pauline gekul

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Rufani dhini ya Mbunge Pauline Gekul yatupiliwa mbali, wapanga kufungua kesi ya madai kwa wote waliomchafua

    Mfumo wa haki jinai ni mbovu pia hata teuzi za majaji zinatia shaka asema wakili kiongozi wa jopo la mteja wao aliyefungua kesi dhidi ya mbunge Pauline Gekul Kesi hiyo ni rufaa ya jinai namba 577 ya mwaka 2024 leo 15 April 2024 mbele ya jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Manyara, kuhusu shambulio la...
  2. BARD AI

    Ujumbe kwa DPP juu ya kumfutia Kesi ya Jina Pauline Gekul

    Mosi, hili shauri limefunguliwa chini ya Kifungu 128(2) cha CPA na mshtaki binafsi (private prosecutor), ambapo utaratibu huu sheria inamtaka Hakimu kwanza AJIRIDHISHE kuna ushahidi wa kutosha kabla ya kuanzisha mashtaka. Hakimu alifanya hivyo na akakubali kuanzishwa kwa mashtaka kwa sababu...
  3. Ex Spy

    Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  4. Heparin

    Mbunge Pauline Gekul atakiwa kufika Mahakamani Disemba 27, 2023 kujibu tuhuma dhidi yake

    Mahakama ya Wilaya ya Babati imemtumia wito Mbunge Pauline Gekul kufika Mahakamani hapo Disemba 27, 2023 kujibu kesi inayomkabili. Mahakama hiyo imemtaka kufika pasipo kukosa. Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul ameitwa mahakamani, kujibu tuhuma za kumshambulia na kumdhuru Hashim...
  5. M

    Peter Madeleka kusikiliza kesi ya Gekul mahakama ya Wilaya kwa tuhuma alizonazo dhidi ya Hamis

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa X Hatua ya KWANZA kuhusu GEKUL ndiyo hiyo hapo 👇. Natarajia Mahakama ya Wilaya ya Babati itatimiza WAJIBU wake kwa wakati, ili Kuanzia Jumatatu tarehe 11 Disemba 2023 hatua nyingine za KISHERIA ziendelee. Hatua hiyo nimeichukua chini ya kifungu cha 128(2) na...
  6. BARD AI

    Tume ya Haki za Binadamu (THBUB) kuchunguza tuhuma za Pauline Gekul

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania (THBUB), inakusudia kufanya uchunguzi wa kina ili kupata ukweli wa tuhuma za ukatili na udhalilishaji unaodaiwa kufanywa na Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul dhidi ya Hashim Phillemon, mkazi wa Babati Mjini. Akizungumza na waandishi wa...
  7. GRAMAA

    Mbona Waziri Dorothy Gwajima yupo kimya sakata la Pauline Gekul?

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum mbona upo kimya sana kuhusu hili sakata la Naibu waziri wa katiba na sheria Pauline Gekul? Dorothy Gwajima hujawahi kukaa kimya kiasi hiki linapotokea jambo la kuzalilishaji na unyanyasaji wa kijinsia kiasi cha kijana mdogo...
  8. M

    Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

    WanaJF, Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa. Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini. Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa...
  9. benzemah

    CCM Manyara yakutana kumjadili Pauline Gekul, kutoa tamko Novemba 27, 2023

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na udhalilishaji, na kesho Novemba 27, 2023 kitatoa tamko lake. Gekul anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la...
  10. benzemah

    Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

    Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni. ==== Pauline...
  11. Jaji Mfawidhi

    Pauline Gekul ni zao la malezi ya CHADEMA, rejea mahojiano ya Dkt. Slaa na Dar 24

    Dkt. Wilbroad Slaa alipoulizwa kuhusu suala la Tundu Lissu kupigwa risasi, anasema "siwezi kuzungumzia sababu utekaji upo ndani ya CHADEMA". “Kuna watu wananiuliza kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi, kuwa sipendi kulizungumzia hilo kwa kuwa sina taarifa zake za uhakika. Japo mweledi anaweza...
  12. BARD AI

    Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

    EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally. HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na...
  13. Mwande na Mndewa

    Pauline Gekul ni zao la malezi ya Chadema, rejea Mahojiano ya Dkt. Slaa na Dar24

    Dkt Wilbroad Slaa alipoulizaa kuhusu suala la Tundu Lissu kupigwa risasi,anasema "siwezi kuzungumzia sababu utekaji upo ndani ya Chadema" “Kuna watu wananiuliza kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi, kuwa sipendi kulizungumzia hilo kwa kuwa sina taarifa zake za uhakika. “Nitoe mfano iliwahi...
  14. Carlos The Jackal

    Utenguzi tu Hautoshi, Pauline Gekul afikishwe Mahakamani kwa hii jinai aliyoitenda

    Tunaposema Sheria ni msumeno ni lazima ionekane !!. Siwezi kufurahia Hatua ya Rais Samia , hatua inayofata ,SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE. Hii tabia wanao hawa watu wanaojiita Viongozi, ni vile hayasemwi yaliyo yao. GEKUL ashitakiwe !!.
  15. benzemah

    Rais Samia atengua uteuzi wa Pauline Gekul saa chache baada ya kutuhumiwa kufanya unyanyasaji kwa mtoto

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Pauline Philipo Gekul. Saa chache zilizopita, Pauline Gekul ambaye ni Mbunge wa Babati Mjini alituhumiwa kumfanyia unyanyasaji mfanyakazi wake ambapo inadaiwa...
  16. Chachu Ombara

    Pauline Gekul ajibu tuhuma za kumdhuru na kumdhalilisha kijana

    Wakati makundi mbalimbali yakimjia juu Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Pauline Gekul kwa madai ya udhalilishaji, mwanasiasa huyo kupitia katibu wa ofisi yake, ametoa ufafanuzi akigusia madai ya kuwapo imani za kishirikiana na ushindani wa kibiashara. Ufafanuzi huo awali ulitolewa na Hussein...
  17. BARD AI

    Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

    Hashimu Ally Phillemon, mkazi wa Babati Mjini anaeleza kwamba alikamatwa eneo lake la kazi, Paleii Lake View Garden, mali ya mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba na kupigwa, kujeruhiwa na kuwekewa chupa katika maeneo ya haja kubwa. Hashimu Ally anadai, Pauline...
  18. BARD AI

    Manyara: Naibu Waziri Pauline Gekul atuhumiwa kuchochea migogoro ya ardhi

    RC Makongoro Nyerere ametoa tuhuma hizo dhidi ya Gekul na kumtaja pia Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji, Babati, Abdulrahaman Kololi kwa kuwatuma wananchi kuvamia shamba la mwekezaji Amemwagiza RPC George Katabazi kuwakamata waliovamia shamba wahojiwe hadi wawataje wanaowatuma, na kudai kuwa...
  19. J

    Naibu Waziri wa Michezo, Pauline Gekul ashangilia Serengeti Girls kutinga robo fainali Kombe la Dunia Wanawake -U17

    MHE. GEKUL ASHANGILIA Serengeti girls KUTINGA ROBO FAINALI N/Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Gekul ashangilia matokeo ya ushindi kwa Serengeti Girls U17 baada ya kutinga hatua ya Robo FAINALI ya Kombe la Dunia la wanawake U17 linaloendelea Nchini India.
Back
Top Bottom