shikamoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje mtoto wa kiume miaka 33 upo Kwa wazazi unakula ugali wa shikamoo

    Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa anaakaili timamu maana hata mtoto na mke Hana yeye kazi ni kushinda kijiweni na kurudi nyumbani kula hivi...
  2. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kwa nini baadhi ya watu hawapendi kusalimiwa shikamoo?

    Kwa nini baadhi ya watu hawapendi kusalimiwa shikamoo?
  3. JITU BANDIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vunja ukuta wa shikamoo! Uingie kwenye dunia yake kimkakati!

    Ili uweze kufanikiwa, hizi hapa ni mbinu za kitaalamu /Kimkakati na za kisaikolojia poti. 1. Vunja Ukuta wa "Shikamoo" Hili ni tatizo la kwanza kwa vijana wengi wa hapo Dar!. ... Ukimpa "Shikamoo" Mumama kila saa,.... anakuona kama mwanaye au mpwa wake, na hapo hisia za kimapenzi kwako...
  4. Avith almachius

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Oya, mapenzi Shikamoo

    Oya wakuu nimeachwa ata kablya Yesu hajazaliwa🙌😭😭💔 mapenzi ni ujinga
  5. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Pombe

    Jamaa kala zake vyombo kaopoa asubuhi sasa.
  6. Royal Son

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shikamoo ndoa kama ndio zinaendaga hivi

    Kama video inavyoliezea ila ingawa ni Igizo
  7. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Shikamoo mama mara ya mwisho ulienda Sumbawanga mwaka 1997?

  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shikamoo kwa uliyenipa huu Mseto wa Kutukuka kwani kwa Siku 3 tu Wahusika wanakiona cha Moto, ila wanasema Wanafika vizuri sana Kilimanjaro

    Mchanganyiko wa Kitunguu Maji, Kitunguu Swaumu, Tangawizi, Limao, Asali kisha vyote unachanganyia Maji ya Moto.
  9. tang'ana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shikamoo baby!!!

    Wakuu salama? Hivi ni sahihi kwa mpenzi wako kukusalimia eti "shikamoo baby " hata kama umemzidi umri?
  10. Wimbo

    JamiiForums Tanzania JESHI LA WANANCHI SHIKAMOO.

    Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi letu la ulinzi na usalama. Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka "...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Werrason kwa hiki Chuma na huyu Rapa kautendea haki huu Wimbo ambao sasa ni gumzo Congo DR na Kwingineko

  12. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shikamoo Filters..

    Wakuu kumekuchaje? Kwangu sio poa sana. Najutia hata kuacha kwenda kazini ili niende kuzini. Kiufupi, kama wiki mbili nyuma kuna mwanamke mmoja kwenye mtandao fulani amekuwa ni kama ametembelea page yangu. Alichokifanya ni kupitisha likes kwenye kila content ambayo nimewahi kushare, hadi zile...
  13. KENZY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi shikamoo!.

    Samaleko... Ilibaki kidogo tu nidondoshe chozi lakini lilipotaka kudondoka nikakumbuka ule wimbo "wanaume tumeumbwa mateso!" halafu kabla haujaisha huo wimbo vizuri nikakumbuka pia wimbo wa Diamond kizaizai!, Hichi sio kizaizai tasa bali ni kizaizai kilichozaa!. Japo nimeshakuwa sugu wa visa...
  14. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Mtu Mzima Utagundua Kwamba Salamu Ya Shikamoo Ni Mtihani

    Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo? Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's...
  15. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Umefika Wakati SHIKAMOO na MARAHABA Ziondolewe Kwenye Matumizi Yetu ya Kiswahili Maana Zinadumisha UTUMWA...

    Katika jamii nyingi zinazozungumza Kiswahili, maneno "shikamoo" na "marahaba" yamekuwa sehemu ya mawasiliano ya kila siku, hasa kati ya vijana na wazee. Lakini ni muhimu tutafakari upya historia na maana halisi ya maneno haya. Je, ni heshima au ni mabaki ya utamaduni wa utumwa? Je, matumizi yake...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Malaria, aiseeh! Sijawahi kuumwa hivi. Siku tatu kama mwaka.

    Mabibi na Mabwana hamjambo! Pasaka iliisha vizuri Kabisa. Siku hiyo tulikutana ndugu wote maeneo ya Msasani beach Club. Kama mnavyojua Taikon Hana gari, sasa ndugu zangu wale kidogo wengi wao walikuja na Magari Yao. Nami kujilizajiliza nipande Magari ya watu kidogo naonaga shida kidogo. Ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Kizazi cha sasa kimejaa wajinga kuliko Babu zetu- Shikamoo TAL

    Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Salamu ya “Shikamoo” watoe watoto chini ya Miaka 16. Inaonekana wakubwa wengi hawaipendi

    Hili Suala la Hii Salam ya Shikamoo limekuwa na Ukakasi Kidogo, watu wengi katika makundi ya watu wazima, wazee, na vijana wa makamo wamekuwa hawapendi salamu hii zaidi na zaidi , makundi haya ya watu huwa hawapendi kusalimiwa na makundi ya watu wakubwa wenzao mfanyo mzee kusalimiwa na mtu wa...
  19. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Pot ya watoto wa kijijini! Shikamoo akina mama!

    Mliozaliwa mjini, hapo mtoto anafanya nini? Malezi ni yaleyale tu! Tukutane shelli! 😀
  20. ankol

    JamiiForums Tanzania Shikamoo kilimo

    Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!. Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year. Ila kila nikikaa machale yananicheza. Page pendwa yangu ikawa tma. Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani. Refer hapa...
Back
Top Bottom