaingii hizo call (viongozi hao ni mganga mfawidhi, Katibu wa Afya...
Inahuzunisha sana maelezo aliyotoa gwiji na mhasisi wa bongo fleva Godfrey Tumaini Dudu Baya vipimo alivyofanya Muhimbili kuwa siyo sahihi na uhalisia.
Anasema asingeenda India angepooza milele.
Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India.
Msikilize zaidi hapo chini kwenye Video.
Soma...
Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akijadiliana jambo na Mkunga Mkuu wa Shirikisho la Wakunga la Kimataifa (ICM), Prof. Jacqueline Dunkley-Bent, wakati wa Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini...
Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga na Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya ya SMZ, Dkt. Salim Slim (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya...
Baada ya kueenea kwa taarifa juu ya kuzuiwa kwa Aliyewahi kuwa waziri wa Afya Ummy Mwalimu kutoka nje ya Nchi amevunja ukimya nakusema kuwa "Nawashukuru wote walionifikia kutaka kujua ukweli kuhusu hii. Ni uzushi. Ipuuzwe. Nipo OK. Alhamdulillah".
JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kujiridhisha kuwa si ya kweli
Sasa ni mwendo wa kuwekana vikwazo.
Walivyoona CHADEMA inafanyiwa figusi walijua itakuwa kwa CHADEMA.
Unaambiwa watu wanataka kutoroka kabisa kama ana kamatwa fulani na kuwekwa ndani itakuwa mimi.
Haya kazi kwenu mtachagua...
1. Wananchi wangapi walipelekwa hospitali kupata matibabu kwa majeraha ya risasi?
2. Wananchi wangapi walikufa kwa risasi?
3. Miili ya wananchi wangapi walipewa ndugu zao?
4. Miili ya wananchi wangapi haikuchukuliwa na ndugu zao?
Yeye kama waziri wa afya alijua taarifa hizi?
Je, hizi taarifa...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameagiza Idara ya Huduma za Dawa, Ofisi ya Mfamasia Mkuu wa Serikali na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kuandaa wito wa kuonesha nia kwa wawekezaji wa viwanda vya dawa na vifaa tiba ndani ya siku 21.
Bima ya Afya kwa wote itabaki kuwa alama kuu ya mhe.Rais Samia katika Taifa letu.
ameipambania hadi tumepata sheria .
Chonde chonde waziri mpya wa Afya kamalizie jambo hili ukiweka akilini kipato cha watanzania wa hali ya chini... hii ni zawadi kwangu na watanzania wengi wanaoipigania...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amewataka watendaji wa Wizara ya Afya kufanya kazi kwa bidii, weledi na uadilifu na kuacha kufanya kazi kwa mazoea ili kuleta tija na ufanisi kwa wananchi. Hii ni mara baada ya kuapisha jana Novemba 18, 2025
Mchengerwa ametoa wito huo alipokutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.