Unaweza kuwa na mtaji, sehemu nzuri ya biashara na wateja wengi, lakini kutokamilisha taratibu zinazohitajika kunaweza kuiletea biashara yako usumbufu usio wa lazima.
Kabla na wakati wa kuendesha biashara ya nafaka kwa rejareja Tanzania, haya ni baadhi ya mambo muhimu ya kuzingatia:
1️⃣ Usajili...
Watu wengi wanaona ujenzi unaendelea kila mahali na kufikiria kuwa kufungua hardware moja kwa moja ni biashara yenye faida. Lakini ukweli ni kwamba, hardware yenye bidhaa nyingi si lazima iwe hardware yenye faida kubwa. Mafanikio yanahitaji mipango, eneo sahihi, bidhaa zinazohitajika na...
The point is;
Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa.
Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri.
Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo?
Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa?
Hizi njia za mkato bila kujali sheria jee tutashangaa siku ikitokea serikali ikifungua Maduka ya kuuza mihandarati, Bange...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi.
Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano...
Yesu alisema hata kama hamniamini basi niaminini kwa kazi mnazoziona.
Kumbe wazanzibar ni wamoja na wameshikana kindakindaki na ajenda yao ambayo huenda Mama amepanga kuwapatia kama tunu na shujaa wa Taifa lao.
Msikilize Jussa utaelewa ya chini ya kapeti na nyuma ya pazia...
Wakuu, kuna tabia moja nimekuwa nikiiona humu ambayo inachekesha kidogo, lakini pia inanifanya nijiulize.
Unafungua ID mpya, halafu ghafla watu wanakuangalia kama umetua leo kutoka sayari nyingine! 😂
Ukiandika hoja yenye kueleweka wanaanza:
«“Wewe ID mpya, unajua nini kuhusu JF?”»
Sasa ngoja...
Naomba kwa anaefahamu taratibu za kufungua duka la dawa kwa hivi sasa ziko vipi
Mimi nina cheti cha umiliki wa duka la dawa ila sio mfamasia
Natanguliza shukran 🙏
Bidhaa nitakazo zalisha kiwandani ni
1. Condom (bei ya jumla 500/= condom 3)
2. Mafuta ambayo unayapaka kwenye mkuyenge kabla hujamla mtoto ukishapaka unakula kavu kavu na hupati maambukizi ya HIV wala STDs zote. (bei ya jumla ni 8000/=
3. Tiba ya kuzuia harufu kwa wadada maana sikuhizi kati ya...
Muswada wa Sheria ya Elimu ya Msingi, 2026 unapendekeza masharti mapya na makali kwa watu au taasisi zinazotaka kuanzisha na kuendesha shule za msingi na sekondari nchini Kenya.
Kwa mujibu wa muswada huo, mwombaji atalazimika kuwasilisha ombi kwa County Education Board, ambayo itatathmini iwapo...
Muswada wa Sheria ya Elimu ya Msingi, 2026 unapendekeza masharti mapya na makali kwa watu au taasisi zinazotaka kuanzisha na kuendesha shule za msingi na sekondari nchini Kenya.
Kwa mujibu wa mswada huo, mwombaji atalazimika kuwasilisha ombi kwa County Education Board, ambayo itatathmini iwapo...
Mwanamuziki wa Bongofleva, T.I.D (Khalid Mohamed), kupitia ofisi ya mawakili wake wanaomsimamia masuala yake yote ya kisheria, ametoa notisi ya siku saba (7) akiidai Bar ya Kitambaa Cheupe, kupitia Mkurugenzi wake Jessica Kikumbi, kulipa fidia ya Sh500 milioni.
Katika notisi hiyo, T.I.D pia...
Awali ya yote ashukuliwe Mungu Mkuu atoaye pumzi na afya.
Wadau najua wataalamu na wafanyabishara wamo humo ndani naombeni ushauri kama nilivyoeleza hapo juu kuwa kipato changu na nahitaji kufungua biashara ya kuuza juisi je hiyo pesa inatosha kwa mtaji na ni vitu gani hasa vinahitajika ili...
Hii itasaidia kuimarisha Mapato yao kwani Raia na Kampuni za Ulinzi zitanunua Silaha hizo kutoka kwenye Maduka yao kama ilivyo kwa TANGANYIKA ARMS na hii pia itasaidia Serikali kupunguza matumizi na utegemezi wa Middlemen wapiga deal ambapo Majeshi yetu yote nchini yatanunua Silaha hizo kutoka...
DeletedMember281674
Thread
jkt
kufungua
kuuza
maduka
moto
nchini
silaha
silaha za moto
wakati
Wakazi wa Mbweni JKT Tunamuomba Dada Jesca Kikumbi Kufikiria Kufungua Kitambaa Cheupe Huku Kwetu
Kwa miaka ya hivi karibuni, biashara ya Kitambaa Cheupe chini ya uongozi wa Dada Jesca Kikumbi imekuwa moja ya brand zilizofanikiwa kujijengea jina kubwa kwenye sekta ya burudani na huduma za...
FIVERR ni soko la mtandaoni linalokuunganisha na watu duniani kote wanaohitaji huduma hizo na wako tayari kulipia ukiwa tu na kipaji au ujuzi wowote, labda kuandika, kutafsiri, kutengeneza logo, kuhariri video, kusimamia mitandao ya kijamii, kurekodi sauti au hata kuingiza data.
Leo nakupa...
#HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini.
Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
biashara
biashara na uwekezaji
changamoto
dangote
heche
john
john heche
katiba
katiba mpya
kuboresha
kuboresha mazingira
kufungua
kutatua
maridhiano
mazingira
mpya
njia
pamoja
rais
rais samia
samia
serikali
sifa
uwekezaji
wawekezaji
Nipo kwenye process ya kufungua restaurant yangu, na kwa sasa nipo kwenye hatua za interior setup na ambience ya sehemu. Kadri ninavyoendelea kupanga vitu, nimegundua lighting inaweza kubadilisha kabisa experience ya mteja na muonekano wa chakula
Swali ni hili
Ungependa kula restaurant yenye...
Watu wengi wanapoenda kusomea biashara chuoni lakini wakifika wanatamani hata kukimbia, ni majuto. Walichofikiria watakikuta na wanachokikuta ni vitu viwili tofauti.
Badala ya mtu ku-focus kwenye biashara, anakutana na mzigo mkubwa wa kozi nyingi kwa wakati mmoja. mfano kila semesta (miezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.