Nimemiss namba za simu za wahudumu kwenye bili

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,153
Hii kitu nilikuwa na nyota nayo.

Kila nikinywa sehemu soda na nyama naandikiwa namba za simu na mhudumu kwenye bili.

Nkawaza ningekuwa nakunywa bia ingekuwaje kama soda wananiandikia namba zao.

Leo hii kila nikienda hata bili ya karatasi sipati tena unaambiwa alf kumi bili yote tumalizane.

Niko kwa mwamposa napiga maombi kujua nilipokosea nanani kapita na nyota yangu hii.
 
Hizo ni tabia za kimalaya malaya tu
Kemea pepoo wa umalaya kichwani
m nishawahi kusaidia watatu wote wako hoteli kubwa tu wanapiga usafi..zile namba sio za umalaya kila mtu zingine. Zinahitaji msaadaaaa wa kutokoa na Mungu anaweza kukutumia kutoka pale walipo...ukumbuke wanapokuandikia wanakuwa na akili za kutongozwa ukiwabadilisha mtazamo ukawasaidia na kutoka walipo ur blsd.
 
Hili ni Jambo la kawaida kwa watanzania kama nyinyi.
images - 2024-03-10T190459.157.jpeg
 
Back
Top Bottom