usumbufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasisitiza ulipaji Kodi ya Ardhi kwa Wakati kuepusha usumbufu

    Serikali imewataka wamiliki wote wa ardhi nchini wakiwemo watu binafsi na taasisi zinazomiliki ardhi kuhakikisha zinalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati, ili kuepusha usumbufu utakaotokana na hatua zitakazochukuliwa kwa wale watakaoshindwa kutekeleza wajibu huo. Akizungumza jijini Dodoma...
  2. Tundusami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wanapenda mashangazi kwa sababu hawaingii period muda wowote inapatikana amna usumbufu

    Leo nawapa siri ya vijana kupenda mashangazi ,mashangazi yameshaingia menopause hakuna mambo ya kukwepa mdinyano kisa upo period mashangazi mda wote unadinya ule ubabaifu wa kuwekewa tomato kwenye pedi haupo.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Usumbufu wa mfumo wa chuo (CBE)

    Kero yangu ipo kwenye mfumo wa chuo Cha elimu ya biashara (CBE) Upande wa account za wanafunzi toka mwezi wa 12 mpaka sasa mwezi wa pili mfumo unasumbua wahitimu tunashindwa kufanya maombi ya vyeti na tuliomba ukifika chuo unaambiwa mtandao unasumbua hovyo tunapata tabu tupo nyumba ya soko la...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump ataka idara ya sheria ya serikali ya Marekani imlipe mamilioni ya dola kwa usumbufu wa uchunguzi na kesi dhidi yake

    Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka iliyopita, madai hayo itabidi yapitie kwa watu aliowateuwa kuongoza idara hiyo ambao wengi wao...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukipata time cheki deni la trafiki hapa na parking kuepusha usumbufu usio na ulazima!

    Naona vijana wa parking/manispaa wanisaidiana na trafiki wamekua serious sana barabarani siku hizi. Kama una gari au ata gari la jirani mchekie madeni hapa: Trafiki: RTOC Parking: Parking
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Usumbufu wa paka mpaka kwenye kitimoto, serikali shughulikieni

    Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushamba unavyoleta Usumbufu kwa watumia barabara Dodoma

    Dodoma inakuwa kwa kasi nzuri lakini kumekuwa na changamoto ya washamba wengi. Kutokana na kuwa Makao Makuu kuna watu wengi wanahamishwa kutoka vimiji vidogo wanakuja na ushamba mwingi sana. Mtu anapaki gari katikati ya Barabara bila kujali watu wengine wanapata taabu kiasi gani. Kama huyu...
  8. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Kuna App ya Bank yenye Usumbufu kama ya CRDB kwa sasa?

    Wakuu hii app ya CRDB ni pasua kichwa. Inaweza kukuaibisha muda wowote. 1. Ukitoa hela kwa cardless hautumiwi msg 2. Ukihamishia hela kwenye simu inashindikana 3. Ukituma hela bank nyingine ni kizungumkuti. CRDB mmefail sana kwenye hii app
  9. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kuepuka usumbufu, nakushauri usitume pesa kutoka Tigo/Yas kwenda mitandao mingine kuanzia saa 12 jioni. Be informed

    Yani tangu Tigo iwe yasi kuna mambo mengi ya kukera lakini kubwa zaidi ni changamoto ya kutuma pesa kutoka Tigo kwenda mitandao mingine has ikifika usiku. Imagine unatuma pesa, kisha wanakwambia usubiri masaa 72 ndio utapata majibu kama pesa itarudi au itafika kwa mhusika. So kujiepusha na...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: kama mawakili wa Lissu wakiendelea na usumbufu, mahakama itoe uamuzi wa hoj zao, DPP apeleke notice of appeal mahakama kuu kesi isimame

    Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa. Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Misafara ya viongozi inaleta usumbufu usio wa lazima

    Japo naheshimu usalama wa viongozi kuwa kipaumbe ilinwahakikishiwe usalama maana wanapatikana Kwa gharama na Kuna ugumu kuwapata wengine Leo nipo Mwanza Kuna foleni na usumbufu mkubwa barabara ya Buswelu kupitia Saba Saba, Magari yamesimama masaa 3 Sijui Kuna kiongozi gani yupo Mwanza? Askari...
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna anayesema wanawake wote wa makabila haya ni wasumbufu kwenye ndoa lakini kwanini wanaongoza kwa kulalamikiwa ?

