Serikali ya Awamu ya Sita inatekeleza Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote nchi nzima kuanzia zahanati za vijijini hadi hospitali za kitaifa. Lengo likiwa kuzuia ugonjwa kuwa chanzo cha umaskini.
FAIDA KUU 4 KWAKO NA FAMILIA
• Matibabu Bila Pesa Taslimu: Nenda hospitali, pata vipimo, na chukua dawa...
Sr. Dkt. Sarah Kahumbya Deogratius, Mkurugenzi wa Hospitali ya Kardinali Rugambwa nchini Tanzania, ametajwa kuwa mpokeaji wa Tuzo ya Else Kröner Fresenius ya Ushirikiano wa Maendeleo katika Tiba kwa kutambua kazi yake ya kuimarisha utambuzi wa kifafa na utunzaji wa watoto wenye ulemavu.
Tuzo...
Na Dr. Zack, WAF- New York
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Tanzania imepunguza vifo vya akina mama kwa asilimia 80 ndani ya kipindi cha miaka saba chini ya uongozi thabiti wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.
Mhe. Ndejembi amesema haya leo...
Kuanzia nusu ya pili ya mwaka huu, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kong ilikumbwa na mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola, ambao hadi kufikia tarehe 22 mwezi Agosti, watu zaidi ya 5,500 walikuwa wamethibitishwa kuambukizwa ugonjwa huo, na zaidi ya 2,600 walikuwa wamethibitishwa kuambukizwa. Kwa kuwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema zaidi ya wadau wa sekta ya afya 3000 kutoka nchi mbalimbali Duniani watashiriki katika Mkutano wa pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi (IPHCC), jijini Arusha...
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Nchi yetu imesaini makubaliano muhimu ya sekta ya Afya yenye thamani ya bilioni 3.1.
Hili sio jambo dogo hususani ukiangazia mwenendo wa ufadhili wa USA kwa Tanzania kwenye sekta ya Afya.
Vile vile hili ni pigo kubwa kwa wapinzani wapinga maendeleo ambao...
Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili.
Makubaliano...
Serikali ya Marekani na Tanzania kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Afya Tanzania na Marekani mambo safi
Dar es Salaam, 14 May 2026
The Minister of Health, Hon. Mohamed Mchengerwa, today met with Chargé d’Affaires of the United States Embassy in Tanzania, Andrew Lentz, to discuss a new...
Tunaomba Serikali kuwalipa hela za matumizi na ada wafadhiliwa wa kada za ubingwa na ubobezi katika sekta ya afya wanaosomeshwa katika Vyuo Vikuu nje ya nchi.
Mwaka umepita tangu tumepatiwa hela za kujikimu. Tunaishi maisha magumu nje ya nchi kwa kucheleweshewa hela za matumizi.
Tunaomba...
JE ILIKUWA NI AHADI HEWA YA KUPITISHWA NA KUANZA UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA UTUMISHI KWA SEKTA YA AFYA (KADA YA UUGUZI NA UKUNGA) KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ILIYOTOLEWA NA OFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MWEZI MEI 2025?
Habari,
Kwa masikitiko makubwa napenda...
Anonymous
Thread
afya
ahadi
ahadi hewa
fedha
hewa
muundo
mwaka
mwaka wa fedha
ofisi ya rais utumishi
sektasektayaafya
tanna
tnmc
utekelezaji
utumishi
wizara yaafya
~ Yameipa heshima Tanzania Kimataifa kama kinara wa mageuzi ya Afya Afrika
Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, sekta ya afya nchini Tanzania imepitia mageuzi makubwa ya kihistoria. Chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Serikali imewekeza...
Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, ametoa wito kwa waandishi wa habari za uchunguzi kuendelea kumulika changamoto na mianya ya ubadhirifu wa fedha inayoweza kuwa kikwazo katika utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote.
Akizungumza Februari 2, 2026, katika kikao kazi na wahariri wa vyombo vya...
Kumekua na kukithili kwa porojo za kisiasa juu ya sekta ya afya nchini, hali inayopelekea huduma kuendelea kuwa duni na zisizoridhisha.
Jambo moja wapo ni hili la kupitiwa na kubadilishwa kwa miundo ya kimshahara katika sekta ya afya,, jambo hili kila Waziri anaepewa dhamana kuongoza wizara ya...
My Take
Hii Ndio Nchi Huwa tunaambiwa na Wapinzani kwamba imeendelea sana ,Ina Demokrasia na sijui Haina rushwa na blaa blaa zingine za kipumbavu za kusema wanatumia Rasilimali vizuri.
Mpaka hapo kila mtu anaona Sasa kwamba Demokrasia imeshindwa kwa mara nyingine kuwapa watu dawa ,ugali na...
Kwamba Washauri wa Rais wakamshauri, ili hii Jamii ya Wamaasai itoke Eneo hili na MWARABU WETU awekeze Kwa Amani, inabidi kuzuia Uwekezaji kwenye huduma za Kijamii kama vile Afya na Elimu.
Duuuhhhh Wamasai bado wakaamua Kufa Kwa kukosa Huduma lakini wafie katika Ardhi Yao
Chini ya Rais Samia Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi Mkoani Arusha wafikia asilimia 93.
Rekodi za Kitaifa zinaonesha kuwa Tanzania imeongeza MRI kutoka 7 hadi 13, CT scan kutoka 13 hadi 45, Digital X-Ray kutoka 147 hadi 491 na Ultrasound kutoka 476 hadi 970. Hata hivyo Mkoa wa...
1. Mkoa wa Tanga katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025 umeongeza vituo vya kutolea huduma za Afya vya serikali kutoka 325 hadi 417 ikiwa ni ongezeko la vituo 92.
2. Zahanati zimeongezeka kutoka 287 hadi 361 sawa na ongezeko la zahanati 74.
3. Vituo vya Afya vimeongezeka kutoka 31 hadi 46...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.