raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Iliwezaje mpaka shaikh mwaipopo kuwa anaweza kuongea mbele media na kujinasibu wakati ni raia wa Burundi.

    Ni kwamba CCM ukiweza kuisifu hata ukiwa muovu inakutunza na kukulinda. Kwa taarifa za ndani hata ilo jina mwaipopo wanadai ni kujipandikiza watu wasigundue uraia wake. Ila kigoma wana mfahamu vizuri kuwa alitokea burundi.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Ni maoni yangu hakuna haja ya maandamano mengi Kwa sasa Taifa litulie kwanza Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu Ikiwezekana uwepo mfuko MAALUMU wa kuwakumbuka wale wote waliopata...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi:Pori la Kigosi limejaa ng'ombe za raia wa Rwanda wanaofanya uharibifu mkubwa wa mazingira. Kigogo mmoja anawakingia kifua.

    Kigogo huyo nae anasadikiwa wazazazi wake wana asili ya Rwanda. Alishakuwa na cheo kikubwa hapa bongo baadae akatoswa. Anawakingia raia wa Rwanda kurundika mifugo yao na kuharibu mazingira.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu utoaji huduma katika Zahanati ya Mkolowony Moshi DC

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC. Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa wagonjwa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni taarifa kwamba mtu huyo anahusika hata katika kutoa sindano kwa...
  5. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hivi vyama vya upinzani vikifutwa alafu ikabaki CCM tuu. Na raia wote tukiunga mkono

    Nawaza tuu au wanapingana wao kwa wao? Campaign za uchaguzi hakuna Msemaji wa chama hakuna Uhaini lazima uwepo lakini Utekaji lazima uwepo lakini Rushwa lazima iwepo Haki za binadamu Ubadhirifu utakuwepo
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dodoma Labaini Raia Aliyedhaniwa Kutekwa Alikimbia Madeni na Kwenda Kahama

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma kufafanua utata wa kutoweka kwa Mohamed Bakari (28), mkazi wa Mbwanga Wilaya ya Dodoma mjini, ambaye aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mnamo Septemba 17, 2026, na kuzua hofu ya kutekwa. Uchunguzi wa awali wa Jeshi la...
  7. ngozimbili

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi, Mutiny, Coup d’état na Human shield: Je, kuhamasisha raia na jeshi kwa wakati mmoja kunaweza kuingia kwenye uhalifu wa kivita?

    Na Mwandishi Maalum Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu. Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
  8. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu.

    AMANI HAIPO SAWA. Kwa mjibu wa Civilian-Coin: "Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu". Civilian-Coin
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya raia kupambana na polisi na kuwapiga ni dalili kuwa ipo siku raia watashika silaha na amani itatoweka

    Utawala wa sheria unapaswa kufanyika kwa misingi ya sheria. Lakini kama wasimamizi wa sheria wanakiuka nini kitafyata? Raia watachoka, kila mtu atajichukulia sheria mkononi. Raia watapigana na polisi. Baaddae wao kwa wao watapigana na kuuana.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuache Kushabikia Tukio lisilo la Kimaadili Raia Kupigana na Askari Tena akiwa Kazini

    Nipende kutoa rai kwa watanzania kuacha kushabikia kitendo kilichofanywa na Daktari kupigana na askari tena akiwa katika majukumu yake. Mambo kama haya yakishabikiwa kila mtu kuchukua sheria mkononi Tutahatarisha usalama wetu wenyewe Hili ni jambo baya na Nashauri Dr. Aliefanya jambo hili...
  11. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Raia 134 wa Burundi wamekamatwa Tanzania huku mvutano wa uhamiaji ukizidi kushika kasi katika ukanda wa Afrika Mashariki

    Tanzania imewakamata raia 134 wa Burundi kwa madai ya kuingia nchini kinyume cha sheria, huku hatua za kudhibiti uhamiaji zikizidi kuimarika Afrika Mashariki. Mamlaka nchini Tanzania katika Mkoa wa Mara zimesema raia hao wa Burundi walikamatwa wakati wa operesheni iliyolenga watu wanaoishi...
  12. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Xenophobia in Kenya: Baadhi ya Wakenya wameamua kuchukua jukumu la kufukuza raia wa kigeni

