wahudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Doto12

    JamiiForums Tanzania Safari pub ni uwozo. Wahudumu jikoni ni wapumbavu

    Uzi huu hauna maana kuharibu biashara ya mtu yoyote. Kwa sasa biashara ni ushindani haiwezekani kuna shida tubung'ae kama mazombi. Kinyerezi imefunguliwa casino. Lazima mfanyabiashara uwe na customer servece nzuri. Hawa mabintinwa safari pub Kinyerezi mwisho upande wa jikoni hawafai kuwepo...
  2. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Wahudumu wa Ndege/Treni

    Hakika umeshawahi kuwaona walimbwende hawa wakiwa wamependeza, watanashati, warembo na kutembea mwendo wa madaha ndani ya ndege ama treni. Achana na hawa wa mabasi wapakua mzigo na walegeza sauti wa mabasi unaowajua. Namejaribu kuwaza ushindani wao, kila siku totoz kali batch zinatoka za...
  3. Zegota

    JamiiForums Tanzania Hizi hospital za serikali omba Mungu sana usipelekwe huku ukiwa serious. Unaweza kufa na wahudumu wa afya Wala hawajali

    Niko hospital ya wilaya ya Butiama mda huu. Mama yake na rafiki yangu amepata ajali ya pikipiki, mguu kuanzia kwenye mapaja mpaka kikanyagio haufai, nyama hakuna mifupa Iko nje. Picha linaanza anafikishwa hospitali anawekwa pembeni mnaambiwa daktari hayupo, hamna huduma yoyote na ukimuangalia...
  4. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Waliooa wahudumu wa bar waje hapa kutoa ushuhuda

    Wazeee tuache utani mimi nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa Dodoma jina naweka kapuni. Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sana wakuu namkubali mbaya. Wacha nijitoze wenda akatulia
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Wahudumu wa afya ngazi ya Manispaa ya Bukoba mkoa wa Kagera tunawashukuru sana JamiiForums

    Kwa Niaba ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii (C H Ws) BUKOBA MANISPAA, MKOA KAGERA. Tunawashukuru sana Uongozi wa JamiiForums . Baada ya kuripoti changamoto yetu February 2024 ya madai Ya posho ya uhamasishaji wa ugonjwa mlipuko wa Murbug Tangu March 2023. Hivyo changamoto yetu ilitatuliwa...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa hotel, Bar na migahawa Tanzania wana shida gani?

    Hawa watu huwa wa kusukumwa sana ili wakupe huduma ambazo ni wajibu wao kuzitoa, ni nadra sana kupata Hotel, mgahawa au Bar bongo ambapo wahudumu wake sio wa kususuasua na wako on point muda mwingi na kwa wateja walio wengi Shida ni kwamba hawalipwi vizuri, wako kwenye hizo kazi kupoteza muda...
  7. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wenzetu wakifanya upasuaji kwa njia za roboti sisi kwetu bado wahudumu wa afya, maarifa na utendaji viko chini (Tanzania tuitakayo)

    Na Da Vinci XV Chanzo: Forbes Wasalaam Wahenga walisema wakati ni ukuta. Sasa wakati huo ambao mimi nikihangaika kumpigia kelele mbunge wangu nilie mchagua miaka 4 iliyopita anijengee daraja walau niweze kuifikia zahanati kwa urahisi ili mimi na familia yangu tuweze kupata huduma bora za...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wahudumu wa guest wanagawa kuliko hata wahudumu wa bar

    Aisee ukimkuta mdada anayepokea wateja guest amevurugwa anagawa wastani bila idadi unakuta mko wanaume watano vyumbani na wote mnatembelewa kila mtu Kwa muda wake yaani Mpaka yule wa mwisho wa alfajiri kashaelekezwa Mida yake.. Kuna siku tumeenda lodge fulani ya kibwege ubwege milango yake usiku...
  9. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii

    Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tuwe Wakweli Bar za Arusha zina wahudumu wenye matrakoo ni noma

