posho

Ugali, also known as ugali pap, nsima and nshima, is a type of maize flour porridge made in Africa. It is also known as
ngima, obusuma, obuchima, kimnyet, nshima, mieliepap, phutu, sadza, kwon,gauli, gima, isitshwala, and other names. Nsima is sometimes made from other flours, such as millet or sorghum flour, and is sometimes mixed with cassava flour. It is cooked in boiling water or milk until it reaches a stiff or firm dough-like consistency.

View More On Wikipedia.org
  1. King gorani

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kufutiwa baadhi ya posho kwa watumishi wa umma

    Habari wana jf kuna hawa watumishi wa umma kwakweli ilibidi wafutiwe baadhi ya tozo unakuta mtumishi kwenye mshahara wake anakatwa kodi 240000 arafu kuna tozo zingine hizi nje ya ajira kwamfano kama akiwa na usafiri parking alipie ushuru akiingia stand alipie ushuru akinunua bidhaa anakatwa kodi...
  2. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Msanii Mr. II aka Sugu akataa "posho" ya TSh. 2m kutumbuiza kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo Flava

    Sugu anadai: Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tukaenda studio, sasa tunatoka studio aliponishusha akanitumia mkwanja Milioni 2, I was like mimi sijawahi kulipwa hela kufanya featuring na nimefanya featuring na watu wengi nikwambia Madee..... Sugu akaongeza: Hii game naijua...
  3. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Watumishi Halmashauri ya Kyerwa tunashukuru, tumelipwa posho za kujikimu

    Watumishi wa Halmashauri ya Kyerwa tunapenda kutoa shukrani kwa uongozi kwa kuhakikisha kuwa posho zetu za kujikimu zimelipwa. Hatua hii imetupa faraja kubwa na kutusaidia kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizokuwa zikitukabili. Tunathamini juhudi za uongozi katika kusikiliza na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana tulioshiriki katika Kampeni ya Chanjo ya Polio - Misungwi (Mei 2026) hatujalipwa posho zetu

    Vijana tulioshiriki katika kampeni ya chanjo ya polio iliyofanyika kuanzia tarehe 7 hadi 10 Mei 2026 katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kati. Mimi nilifanya kazi katika Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza, kama mhamasishaji wa jamii kuhusu umuhimu wa chanjo kwa watoto wenye umri wa miaka 0...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Lugomela: Niliwapatia fedha za posho baadhi ya madiwani kwenye mchakato wa kura za maoni za CCM mwaka 2025 hawakutekeleza makubaliano

    Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema aliwapatia baadhi ya madiwani fedha alizozitaja kuwa ni posho wakati wa mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2025, akidai baadhi yao hawakutekeleza makubaliano waliyokuwa nayo. Akizungumza katika kikao cha...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO POSHO ya KUJIKIMU: Halmashauri ya USHETU, Shinyanga, Imewalipa waajiriwa wapya pesa PUNGUFU

    Baada ya Serikali kutoa fedha kwa ajiri ya malipo ya posho za kujikimu kwa waajiriwa wapya wa mwaka 2026. Hali imekuwa tofauti katika halmashauri ya wilaya ya Ushetu, mkoani Shinyanga. Ambapo watumishi wapya walio chini ya Idara ya Afya na Lishe wamelipwa pesa pungufu tofauti na miongozo ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna upigaji mkubwa unaendelea wa posho za kujikimu ajira mpya Halmashauri ya wilaya ya Sikonge

    Kuna upigaji mkubwa unaendelea wa posho za kujikimu ajira mpya halmashauri ya wilaya ya Sikonge. 1. Katibu mkuu aliwandikia barua halmashauri zote zenye maelekezo maalumu kwa ajili ya fedha za kujikimu na barua hiyo ilielekeza bayana kuwa watumishi wa ajira mpya kwanzia Januari 2025 hadi Aprili...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Anne Kilango: Serikali ina Pesa, Madiwani waongezewe Posho

    Mbunge wa Jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela akichangia Bajetia Kuu ya Serikali 2026/2027 Bungeni leo Juni 2026, ameiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuboresha maslahi na posho za madiwani nchini. "Nimwombe Rais Samia kwa unyenyekevu, kwa hali ilivyo sasa, ni vyema serikali...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli posho ya kikao kwa mmbunge ni shilingi laki nane? Yaani sawa na mshahara wakati wa mtumishi wa serikali?

    Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa chama cha upinzani CHADEMA kwenye Moja ya mikutano yake akisema posho ya mmbunge mmoja Kwa kikao ni shilingi laki nane. Mimi kulagha siamini kama hilo linaweza kuwa kweli Kwa jinsi viongozi wetu walivyo wazalendo, hawawezi ruhusu jambo hilo lifanyike katika nchi...
  10. Mmole Mix Shop

    JamiiForums Tanzania CHWs wa Ruangwa Tunaomba Ufafanuzi Kuhusu Malipo ya Posho na Upatikanaji wa Vifaa vya Kazi

    Ndugu wanajukwaa, Naandika ujumbe huu kwa niaba ya baadhi ya Wahudumu wa Afya ya Jamii (CHWs) wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi, ili kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto zinazotukabili katika utekelezaji wa majukumu yetu. CHWs tumekuwa tukifanya kazi kubwa ya kuelimisha jamii kuhusu afya...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya kutolipwa posho Kanda ya Ziwa, TEMESA yasema Meneja wa Vivuko ameshawajulisha kuhusu hali ya mapato kuwa madogo

    MAJIBU YA MALALAMIKO YA WATUMISHI WA TEMESA KUTOKA JAMIIFORUMS LALAMIKO Hoja ya Mdau iliyowasilishwa awali ~ Watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi hatujalipwa stahiki zetu. Tumechoshwa na ahadi zisizotekelezeka LALAMIKO “Majukumu tunayopewa hayazingatii mapumziko ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Tandahimba: Hatujapata Fedha za kujikimu

    Halmashauri ya Wilaya Tandahimba Ajira Mpya wengi wetu hatujapewa fedha zetu za kujikimu tangu tu report kazini Mwezi January 2026. Tunapouliza jibu huwa ni moja kuwa “Tunalishughulikia” bila matokeo yeyote.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafawidhi wa Vituo vya Afya hatuna posho ya madaraka kama ilivyo kwa wenzetu Wakuu wa Shule

    Kwa muda mrefu sasa hatupati posho ya madaraka, tofauti kabisa na wenzetu wa sekta ya elimu hasa wakuu wa shule za msingi ambao wao wanalipwa posho hiyo, hadi kufikia laki mbili kwa mwezi. Sisi Wafawidhi wa Vituo vya Afya, kuanzia ngazi ya hospitali hadi zahanati, hatupati chochote...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Posho ya Kujikimu Singida DC: Watumishi tunahitaji Ufafanuzi

    Watumishi wapya wa Singida DC tunaomba ufafanuzi kuhusu posho ya kujikimu tuliyolipwa. Kiasi tulichopokea ni kidogo tofauti na tulivyotarajia kwa mujibu wa utaratibu unaofahamika, na hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa kuhusu hilo wala kama kuna malipo mengine yatakayofuatia na lini. Kumekuwa na...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madaktari Tarajali Morogoro Hatujalipwa Posho Mwezi wa pili sasa

    Mimi ni daktari tarajali (intern doctor) katika Morogoro Regional Hospital, na tunakumbana na changamoto kubwa ya kutolipwa posho zetu kwa wakati. Hadi sasa tumekaa takribani miezi miwili bila malipo, jambo linalotuweka kwenye hali ngumu ya maisha. Hakuna malipo ya extra duty, hakuna nyumba za...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kupuuzwa kwa uwepo wa watumishi wa kujitolea baadhi ya ofisi za Serikali; Hususani katika kupata stahiki na posho

    Mdau hapa. Leo ningependa kuzungumzia changamoto zinazowakumba baadhi ya watumishi wa kujitolea katika ofisi za serikali, hususan maeneo ya kusini mwa Tanzania. Sitapenda kutaja majina ya ofisi husika kwani wahusika wanajitambua wenyewe. Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watumishi wa kujitolea...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna changamoto kubwa sana kwa watumishi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuhusu suala zima la ulipaji wa posho mbalimbali

    Miezi mitatu imepita watumishi hawajalipwa posho zao na hakuna taarifa yeyote juu yao, zaidi kuna matumizi mabaya ya makusanyo ya fedha mbalimbali zinazosababisha watumishi wasilipwe posho zao ikiwemo posho ya usafiri na kodi ya nyumba. Vile vile wanashindwa hata kutoa chai kwenye ofisi husika...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa abiria kupanda Magari ya Mwendokasi kituo cha Ilala-Boma sio mzuri unahatarisha usalama wa abiria

    Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo imekuwa ukisababisha vurugu wakati wa kupanda kwani kila abiria anataka kuwahi kukakaa kwenye siti hii...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Naona si sawa Kwa Wananchi kulalamika posho za watumishi na Viongozi Gavoo

    Kwanini wananchi Huwa tunaumia bila sababu pale watumishi wa Serikali pamoja na baadhi ya viongozi wakiwa wanalipa posho. Mimi naona asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima na wafanyabiashara , na wateja wengi wa biashara zetu ni watumishi, mkisema wasipewe posho hayo maduka , na biashara...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Mtwara Manispaa tunalia na posho za safari, DED yuko bize na safari

    Watumishi wa Mtwara Manispaa wanadai posho za safari na kazi mbalimbali lakini Mkurugenzi halipi hela zote, anatumia yeye kusafiri kila siku hata muda wa kukaa ofisini hana. Imeumiza sana, watu wanadai hela anadai ofisi haina mapato wakati yeye kila siku safarini na bado anawalipa watu wa...
Back
Top Bottom