Wakazi 133 kutoka Chandavai, Lamu, wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu ya Malindi wakipinga shughuli zinazoendelea kwenye ardhi inayohusishwa na ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote.
Wakazi hao wanataka mahakama isimamishe shughuli zaidi kwenye eneo hilo hadi madai yao kuhusu...
Wananchi wametakiwa kuheshimu mipaka ya ardhi iliyopimwa na kutambuliwa kitaalamu, ambayo ni hatua muhimu katika kuzuia na kumaliza migogoro ya mipaka kati ya vijiji na maeneo mengine nchini.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya ametoa kauli hiyo mara baada ya...
Leo naomba kusema machache kuhusu migogoro ya ardhi;
Hili nalisema wazi kabisa na nitaeleza kwa ufupi!
Miongoni mwa watu wanaochangia migogoro ya ardhi tanzania ni hawa;
1. Wenyeviti wa mitaa
2. Baadhi ya watendaji wakishirikiana na wajumbe wa mitaa
3. Baadhi ya watumishi wahuni wa mamlaka...
★Wanawake watakiwa kuachana na dhana potofu kuwa ardhi ni mali ya wanaume
Serikali imewasisitiza wanandoa kumiliki ardhi kwa pamoja ili kuepuka na kupunguza migogoro ya umiliki wa ardhi na mirathi isiyo ya lazima ambayo inaweza kujitokeza baada ya mmoja wa wanandoa kufariki.
Akizungumza kwenye...
Viongozi wa Mtaa wa Sofu, Wilaya ya Kibaha, wamekuwa wakiuuza maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya barabara za mitaa pamoja na njia ya umeme mkubwa wa TANESCO unaokwenda katika Mji wa Viwanda Zegereni.
Mtaa wa Sofu ulipimwa tangu tarehe 17/09/2015, lakini licha ya hilo, wananchi wanaendelea kuuziwa...
Anonymous (ac20)
Thread
ardhi
kibaha
migogoromigogoroyaardhi
mkoa
mkoa wa pwani
mtaa
pwani
Dodoma
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ametolea ufafanuzi malalamiko yanayohusu migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali nchini, huku akisisitiza wananchi kuzingatia sheria na taratibu za umiliki na matumizi ya ardhi ili kuepuka migogoro na hasara...
Kwanza nianze kwa kusema asante sana JamiiForums kwa kufikisha ujumbe wetu kwa umma na hatimaye kufika kwa mabosi wa juu, kwani muda mfupi baada ya taarifa hiyo kuhusu changamoto ya ardhi kwa Wakazi wa eneo la Itumbi, Mtaa wa Nghonghona jijini Dodoma, wahusika wamefika na hatua zimeanza...
Tunaomba Serikali na mamlaka husika kufuatilia changamoto za ardhi zinazodaiwa kujitokeza katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Ruvuma, hususan Kijiji cha Mtangimbole.
Inadaiwa kuwa baadhi ya viongozi wa serikali ya kijiji huuza maeneo au mashamba ambayo tayari yana wamiliki halali. Hata katika...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo amesema Wizara yake itaendelea kuhakikisha wamiliki wa ardhi wanapatiwa hati miliki ili kutatua na kupunguza migogoro ya ardhi nchini.
Dkt. Akwilapo amesema hayo Julai 6, 2026 wilayani Kwimba mkoani Mwanza wakati wa...
Dodoma, Tanzania
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, inaendelea kuandika historia mpya katika sekta ya ardhi kwa kuhakikisha migogoro ya muda mrefu inapatiwa suluhu ya kudumu na huduma kwa wananchi zinaboreshwa kupitia teknolojia ya...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Simiyu inaunga mkono juhudi zinazofanywa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha Kliniki Maalumu ya Wanawake “Samia Ardhi Kliniki” ambayo ni chachu ya kupunguza migogoro kabla ya kufikishwa Mahakamani.
Jaji wa Mahakama Kuu ya...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaangalia upya suala la changamoto ya ardhi nchini.
Amesema kuwa haiwezekani kuwepo na migogoro ya ardhi ya muda mrefu ambayo haiishi hadi kufikia hatua ya kutishia undugu...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaangalia upya suala la changamoto ya ardhi nchini.
Amesema kuwa haiwezekani kuwepo na migogoro ya ardhi ya muda mrefu ambayo haiishi hadi kufikia hatua ya kutishia undugu...
Migogoro ya ardhi imeelezwa kuwa inaweza kupunguzwa kwa kuimarisha mfumo wa kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi mapema kabla hazijafikishwa mahakamani. Hayo yameelezwa jana Jumatano Februari 25, 2026 na Mbunge wa Arusha Mjini, ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, Edward Mpogolo, amesema migogoro ya ardhi ni changamoto ya kimataifa inayohitaji suluhu endelevu, huku akibainisha kuwa mabaraza ya ardhi ya kata ni nguzo muhimu katika upatanishi wa wananchi.
“Wapo watu wenye fedha ambao hutumia vibaya pesa zao...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendeleza programu ya "Tutunzane" ili kukomesha migogoro ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima, endapo atachaguliwa kuwa Rais kwa awamu nyingine.
Akizungumza na wananchi wa...
Kuna uovu unaendelea kwenye halimashauri ya bagamoyo na wizara ya ardhi ambapo kuna watendaji wanabiashara ya siri ya uchuuzi wa viwanja kwenye maeneo ya wananchi kwa kutumia migogoro hasa ya mashamba makubwa yaliyomilikishwa kwa hati zamani bila kufuata taratibu stahiki.
Picha yenyewe iko hivi...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi cha pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakary Kunenge chenye lengo la kupokea Taarifa ya Timu ya Wataalam iliyoundwa na Wizara kwa ajili ya kuchunguza migogoro mbalimbali ya ardhi Mkoani humo...
Habari Tanzania !
Natamani sana siku moja ardhi hii ya Tanzania isimamiwe na kuangaliwa toka moja kwa moja ofisi za JWT.
Usalama wa nchi ni sambamba na ardhi. Kwa kuwa chombo cha JWTZ kinahusika na ulinzi wa mipaka ya nchi sio vibaya wakapewa jukumu la ulinzi wa ardhi.
1. Hakutakuwa na...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka viongozi nchini kuepuka vitendo vya kuuza ardhi, badala yake wajikite katika kutatua migogoro inayohusiana na ardhi.
Ametoa kauli hiyo leo, Jumatano Aprili 23, 2025, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.