waitara

 1. J

  Kwa kauli hii ya Mwenyekiti wa CCM kuhusu kura za maoni, Mwita Waitara amekurupuka kutangaza nia muda bado

  Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Magufuli amewataka wanachama wa chama chake kuacha kugombana kwa tamaa ya kugombea madaraka na hasa ubunge na udiwani. Rais Magufuli amewataka wana CCM kufuata taratibu na kanuni za chama kuhusiana na kura za maoni na kwamba waepuke tabia za "kukurupuka" Rais...
 2. J

  Mwita Waitara adai elimu bure maana yake ni wanafunzi kulipiwa ada na Serikali, mzee Mwamakula amshangaa na kusema mawaziri hawana maono

  Naibu waziri wa Tamisemi anayeshughulikia miundombinu ya elimu ya msingi na sekondari mwalimu Mwita Waitara amesema maana ya Elimu Bure ni wanafunzi kulipiwa ada na serikali. Waitara amedai kuwa wananchi wengi wanachanganya mambo kwa kudhani kuwa ujenzi wa miundombinu ya elimu yakiwemo...
 3. Hashpower7113

  Waitara, umekula ya mbuzi, lazima uote mapembe!

  Oyaa! Hepi new year wanangu wa nguvu, twente tweni hiyo ishatimba, kama vipi laifu linasonga, big up kwa Sir God kwa kutufanya tuendelee kusavaivu kibishi nini. Mazee mwaka umeanza na mbilinge kama zote, kuna ishu moja inanifurahisha kinoma! Kuna huyu mwamba, Mwito Weita, yule MP wa kipande cha...
 4. chinembe

  Hivi wakurya na misimamo yao watakubali kumpa kura Mwita Waitara asiye na msimamo?

  Katika makabila ambayo yanataka mwanaume awe na msimamo basi ni wakurya, wakurya wanataka hata mwanamke awe na msimamo imara. Sasa wakurya wanaenda kukutana na kijana ambaye ameyumba kimsimamo kuliko maelezo Aligombea jimbo la Tarime kupitia CCM akashindwa katika kura za maoni, akahama kaenda...
 5. J

  Walioingia bungeni kwa ‘Upepo wa Lowassa’ waanza kuaga majimboni. Wamo Waitara, Komu, Kubenea, Mdee na wengine

  JK alisema za kuambiwa changanya na za kwako. Baadhi ya wabunge ambao walibahatika kuingia bungeni kwa kubebwa na kura za " mahaba" kwa mzee Lowassa wameanza kujitafakari kama wagombee tena au wavute mafao yao na kusepa. Mwita Waitara ameshaliachia jimbo la ubungo kwa kisingizio cha kwenda...
 6. J

  CCM ni chama kikubwa walikuwepo Mwigullu, January na Nape wakapita sasa tunao akina Waitara, Joketi na Kafulila nao watapita!

  Tunakumbushana tu ukubwa wa CCM maana vijana wa siku hizi wengi ni wasahaulifu. Unapoteuliwa kuwatumikia wananchi basi uwe mzalendo wa kweli na utoe utumishi badala ya kutumia muda mwingi kujipigia promo na kuchafua watu wengine kana kwamba wewe ndio CCM peke yako. Hebu muangaliwe...
 7. J

  Mchungaji Msigwa: Waziri Mwita Waitara alikuwepo kwenye mkutano wa kufunga kampeni pale Buibui kabla ya kuuawa Akwilina

  Mmoja wa watuhumiwa wa kesi inayowakabili viongozi wa Chadema Mchungaji Peter Msigwa amesema katika mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa Mbunge wa Kinondoni katika viwanja vya Buibui alikuwepo pia Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh Mwita Waitara. Baada ya kumalizika mkutano huo viongozi hao wa...
 8. technically

  Waitara: Hakuna mbunge mwenye haki ya kuwatetea waliokatwa

  Anasema hakuna mwenye mamlaka ya kuwasemea waliokatwa wajisemehe wenyewe. Anasema wabunge wanaongelea mambo wasiyoyajua uko mtaani hali ni tofauti kabisa. Mimi nimejiuliza hivi mbunge ni nani mpaka azuiliwe kuongea mambo yanayoendelea jimboni kwake je sio mwakilishi ya waliokatwa ni mwakilishi...
 9. Dive

  Jinsi picha la kurudia chaguzi Tanzania linavyochezwa

  Watanzania tutazame picha linalolechezwa la kuumalizia mbali upinzani. Ukiangalia wafuatao wamejiuzulu uanachama wao bila sababu mujarabu na chaguzi za wabunge na madiwani zimerudiwa. Akina Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga, mbunge wa Monduli, mbunge wa Kinondoni, mbunge wa Liwale. Hii inatupa...
Top