    Tangu Rais Rutto aseme foreigners wanaofanya kazi ndogo ndogo wanapaswa kurudi kwao kuanzia Jumatatu hii ya juzi, baadhi ya Wakenya walianza kuingia barabarani Jumatatu na kufukuza Burundians warudi kwao kwa sababu wanadai wamejaa maeneo ya mijini wakiuza kahawa, kitu ambacho baadhi ya watu...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi aliyemchoma kisu raia na kutoroka na Gari anaswa na kuangamizwa huko Israel!!

    Leo kulikuwa na shambulio la kisu la Gaidi la kiarabu alimchoma kisu Myahudi wa Israeli. Mtu aliyechomwa kisu alikuwa Natanel Jacobs na hapa anaelezea jinsi alivyopigana na Gaidi Hilo baada ya kuchomwa kisu alipiga picha Gari la Gaidi huyo na kuwajulisha IDF ambao walilifuatilia gari hilo kwa...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Raia wema wote wako salama Tanzania, isipokuwa wahalifu na wakiuka sheria

    Ni muhimu kwa wananchi na waTanzania wote kujitenga na matukio au magenge ya kihalifu, lakini pia kujiepusha kabisa katika kukiuka sheria za nchi na vitendo vya uvunjifu wa amani. Ni vizuri kutii sheria bila shuruti na kuishi na watu vizuri na kwa upendo na amani. Hii itasaidia sana kila moja...
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Baada ya kujiuziru siasa ndo tunajua sio raia wa Tanzania, ngoni migration ndo iliwaleta baba na mama yake Tanzania, arudi kwao Sasa.😃😀🫷

    Visa, vitimbi vinaanza Sasa, file zito jekundu lipo MEZANI kwa Bwana. Pamoja yakuwa ana cheo cha UBALOZI lakini sio raia. Pamoja yakuwa aliwai kuwa waziri wa mambo ya ndani ILA sio raia. Baada kujiuzuru siasa ndo tunabaini sio raia( kamuuze mzee ulimwengu baada ya kujiuzuru ukuu wa WILAYA...
  16. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Arusha: Raia wa Romania akamwatwa kwa kuiba fedha bank.

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha inamshikilia raia wa Romania, Constantin Catalin Podoleanu, mwenye umri wa miaka 39, kwa tuhuma za kutumia taarifa za kadi za benki zilizoibwa na kujipatia fedha kwa njia haramu. Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Arusha, Zawadi Ngailo...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Raia fake wa Marekani wajazana huko Turmus Ayya huko Judea na Samaria (Ukingo wa Magharibi)!!!!

    Uchunguzi mpya uliofanywa na harakati ya Regavim unaelezea jinsi mkusanyiko mkubwa usio wa kawaida wa raia wa Marekani katika kijiji cha Kiarabu cha Turmus Ayya huko Judea na Samaria (Ukingo wa Magharibi) umekuwa utaratibu wa kusababisha shinikizo la kisiasa na kidiplomasia kwa Israeli. Takriban...
  18. polokwane

    JamiiForums Tanzania Tufanye ufuatiliaji kwa kijana aliye ongea na RC. Dar leo kujua usalama wake wakati wote

    Nimewaza tu hilo na hasa kwa historia na tabia ya serikali hii ya sasa tuliyo nayo.
  19. Red black

    JamiiForums Tanzania Natamani kila raia angepata lenacapavir injection maana ni muhimu sana a weapon against HIV-1

  20. R

    JamiiForums Tanzania Raia wa Kenya akamatwa Zambia akihusishwa na ujasusi kuvuruga Uchaguzi

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 kutoka Kenya amekamatwa nchini Zambia baada ya mamlaka kumhusisha na operesheni inayodaiwa kuhusisha uhalifu wa mtandaoni dhidi ya mifumo ya Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo. Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Taifa ya Zambia ilitangaza Agosti...
Back
Top Bottom