    Kuna principle inasema to every rule there is always an exception, hata kwenye kundi linalosifika kuwa wasumbufu wapo waliotulia mpaka utashangaa na katika wale wanaojulikana wametulia wapo ambao ni wasumbufu pasua kichwa, kwahio haimaanishi ni wote. kwanini wanawake wa makabila haya wanaongoza...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Heri Mchina anaepunguza ukali wa maisha kuliko mzawa anaetupiga, usumbufu wenu unatufanya tuzidi kujaa kwao, Mchina haendi popote, HERE TO STAY !

    Acheni kujibanza kwenye kisingizio cha uzawa, wateja wanachotaka ni kupunguza ukali wa maisha. Tunachotaka kukiona ni ladha ya ushindani wa kibiashara, haiwezekani kitu ya tsh elf 5 unauziwa mpaka elf 30, mchina anakuja kuuza kwa bei rahisi mnaanza kulia Uzalendo, ni uzalendo gani huo wa...
  14. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Makonda na usumbufu Jijini Arusha

    Heshima sana wanajamvi, Tangu Makonda ateuliwe Mkuu wa Mkoa wa Arusha amekuwa ni mtu wa harakati nyingi sana ambazo kwa kiasi kikubwa kawaweka watu busy pasipo sababu za maana. Makonda alianza na harakati za vipimo (Matibabu) katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.Zoezi hili lilileta faraja hasa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Serikali tangazeni tar 27 na 28 kuwa siku za mapumziko kwa wote na wanafunzi wakae nyumbani kuondoa kabisa huo 'usumbufu' mnaosema

    Wakuu, Kusema watumishi wa umma wafanyie kazi nyumbani huku sekta nyingine zinafanya kazi kama kawaida ndio mmepunguza nini? Kwanza tunajua serikali hainaga utaratibu wa ku-work from home. Hiyo ni holiday ya moja kwa moja. Akifunga vitu ijumaa atakuja kuendelea jtatu pale alipoishia. Lengo la...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ofisi ina urasimu na usumbufu kushinda ardhi?

    Wakuu Nimefanya maombi ya hati ya ardhi mwaka wa pili unakatika. Kutoka dawati moja kwenda lingine faili linaweza kutumia miezi mitatu! Nyie experience zenu zikoje na hizi ofisi za ardhi?
  17. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Hii ni dawa ya nini?

  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara Mtaa wa Magomeni Jitini - Unguja, imechimbwa na kutelekezwa, kuna usumbufu mkubwa wa magari kupishana

    Hapa Mtaani kwetu Magomeni Jitini katika Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda wa wiki tatu sasa. Kuna Barabara imechimbwa, hakuna ujenzi unaoendelea mpaka sasa, hali inayofanya madereva kutumia njia moja hali inayosababisha kero ya...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Isamilo Kampuni ya mabasi ya usafirija ni jipu na kero kwa Abiria yalinikuta Dodoma

    Mada kama inavyojieleza hapo juu mnamo tarehe 4/10/2024 majira ya saa tano hivi asubhi nilipanda gari nikitokea Nzega to Morogoro nilifanya booking kwenye stand kuu ya Nzega mjini kwenye booking office za KAMPUNI ya Isamilo Safari ilianza vyema Sana hapakuwa na usumbufu wowote, usumbufu ulikuja...
  20. Shaas

    JamiiForums Tanzania Kudeka ni usumbufu kwenu wanaume?

    Naomba nijue kama kudeka ni usumbufu kwenu wanaume
Back
Top Bottom