    Shalom, Daah nimepita jumapili na jumatatu pale Arusha Kila mwenye Bar anafanya ubunifu wa kuweka Wahudumu Wenye Matako mazuri na makubwa ni full shangwe. Sijui hii tabia ya Arusha na matako kwa Wahudumu wa bar chanzo chake ni nini, naona na jamaa wa bar hapa Dodoma wanapita njia hio hio. Ee...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wamama wa kwenye migahawa wanakera sana wanapohudumia huku wakijikuna mwilini

    Mbaya zaidi anajikuna halafu bila aibu anaenda kukuletea chakula na kulishika bakuli la mboga. Inatia kinyaa sana. Na hii tabia inatakiwa kupigwa stop.
  12. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi? Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto alikuwa na miaka kama mitano hivi. Alipoingia kwenye gari cha ajabu mhudumu anayescan ticket akawa...
  13. Mkemia kay

    JamiiForums Tanzania Kazi za wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    Habari ndugu zangu, Ninaomba kuuliza kuhusu hizi Ajira mpya za wahudumu wa afya ngazi ya jamii zilizotangazwa na Tamisemi kwa mtu mwenye uelewa 1. Kiwango cha mshahara ni bei gani? 2. Kama mtu Una degree nyingine tu unaweza kujificha ukatulia tu cheti chako cha form four kuomba kama...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nimemiss namba za simu za wahudumu kwenye bili

    Hii kitu nilikuwa na nyota nayo. Kila nikinywa sehemu soda na nyama naandikiwa namba za simu na mhudumu kwenye bili. Nkawaza ningekuwa nakunywa bia ingekuwaje kama soda wananiandikia namba zao. Leo hii kila nikienda hata bili ya karatasi sipati tena unaambiwa alf kumi bili yote tumalizane...
  15. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Enzi zile wahudumu wa baa walikuwa wanahudumia tu vinywaji

    Lakini sasa imekuwa tofauti sana wahudumu wengi wa baa hawauzi tu vinywaji bali wanauza miili yao wanafanya ngono kwa malipo ya pesa. Sheria ya vileo inaruhusu hili kutendeka? Nini kifanyike?
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tilisho wametangaza nafasi za wahudumu wa Mabasi yao pamoja na Wakatisha tiketi

    Habari Wadau, Nimekutana na tangazo la kazi likionesha kuwa Kampuni ya usafirishaji ya Tilisho inahitaji Wafanyakazi kwa nafasi ya Wakatisha Tiketi na wahudumu wa ndani ya Mabasi. Nimepata mashaka baada ya kuona ukilifuata tangazo hili ndani yake linahitaji usambaze link kwenye magroup ya...
  17. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukumbana na Kero gani katika Huduma za Afya?

    Habari, Afya ni miongoni mwa huduma muhimu na msingi katika katika Jamii yoyote. Katika kupata Huduma za Afya kuna michakato na mambo mengi katikati yake. Je, umeshawahi kukutana na kero gani katika kupata Huduma za Afya Kishingo akusaidie kuisemea?
  18. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Serikali imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo Wahudumu wa Afya

    Na. WAF - Dar Es - Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo jumla ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii wapatao 137,294 katika mikoa yote 26 ya...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa mikopo ya mitandaoni walinipigia kabla ya muda wa marejesho nikawaambia kuwa sitawalipa kwakuwa wameniletea usumbufu. Sijawalipa

    Muhudumu wa kwanza alinipigia siku moja kabla ya siku ambayo nilipaswa kulipa na kuniambia nifanye malipo haraka kuna zawadi. Nikamjibu kistaarabu tu siku ikapita. Muhudumu wa 2 alinipigia siku ambayo nilipaswa kulipa nikamwambia atulie kwakuwa wameweka interest kwa kila siku inapoongezeka ...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya Makuburi wahudumu wenu wa maabara wachunguzwe

    Habari, Niko hapa tangu asubuhi nimemsindikiza mke wangu kufungua kadi ya mama mjamzito. Tangu nimefika muda huo, kwanza wajawazito wanaofungua kadi nao wanachanganywa na wagonjwa wa kawaida kitu ambacho ndiyo kwanza nimekiona leo hapa. Pili nimeandikisha mapokezi tukaelekezwa maabara tukiwa...
Back
Top Bottom