Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazopiga hatua katika utekelezaji wa malengo ya afya ya mama na mtoto, huku juhudi zinazofanyika zikitoa masomo muhimu kwa nchi nyingine za Afrika.
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkansi, Manispaa ya Sumbawanga na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya, wameeleza kufurahishwa na jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha huduma za afya, huduma za uchunguzi...
Katika chumba cha exray katika Hospitali ya Lumumba Unguja, Zanzibar, mabadiliko ya kiteknolojia yanabadilisha namna madaktari wanavyochunguza magonjwa, kufanya maamuzi, na kuokoa maisha.
Katika kisiwa hicho, mifumo ya akili bandia (AI) inawasaidia madaktari kutafsiri picha za exray, huku...
DKT. MWIGULU: AFRIKA IJENGE UWEZO WAKE WA KUSIMAMIA NA KUZALISHA HUDUMA ZA AFYA
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu...
Nchi za Afrika zinapaswa kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Arusha-Tanzania
🗓️Septemba 09, 2026
———————————————-
Ameyasema hayo wakati...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Jumatano Septemba 09, 2026, wakati akimwakilisha...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi.
Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano...
Ndugu Watanzania, kumekuwa na malalamiko kuhusu ukiukwaji wa haki za wajawazito kupata huduma za afya, ambapo baadhi yao wanalazimishwa kulipia vipimo ambavyo vinapaswa kutolewa bila malipo.
Vipimo vinavyodaiwa kulipishwa ni pamoja na:
Hemoglobin (HB) – kipimo cha kiwango cha damu.
ABO/Rh –...
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU AZINDUA HUDUMA ZA AFYA ZAHANATI YA KIJIJI NDULUNGU
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026, Ndg. Wazo Michael Mwang'onda, tarehe 24 Julai, 2026, amekagua na kuridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Ndulungu...
DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBA
Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Alhaj Suleiman Yusuph Mwenda, Jumatano Julai 15, 2026, amekabidhi magari manne (4) ya kubebea wagonjwa (ambulance) kwa ajili ya kuimarisha huduma za afya katika Vituo vya...
Nimekuwa nikihudhuria Muhimbili kwa takribani mwezi sasa. Ukweli wagonjwa wanachukua muda mrefu sana kumsubiria Daktari afike. Madaktari wengi wanaanza kusikiliza wagonjwa kuanzia SAA TANO asubuhi wakati kuna watu wamefika toka saa kumi na moja asubuhi.
Nashindwa kuelewa wanakuwa wapi alafu ni...
Iwapo meno yako yametoboka/ kuoza kuna huduma ya kuziba meno ( Teeth Filling / Restoration)
Faida Zake
-Jino Litadumu kwa mda mrefu
-utazuia kuharibika zaidi kwa jino
-Utatafuna Chakula Vizuri
Utalinda meno mengine yasiharibike
Utakuwa na Muonekano mzuri wa meno yako
Nimeambatanisha...
Fedha za basket fund ambazo huwa zinaingizwa kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya kila baada ya robo mwaka haijaingia tangu mwezi disemba 2025.
Hii imepelekea changamoto ya uendeshaji wa vituo hivi vya Afya kwani fedha hizi hutumika kununua dawa na vifaa tiba, kulipa bili za umeme na maji...
Wagonjwa 14 wamefanikiwa kufanyiwa upandikizaji wa uume katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Benjamini Mkapa (BMH) tangu kuanza kwa huduma hiyo mwaka 2023 hadi sasa huku changamoto ya wagonjwa kutofika kupata huduma ikiwa ni kujinyanyapaa wenyewe.
Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi...
Afurahishwa kukuta vifaa vya saratani vya hadhi hiyo KCMC
Asema vitakuwa na maana huduma zake zikizingatia ubora
Ni siku chache baada ya kuzindua vingine Ocean Road DSM
Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..
Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.
Kumbuka bado wanaendelea kupokeac kodi ya Watanganyika wanaofanya kazi Zanzibar.
Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali...
Kuna shida kwenye kituo cha Afya Kimara Mavurunza.
Mtoto chini ya miaka mitano hakishapatiwa huduma mzazi anaambiwa alipie dawa, na wakati mwingine huduma ni bure.
Hii ni sawa wakuu?
Soma Pia mijadala ya kero ya malipo kwa wajawazito
Wajawazito wanalipia huduma Kituo cha Afya Nyangoto na...
Katika Mkoa wa Mwanza, Kata ya Kirumba, kuna kituo cha afya kinachoitwa Optimisim Dispensary ambacho kinakabiliwa na malalamiko makubwa kutoka kwa wananchi na hata baadhi ya wafanyakazi wake.
Inadaiwa kuwa hakijasajiliwa rasmi, na baadhi ya watumishi wanaotoa huduma hawana leseni hai za kufanya...
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imemhamisha aliyekua Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mpimbwe kwenda halmashauri ya Mji Nanyamba huku akiwa na tuhuma za wizi wa fedha za serikali.
TAKUKURU wilaya walikuwa tayari wameanza uchunguzi kuhusu tuhuma hizo, lakini cha kushangaza mtuhumiwa amehamishwa kabla...
Anonymous (f18b)
Thread
fedha
hudumazaafya
kabla
kukamilika
kumlinda
mpimbwe
mtuhumiwa
njia
uchunguzi
wizi
Serikali imejenga hospitali 10 mpya za rufaa za mikoa tangu mwaka 2021.
Huduma zilizokuwa zinapatikana mbali kwa gharama kubwa, sasa zipo karibu na wananchi, pia ni nafuu zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.